Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tunatarajia TFF itatuletea kocha bora

Michezo ni kitu muhimu sehemu yoyote duniani katika maisha ya jamii ya binadamu na inasaidia kwa kiasi kikubwa katika maendeleo ya nchi mbalimbali., pia husaidia kujenga urafiki, mshikamano na uumoja wa kitaifa kwa taifa lolote lile.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

TFF yasitisha mkataba wa kocha wake

Shirikisho la Kabumbu nchini Tanzania TFF limetangaza kuvunja mkataba wake na Kocha mkuu wa Timu ya taifa ya soka

 

10 years ago

Mwananchi

Kocha Nooij ajiweka njiapanda TFF

Timu ya Taifa ya soka, Taifa Stars, sasa ndiyo habari ya mjini. Kufanya vibaya kwa timu hiyo kwenye Mashindano ya Nchi za Kusini mwa Afrika (Cosafa) ilikoalikwa, kumewafanya wadau wa soka nchini kuiponda, wengine wakitupa lawama kwa kocha Mart Ignatius Nooij, wakitaka afukuzwe.

 

11 years ago

GPL

Kocha Yanga ashtakiwa TFF, adaiwa Sh mil 15

Kocha wa Yanga, Charles Mkwasa. Na Nicodemus Jonas
UONGOZI wa Klabu ya Ruvu Shooting, umepeleka barua kwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kumshtaki Kocha wa Yanga, Charles Mkwasa, wakitaka TFF imkumbushe kuhusu deni analodaiwa. Uongozi wa Ruvu Shooting umesema deni hilo la Sh 15m analotakiwa kuilipa klabu hiyo, linatokana na kuvunja mkataba wake wa kuifundisha timu hiyo katika raundi ya pili ya Ligi Kuu Bara. Ofisa Habari...

 

9 years ago

Mwananchi

Kocha wa Stars, TFF fikirieni Kombe la Dunia 2018

Mwezi ujao, timu yetu ya soka ya Taifa, ‘Taifa Stars’ inatarajiwa kuikabili Malawi au The Flames katika mchezo wa awali wa kusaka tiketi ya kushiriki Fainali za Kombe la Dunia mwaka 2018 nchini Russia.

 

11 years ago

Michuzi

TFF YAVUNJA MKATABA NA KOCHA KIM POULSEN KWA MAKUBALIANO

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen wamekubaliana kuvunja mkataba katika makubaliano ambayo ni siri kwa pande zote mbili.
Uamuzi huo umetangazwa leo (Februari 27 mwaka huu) jijini Dar es Salaam kwa pamoja na Rais wa TFF, Jamal Malinzi na Kocha Poulsen mbele ya waandishi wa habari.
Rais Malinzi kwa niaba ya TFF ametoa shukrani za dhati kwa Kocha Poulsen kwa ushirikiano na mchango ambao ameutoa kwa Tanzania kuanzia kwenye mpira wa miguu wa...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Kocha bora ataibeba riadha’

Mwanariadha wa zamani, Juma Ikangaa amesema kikosi cha timu ya taifa cha riadha kilichoteuliwa kwa ajili ya Michezo ya Jumuiya ya Madola itakayofanyika Glasgow, Scotland kitakuwa na tija kama watafundishwa na kocha mwenye upeo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwambusi Kocha Bora 2013/14

KOCHA wa timu ya Mbeya City, Juma Mwambusi, ameibuka Kocha Bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara iliyofikia tamati Aprili 19, mwaka huu. Kwa ushindi huo, Mwambusi alijitwalia kitita cha sh...

 

10 years ago

Mwananchi

Phiri: Mimi bado kocha bora

Kocha wa Simba, Patrick Phiri amesema yeye ni kocha bora licha ya timu yake kupata sare sita msimu huu na kama atafukuzwa, basi ni kwa utashi wa viongozi wa klabu hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani