Kubenea kizimbani Dar akituhumiwa kumtusi DC
MBUNGE wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka ya kutumia lugha ya matusi dhidi ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Mwema15 Jul
Siku Rais Nyerere alipotinga kizimbani akituhumiwa Kuvamia Uganda kijeshi
WAKATI akiondoka Dar es Salaam kuelekea nchini Liberia kuhudhuria Mkutano wa 16 wa Wakuu wa nchi
Joseph Mihangwa
9 years ago
StarTV16 Dec
Mbunge Saed Kubenea apandishwa kizimbani
Mbunge wa Jimbo la Ubungo Saed Kubenea jana amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kupandishwa kizimbani akikabiliwa na shitaka la kutoa lugha chafu dhidi ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda.
Akisoma hati ya mashtaka, Wakili Mkuu wa Serikali Timon Vitalis mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba amedai kuwa Desemba 14, 2015 katika kiwanda cha Tooku Garments Company Limited kilichopo Mabibo External Kebenea alitoa lugha chafu dhidi ya Makonda.
Wakili wa serikali Timon...
9 years ago
Mwananchi15 Dec
Kubenea kizimbani kwa kutoa lugha chafu
10 years ago
Habarileo20 Jan
Mkazi Dar kortini akituhumiwa ugaidi
MKAZI wa Kitunda, Jihad Swalehe amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya Ugaidi na kuomba msaada wa vifaa, fedha na ujuzi wa kulipua mabomu kwa lengo la kuwadhuru watu wa Kenya.
9 years ago
MichuziMBUNGE WA JIMBO LA UBUNGO, SAID KUBENEA AFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI DAR LEO.
11 years ago
Mwananchi15 Jul
Vigogo wa TPA kizimbani Dar
10 years ago
Mwananchi20 Sep
Wafuasi wa Chadema kizimbani Dar
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JcikeZL6OiL7Vo3DZXif--cIoyPeMol5nSDicfrQEImzhyVrpFr7GrdS0g2kiU6TerupmfRkfvKytT2J3kciM-tw5aGAVbAR/1.jpg?width=650)
GWAJIMA AMETUMWA KUMTUSI PENGO
10 years ago
Raia Tanzania22 Jul
Gwajima akana kumtusi Pengo
ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Mchungaji Josephat Gwajima, amekana kumtusi Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.
Gwajima alikana jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Wilfred Dyansobela, baada ya kusomewa maelezo ya awali ya kesi inayomkabili.
Akisoma maelezo hayo, Wakili wa Serikali Joseph Maugo, alidai mshitakiwa ni Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo katika viwanja vya Tanganyika...