Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kufuatia Kumbukizi UDSM Tutangaze #AjaliBarabaraniJangalaTaifa Tuwajibike kuzipunguza - Mnyika

Kumbukizi maalum ya tarehe 20 Machi 2015 ya wanafunzi watano wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam (UDSM) waliopoteza maisha katika ajali ya barabarani imetukumbusha msiba mkubwa wa watu 50 katika ajali moja ya basi na lori ya tarehe 11 Machi 2015.
Wakati tukiendelea kuwaombea marehemu na majeruhi na kutoa pole kwa wafiwa na wahanga wakati umefika sasa tutangaze #AjaliBarabaraniJangalaTaifa tuwajibike kuzipunguza.
Kumbukizi katika ukumbi wa Nkurumah ilihusisha ibada, nyimbo maalum na ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Tutangaze kipindupindu janga la taifa

Mwishoni mwa mwezi uliopita Shirika la Afya Duniani (WHO), liliionya Tanzania kuhusu kuenea kwa ugonjwa wa kipindupindu nchini na kwamba ikiwa hatua za uhakika hazitachukuliwa, basi kuna uwezekano ugonjwa huo ukaenea hadi nchi jirani.

 

11 years ago

Michuzi

SOTE TUWAJIBIKE LINAPOKUJA SUALA LA UTAWALA BORA-TANZANIA

 Na Mwandishi Maalum, New YorkWakati mchakato wa maandalizi ya ajenda na malengo mapya ya maendeleo endelevu baada ya 2015 ukiendelea kushika kasi kwa mijadala mbalimbali inayoendelea hapa Umoja wa Mataifa. Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa upande wake imesisitiza kuwa pamoja na kukubaliana kwamba suala la utawala bora ni muhimu katika utekelezaji wa maendeleo na kupiga vita umaskini, hata hivyo eneo hilo halipashwi kuwa la upande mmoja.  “Hoja ya utawala bora ni...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere ni leo

Tanzania leo inaadhimisha miaka 15 tangu kufariki kwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pinda kubariki kumbukizi ya Chifu Mkwawa

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda anatarajia kuwaongoza wanakijiji cha Kalenga na Mkoa wa Iringa katika kilele cha maadhimisho ya kumbukumbu ya aliyekuwa Chifu wa Wahehe, Mkwawa itakayofanyika kijijini hapo Julai 19....

 

5 years ago

CCM Blog

MALKIA ELIZABETH II WA UINGEREZA AFUTA MPANGO WA KUMBUKIZI YA KUZALIWA KWAKE

Tarehe 21 Aprili ilikuwa siku ya kutimiza umri wa miaka 94 kwa Malkia Elizabeth II. 
Kwa kawaida mtawala wa Uingereza anasherehekewa siku ya kuzaliwa mara mbili kila mwaka. 
Moja ni siku yake halisi ya kuzaliwa, na nyingine ni siku ya kusherehekea kuzaliwa kwa Malkia iliyowekwa na serikali.
Kutokana na hali mbaya ya maambukizi ya virusi vya Corona, malkia Elizabeth ameamua kufuta sherehe za kutoa heshima ya mizinga mwaka huu.

 

5 years ago

CCM Blog

CCM BLOG YAMTAKIA MZEE MSEKWA KATIKA KUMBUKIZI YA KUZALIWA KWAKE

 CCM BLOG yamtakia Mzee Pius Msekwa kwa kusherehekea kumbukizi ya Siku ya kuzaliwa kwake. ambapo leo atimiza miaka 85 ya kuzaliwa kwake.

Pius Msekwa (amezaliwa 9 Juni 1935) ni mwanasiasa. Kuanzia mwaka 1995 hadi mwaka 2005 alikuwa spika wa Bunge la Tanzani
 Nyadhifa alizowahi kuwa Amewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola (CPA) kati ya mwaka 1999-2002, pia Mjumbe wa Kamati ya Kurekebisha Sekta ya Sheria kati ya mwaka 1993-1994 na Mjumbe wa Tume ya Rais ya...

 

5 years ago

CCM Blog

CCM BLOG YAMTAKIA HERI MZEE MSEKWA KATIKA KUMBUKIZI YA MIAKA 85 YA KUZALIWA KWAKE

  CCM BLOG yamtakia heri Mzee Pius Msekwa kwa kusherehekea kumbukizi ya Siku ya kuzaliwa kutimiza miaka 85 ya kuzaliwa kwake.

Pius Msekwa (alizaliwa Juni 9, 1935) ni ambapo mwaka 1995 hadi 2005 alikuwa spika wa Bunge Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa la Tanzania.
 Nyadhifa alizowahi kuwa nazo ni; Mwenyekiti wa Chama cha Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola (CPA) kati ya mwaka 1999-2002, pia Mjumbe wa Kamati ya Kurekebisha Sekta ya Sheria katiba ya mwaka 1993-1994 na Mjumbe wa Tume ya...

 

5 years ago

CCM Blog

MAKAMU WA RAIS CHAMA CHA WAUGUZI TANZANIA (TANNA) ATOA NENO KATIKA SIKU YA KUMBUKIZI YA KUZALIWA MWASISI WA UUGUZI DUNIANI

Makamu wa Rais Chama Cha Wauguzi Tanzania (TANNA). Ibrahim Mgoo akizungumza jambo leo Mei 12, 2020 ikiwa ni kumbukizi ya Madhimisha ya miaka 200 tangu kuzaliwa kwa mwasisi wa Uuguzi Duniani Bi.Florence Nightingale. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)

Niwaase Wasanii na watu wengine maarufu kuwa mstari wa mbele katika kuelimisha jamii kwenda kwenye vituo vya kutolea huduma za Afya badala ya kuwatisha kuwa Wauguzi ni watu wabaya Kama alivyofanya msanii mmoja hivi alipomwambia mke wake wakati anaenda...

 

5 years ago

Michuzi

KARUME DAY KUMBUKIZI YA MIAKA 48 YA KIFO CHA SHEIKH ABEID AMANI KARUME.



By MZEE WA ATIKALI  ✍️✍️✍️


1. USULI:

Jumanne ya leo, tarehe 7.4.2020, imetimia miaka 48 toka aliyekuwa Rais wa kwanza wa Zanzibar, ndugu SHEIKH ABEID AMANI KARUME,  alipouawa kwa kumiminiwa risasi nane na Luteni HOMOUD MOHAMMED BARWAN katika Afisi Kuu ya Afro Shiraz Party, Kisiwandui, Zanzibar.

Kwa mujibu wa "The Public Holidays Act, Cap. 35 (RE 2002)", sikukuu za kitaifa nchini ziko 17 na mojawapo ya sikukuu hizo ni "KARUME DAY". Hivyo, leo ni siku ya mapumziko.

Je, Mwanamapinduzi huyu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani