Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kwa nini Bunge ligeuzwe uwanja wa mipasho?

Kwa takriban wiki moja sasa, Bunge la Jamhuri ya Muungano limegeuzwa uwanja wa kampeni za uchaguzi na watunga sheria wetu wametumia nafasi yao kuonyesha ustadi wao katika mipasho.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WAENDESHA BODABODA WAJINAFASI KWA MIPASHO DAR LIVE

Khadija Kopa akijipinda kimadaha wakati akifanya ‘mavituz’ stejini. Kundi la Ogopa Kopa kazini. Mtoto wa…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hatuwezi kuudumisha Muungano wetu kwa propaganda, mipasho

JANA Aprili 26, 2014 Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ulifikisha miaka 50. Ni jambo la kujivunia. Rais Jakaya Kikwete alihutubia taifa kwa kupitia kwa vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)....

 

11 years ago

Mwananchi

Kanuni zaibua tena mdahalo Bunge la #Katiba, Ukawa wahoji kwa nini zibadilishwe [VIDEO]

Wana-UKAWA hao wamesisitiza kamwe hawatakubali mabadiliko yoyote ya kanuni, isipokuwa yale tu ya vipengele vya 37 and 38 vinavyoelekeza namna ya kupiga kura.

 

10 years ago

Habarileo

‘Msiligeuze Bunge uwanja wa maigizo’

Kiongozi wa Shughuli za Serikali bungeni, Profesa Mark MwandosyaKAIMU Kiongozi wa Shughuli za Serikali bungeni, Profesa Mark Mwandosya amewataka wabunge wasiligeuze Bunge kama eneo la maigizo, kutokana na kauli zao wanazozitoa wakati wanapotoa michango yao.

 

11 years ago

Mwananchi

Bunge hili lina nini kipya?

Safari ya kuingia kwenye Mchakato wa Katiba Mpya ilionekana kupokelewa kwa furaha kubwa na Watanzania.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bunge hili Watanzania wamewakosea nini?

TUNATAKA kufahamu, kujua, kuelewa, kufahamishwa, kuelimishwa bila ya kufichwa kutokana na kuona mambo mazito kama hayo yakienda ndivyo sivyo ndani ya Bunge Maalumu la Katiba. Mchakato huu wa kuelekea kwenye...

 

10 years ago

Mwananchi

Bunge la Katiba limemalizika, tumejifunza nini?

Bunge la Katiba limemaliza shughuli zake mjini Dodoma jana kwa kupitisha Rasimu ya Katiba Mpya ambayo, kwa mujibu wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, inapaswa kupelekwa kwa wananchi kupigiwa kura ya maoni. 

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Bunge EALA limesambaratika, nini kifanyike?

>Siyo siri tena kwamba Bunge la Afrika Mashariki (EALA) limesambaratika kutokana na wabunge wake kuendekeza migogoro na hatimaye kukwamisha shughuli za Bunge hilo.

 

9 years ago

Vijimambo

TASWIRA ZA UWANJA WA KAITABA UNAVYOENDELEA MPAKA SASA MJINI BUKOBA. KUMALIZIKA KUJENGWA MWEZI DESEMBA 2015, KAGERA SUGAR KUTUMIA UWANJA WA MUSOMA KWA SASA.

Taswira ya Uwanja wa Kaitabaulivyo kwa sasa.
Nyasi bandia zikiwa zimewekwa pembeni ya Uwanja tayari kwa kutandikwa katika Uwanja huoMwakilishi kutoka shirikisho la soka Duniani (FIFA) baada ya kukagua maendeleo ya uwekaji nyasi bandi katika uwanja wa mpira wa Kaitaba Amewaomba mafundi kuongeza kasi ili ukamilike kwa muda uliopangwa. Mwakilishi huyo wa FIFA Mhandisi Kelvin Macklain, alitua Bukoba wiki iliyopita na kukagua hatua kwa hatua uwanja huo na alifika hapo kukagua hatua za mwisho...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani