Kocha Yanga ashtakiwa TFF, adaiwa Sh mil 15
![](http://api.ning.com:80/files/RnVdzGQ*fcLql8N3j0wJonCW*hdGSPvxsRi6BWzBvJccai2HtjlQbZ4s0mNAH1O9jmpE4tQqqRWaM5UeS0YC-9gkNw5qzC7G/KOCHAYANGA.jpg?width=559)
Kocha wa Yanga, Charles Mkwasa. Na Nicodemus Jonas UONGOZI wa Klabu ya Ruvu Shooting, umepeleka barua kwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kumshtaki Kocha wa Yanga, Charles Mkwasa, wakitaka TFF imkumbushe kuhusu deni analodaiwa. Uongozi wa Ruvu Shooting umesema deni hilo la Sh 15m analotakiwa kuilipa klabu hiyo, linatokana na kuvunja mkataba wake wa kuifundisha timu hiyo katika raundi ya pili ya Ligi Kuu Bara. Ofisa Habari...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo09 Mar
KOCHA WA YANGA AGOMA KUMPA MKONO KOCHA MWENZIE
![](http://taarifa.co.tz/wp-content/uploads/2015/03/kocha-640x360.jpg)
![](http://taarifa.co.tz/wp-content/uploads/2015/03/kochaa-640x360.jpg)
10 years ago
Habarileo28 Aug
Mhasibu adaiwa kuiba mil. 48/-
MHASIBU wa Kampuni ya Afro Impex Limited, Paul Tarimo (31) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kujibu mashitaka ya wizi.
11 years ago
Tanzania Daima30 Mar
Mfanyabiashara adaiwa kutapeli mil. 8/-
JESHI la Polisi mkoani Tanga linamshikilia mfanyabiashara Rajabu Gafa (39) kwa tuhuma za kumtapeli mwanamke sh milioni 8, pete pamoja na mikufu ya dhahabu ambayo thamani yake haijajulikana. Kamanda wa...
11 years ago
GPLYANGA YAINGIZA MIL 86/-, SIMBA MIL 53/-
10 years ago
Habarileo16 Sep
Mganda adaiwa kusababisha hasara mil.800/-
RAIA wa Uganda, Tonny Nsamba (31) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kuingiza vifaa vya mawasiliano nchini bila kibali na kuisababishia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) hasara ya Sh milioni 799.2.
11 years ago
Habarileo17 Jan
Ofisa Ugavi adaiwa kuiba karatasi za mil. 47
OFISA Ugavi, Flora Ntubika (41) leo amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka ya wizi wa karatasi zenye thamani ya Sh milioni 47.4. Ntubika alifikishwa mahakamani hapo jana na kusomewa mashitaka mbele ya Hakimu Mkazi, Gabriel Mirumbe.
11 years ago
Mwananchi10 Mar
Tunatarajia TFF itatuletea kocha bora
10 years ago
Mwananchi24 May
Kocha Nooij ajiweka njiapanda TFF