Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lema chupuchupu kutiwa nguvuni

Mbunge wa Jimbo la Arusha, Godbless Lema jana alinusurika kukamatwa na makachero wa Jeshi la Polisi ili kuhojiwa kutokana na ujumbe wake aliouposti kwenye mtandao wa kijamii akiandika: “Rais Kikwete mbona umeamua kuliangamiza taifa.”

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Muswada waleta hofu ya wananchi kutiwa kizuizini

MUSWADA wa kuwepo kwa Ofisi ya Tawala za Mikoa umewagawa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi ambapo baadhi wamepinga wakidai kwamba umetoa mamlaka makubwa kwa wakuu wa mikoa kuwatia kizuizini wananchi.

 

9 years ago

StarTV

Kisa cha Zaidi ya watu 60 wanaodhaniwa wafuasi wa Chadema kutiwa mbaroni hiki hapa:

 Polisi mkoani Iringa inawashikilia zaidi ya watu sitini wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kwa tuhuma za kuhatarisha amani kwenye barabara inayotoka katika uwanja wa michezo wa Samaro kwenda Kihesa.

Tukio hilo limetokea wakati Chama cha Mapinduzi CCM kupitia kwa mgombea wake wa Urais Dokta John Magufuli kufanya mkutano wa Kampeni za Urais kwenye uwanja wa michezo wa Samora Mjini Iringa.

Kadri siku zinavyojongea kufanyika kwa uchaguzi mkuu,hali ya kuanza...

 

11 years ago

Mwananchi

Nguvuni akidaiwa kuiba mtoto

Jeshi la Polisi mkoani Geita, linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kuiba na kumtorosha mtoto wa miaka sita kwa lengo la kutaka kumdhuru na kumpeleka kusikojulikana.

 

11 years ago

BBCSwahili

Sudan.K: Mawaziri wanne watiwa nguvuni

Baada ya jaribio la mapinduzi kutibuliwa Sudan Kusini waliokamatwa wameambia BBC hawakutekeleza jaribio la mapinduzi bali walikuwa wamemkosoa rais Kiir

 

11 years ago

Mwananchi

Watatu nguvuni wakituhumiwa kumtesa kigogo wa Chadema

 Polisi katika Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, wanawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi Mwenyekiti wa Chadema wilayani Temeke, Joseph Yona, ambaye baadaye, alitelekezwa Ununio, Kunduchi.

 

11 years ago

GPL

KICHANGA CHATUPWA, MAMA YAKE ATIWA NGUVUNI

Mama anayedaiwa kutupa kichanga akiwa na mwanae wa kwanza. Difenda la polisi likiwa eneo la tukio kuchukua mtuhumiwa na mwili wa kichanga.…

 

11 years ago

Mwananchi

Polisi 14 nguvuni kwa kuiba mali ya Sh900 mil

Polisi mkoani Ruvuma, wameingia katika kashfa, baada ya askari wake kutuhumiwa kuiba vitu vyenye thamani ya zaidi ya Sh900 milioni waliyokuwa wakivilinda. Vitu hivyo ni mali ya mkandarasi aliyefukuzwa katika mradi wa ujenzi wa Barabara ya Namtumbo hadi Tunduru.

 

10 years ago

Africanjam.Com

MAJAMBAZI WATIWA NGUVUNI BAADA YA KUFANYA JARIBIO LA KUIBA BENKI

Majambazi wakiwa wametiwa pingu baada ya kukamatwa na jeshi laPolisi jijini Dar baada ya kufanya jaribio la kuiba pesa kwenye benki ya NMB Sinza Mori. Pembeni ni wananchi wakiwa eneo la Benki ya NMB Sinza-Mori, Dar wakifuatilia tukio hilo. Polisi jijini Dar wamewakamata watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi wakiwa katika jaribio la kuiba pesa katika benki ya NMB iliyopo Sinza-Mori, Dar es Salaam.Tukio hilo limetokea mchana wa leo tarehe 18/09/2015 katika Benki ya NMB tawi la Sinza-Mori jijini...

 

11 years ago

Habarileo

RC chupuchupu kuhadaiwa

MKUU wa Mkoa wa Katavi , Dk Rajab Rutengwe ametoa ushuhuda wake jinsi alivyoponea chupuchupu, kuhadaiwa na mkazi wa mjini Mpanda jana asubuhi, ambayo ilikuwa Siku ya Wajinga Duniani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani