KUMBE KUMWAGWA ALIANZA ZAMANI
![](http://api.ning.com:80/files/oj4MhhoM4fQtCetgVAhZxDViddLU6d*7TlDDv7oTsICAB*IenUng-sV5rfuDJ6qd6*y2N3PWpGUz9XkFnNK5N22Xj1ToqLCS/diamond.jpg)
KATIKA historia hii ya maisha ya Diamond, wiki iliyopita tuliishia pale ambapo Diamond alikuwa amemwagwa na demu wake kisa kikiwa msichana huyo kutovumilia maisha duni ya msanii huyo. Tunaendelea… Mkali wa miondoko ya Bongo Fleva 'Diamond Platnumz' akiwa mbele. Diamond anakwenda mbele zaidi kwa kukumbuka maneno makali na yenye kuchoma moyoni ambayo aliambiwa na demu huyo ambapo kila akiyakumbuka hata leo, bado haamini...
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili12 Jun
Thomas Thabane: Waziri Mkuu wa zamani wa Lesotho 'alilipa majambazi kumuua mke wake wa zamani''
11 years ago
Habarileo06 Jan
Lissu: Zitto alianza siku nyingi kuchafua Chadema
LICHA ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kuweka zuio la muda kwa Kamati Kuu (CC) ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kujadili uanachama wa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Kabwe Zitto, Mwanasheria Mkuu wa Chadema na Mjumbe wa CC, Tundu Lissu amedhihirisha wazi kuwa chama kimemvua Zitto uanachama.
9 years ago
Mwananchi11 Oct
MWAJEMI KALUFYA : Alianza harakati za ukombozi wa mwanamke 1969
10 years ago
Vijimambo17 Apr
AMBER ROSE ALIANZA KUKATA NYWELE AKIWA NA UMRI WA MIAKA 18
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2015/04/17/15/27A9F5C300000578-3043674-image-a-172_1429279259468.jpg)
Hapa ni TBT ya Amber Rose akiwa kinda la miaka 18 fresh kabisa kama punye ya kitunguu, Amber Rose anasema alianza kupenda kuwa na nywele fupi toka akiwa na umri huo hadi sasa ana umri wa miaka 33 anaendelea kuwa na nywele fupi na kuziweka rangi.
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2015/04/17/15/2780012D00000578-3043674-image-m-176_1429279957815.jpg)
Then and now: The star is now 33 and dyes her famous buzz cut peroxide blonde
9 years ago
Michuzi21 Oct
UNAFAHAMU NANI ALIANZA KUFUGA MBWA NA ALIKUA AKIISHI WAPI?
![Mbwa](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/8xxMgECYoZ348_9ie_r03UBE1bxL7bT45wKhzFz4X-eKfmvRQCk1e9S6eGoujr8LPbM-XLaSDPBY2sEoOtpJLWQ7baxLzNffjX3XhipbYbxjyjpzlku-N6J63OY-9fNVq7-Ee-OZCFzZ4B5gZDASzDC3HoagJwiXd-K7v_rJLjKIpul9QCXnFlGkhF2zpYzbBsU=s0-d-e1-ft#http://ichef-1.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/10/20/151020075954_dog_asia_512x288_getty.jpg)
Watafiti hao walichunguza chembe za msambojeni (DNA) za aina 165 ya mbwa, kutoka mataifa 38 katika kile wanachosema ni utafiti mkubwa zaidi, kuwahi kufanyika duniani kuhusiana na uzao wa mbwa.
Utafiti huo unasema kuwa Nepal na Mongolia ni maeneo ya kwanza kabisa ambapo mbweha walianza kuwa marafiki wakubwa wa binadamu,...
11 years ago
Mwananchi01 Mar
Banza Stone: Alianza muziki kwa kuwa mwana Hip Hop 1989
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xbc0vWPYETu91hjBVUxNH0*70Q7ec8Z8KEjBpIfY0mddpmO3vD38teQCNm1*BUKa4NiwjHbufcgYJUFKlQNwDVRDO1lQzpjQ/BACKAMANI.jpg)
KUMBE GARI LA WEMA KIMEO
9 years ago
Raia Mwema07 Oct
11 years ago
Tanzania Daima27 Apr
Kumbe Kingunge ni mganga wa kienyeji!
TUME ya Mabadiliko ya Katiba iliyoundwa na Rais Jakaya Kikwete chini ya uenyekiti wa mstaafu Jaji Joseph Warioba imeshirikisha makundi mbalimbali ya wananchi ingawa kuna mengine yaliyosahauliwa. Nilivutiwa na jina...