Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kobane yashambuliwa zaidi

Wapiganaji wanaouhami mji wa Kobane wameendeleza mashambulizi ya anga zaidi dhidi ya vikosi vya wanamgambo wa is.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mashambulizi ya Kobane yamkera Obama

Rais Barack Obama amewaambia makamanda wa ngazi ya juu wa jeshini kwamba ameguswa na kile kinachoendelea Kobane

 

10 years ago

BBCSwahili

Kobane yatakiwa kulindwa dhidi IS

Mjumbe wa umoja wa mataifa nchini Syria Staffan de Mistura amesema kuwa dunia inapaswa kuilinda Kabone dhidi ya IS.

 

10 years ago

BBCSwahili

IS waachia maeneo muhimu Kobane

Wapiganaji wa Islamic State waachia baadhi ya maeneo muhimu katika mji wa Kobane nchini Syria.

 

10 years ago

BBCSwahili

IS yarejea kwa kishindo Kobane

Ripoti kutoka Syria zasema kuwa wapiganaji wa Islamic State wamerejea katika mji wa Kobane.

 

10 years ago

BBCSwahili

Vita dhidi ya IS vyachacha mjini Kobane

Wapiganaji wa Kikurdi wanakabiliana vikali na wanamgambo wa Islamic State katika mji wa mpakani mwa Syria Kobane.

 

10 years ago

BBCSwahili

Islamic State watimuliwa kutoka Kobane

Wapiganaji wa Kikurdi Kaskazini mwa Syria wanaripotiwa kuwatimua wanamgambo wa kundi la Islamic State kutoka mji wa Kobane.

 

10 years ago

BBCSwahili

Raia 700 wakwama mjini Kobane, Syria

Mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Syria ameonya kuwa hadi watu 700 wengi wao wakiwa watu wazima wamekwama mjini Kobane.

 

9 years ago

BBCSwahili

Marekani yashambuliwa Afghanistan

Mshambuliaji wa kujitolea muhanga huko nchini Afghanistan amewaua askari sita wa vikosi vya jeshi la Marekani .

 

10 years ago

BBCSwahili

Makao ya rais yashambuliwa Yemen

Rais wa Yemeni Abd Rabbuh Mansour Hadi amehamishwa hadi mahala salama baada ya makao yake kushambuliwa na ndege

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani