Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KULA GIZANI HUPUNGUZA UTAMU WAKE

MMH jamani ndiyo nini kuninunia kwa kusema ukweli? Siku zote dawa ya jipu ni kulitumbua kwani ukilionea huruma utamuongezea maumivu mgonjwa. Nataka kukwambia kitu kimoja kwamba chuki nichukie roho yangu niachie, wee sema wee na upige mayowe lakini ukweli utabaki palepale, kaniki haiwezi kubadilika rangi na kuwa nyeupe, ujumbe umefika au siyo? Natamani kucheka kwa jicho unalonikata na huku ukijisemea moyoni mwako kuwa siku...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Zinakaribia siku za CCM kula gizani machungwa yaliyooza

Kuna kisa cha msafiri mmoja aliyeomba mahali pa kulala kwa mjumbe wa Serikali ya Mtaa ili kesho yake aendelee na safari yake. Alifika saa 5.00 usiku na kwa kuwa mjumbe alikuwa amekwisha kula, alichofanya ni kumwandalia msafiri huyo mahali pa kulala, basi.

 

10 years ago

Mwananchi

Mchezo wa Netiboli ‘unakufa’ na utamu wake

Maisha ya binadamu yana changamoto nyingi hasa katika kipindi hiki ambacho dunia inashuhudia mabadiliko kila kukicha

 

10 years ago

Vijimambo

PAMOJA NA UTAMU WAKE, UKIMCHUNGUZA KUKU HUMLI!

Habari gani waungwana na wadau wa ukurasa huu. Nina uhakika mambo yenu yanakwenda vilevile mlivyopanga, maana maisha bwana ni vile mtu unavyopanga. Ukitaka kuwa msumbufu kwa waume za watu unaweza, ukitaka kuwa kiwembe kwa wake wa wenzio pia waweza, umeona bwana?

Juzikati nilipata simu moja ya kushangaza kidogo kutoka kwa mmoja wa wasomaji wa safu hii. Yeye ni mdada, aliniambia ana tatizo kubwa ambalo hajui namna ya kulikabili, eti kila akimpata mwanaume baada ya muda mfupi anamtosa....

 

9 years ago

GPL

KAKA KUCHA FUPI ZINA UTAMU WAKE

Naam kama ilivyo ada yetu, tumekutana tena kwenye kona yangu mimi shangingi mstaafu mwingine foto kopi, nasikia kuna watu wanajiita mashangingi wastaafu, sifa yako kubwa kunywa pombe za watu na kuwakimbia, vipigo vimewapa mikovu kama kibaka mzoefu. Siku zote tutashindana lakini mimi nitabakia namba moja, nayajua uyajuayo na usiyojua kaa chini, mwari nikufunde, ulikimbia unyago hujui mizungu inaokotwaje. Ndiyo maana nikasema...

 

10 years ago

GPL

NABII AWALAZIMISHA WAFUASI WAKE KULA NYOKA AKIDAI CHOCOLATE

KATIKA hali ya kushangaza, nabii mmoja nchini Afrika Kusini ajulikanaye kwa jina la Penuel Mnguni, kutoka End Time Disciples Ministries, wikiendi iliyopita aliamua kuwalazimisha waumini wake kuna nyoka akidai kuwa amembadili nyoka huyo kuwa chocolate. Nabii huyo alidai kuwa nyoka hawezi kumdhuru mtu yeyote anayemla na hiyo ni ishara kula tayari amebarikiwa. Tuna mamlaka ya kubadilisha kitu chochote na kitakubali maana tuna...

 

9 years ago

Bongo Movies

Kaeni Mkao wa Kula, Riyama na ‘Pacha’ wake Mwanaheri wapo Jikoni

Mastaa wakali wa Bongo Movies, Riyama Ally na mwanaheri  kwasasa wapo lokesheni wakishuti kazi yao mpya . Mwanaheri ambaye ni msanii anayekuja kwenye tasnia kwa kasi ya ajabu amefanikiwa kuwateka mashabiki nakupeleikea wamtabilie makubwa kwenye tasnia hiyo kutokana na uwezo wake katika kuigiza.

riyamaa

Mbali na kufanana kimuonekano Mwanaheri  amekuwa akifananishwa na Riyama hata kwenye uigizaji wake na kupelekea  wawili hao kuitana pacha.

 

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Cassper Nyovest aendelea kula bata Zanzibar na mpenzi wake Boity, aitosa show ya Maftown Heights

12224667_784132751713827_1656881668_n

Rapper anayezungumzwa zaidi nchini Afrika Kusini kwa sasa, Cassper Nyovest anaendelea kujipongeza na kufurahia mafanikio baada ya show yake ya #FillUpTheDome kwa vacation ndefu visiwani Zanzibar.

12224667_784132751713827_1656881668_n

Rapper huyo na mpenzi wake Boity, bado wameendelea kufurahia mandhari za kuvutia za bahari ya Hindi visiwani humo kwenye hoteli za kitalii.

11326158_1505815453049275_27835692_n

Kurasa zao za Instagram zinaonesha jinsi wanavyofurahia kwenye kisiwa hicho ikiwa ni pamoja na kula vyakula maarufu vya baharini.

11950517_1496713240624569_491807922_n

Katika hatua nyingine,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kutolala hupunguza uwezo wa kufikiri

JOHN ni mwanafunzi wa chuo, amebakiza muda mfupi kuhitimu shahada katika moja ya vyuo vikuu hapa nchini. Anatumia karibu muda wake wote kwa masomo kufanya mazoezi kwa vitendo na kufanya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Aspirin na Ibuprofen hupunguza saratani

Utumizi wa aspirin na Ibuprofen unapunguza hatari ya kushikwa na saratani ya utumbo mkubwa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani