Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muswada waleta hofu ya wananchi kutiwa kizuizini

MUSWADA wa kuwepo kwa Ofisi ya Tawala za Mikoa umewagawa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi ambapo baadhi wamepinga wakidai kwamba umetoa mamlaka makubwa kwa wakuu wa mikoa kuwatia kizuizini wananchi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Panya waleta hofu China

Watu wawili wanashikiliwa na Polisi nchini China baada ya kuwafungulia mamia ya Panya katika kijiji kimoja.

 

10 years ago

Mwananchi

Wataka muswada wa ubia uwanufaishe wananchi

>Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Ubia wa Sekta ya Umma na Sekta Binafsi unaweza kuwa na manufaa kwa Watanzania iwapo sekta binafsi itapewa kipaumbele katika kusimamia na kuendesha miradi mikubwa ya uchumi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yawatoa hofu wananchi

SERIKALI imesema kuwa ndege zinazoonekana mpakani mwa Tanzania na Malawi ni maalumu kwa ajili ya kufanya utafiti na vyombo vya udhibiti wa anga vimezipa vibali vya kuwa katika maeneo hayo....

 

11 years ago

Mwananchi

‘Lukuvi anajenga hofu kwa wananchi’

Siku chache baada ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu wa Bunge), William Lukuvi kudai kuwa iwapo mfumo wa serikali tatu utapita, jeshi litachukua nchi, wanazuoni wametafsiri kauli hiyo kuwa ni ya kuwajengea hofu wananchi.

 

10 years ago

StarTV

Wananchi Kyela wakumbwa na hofu ya mafuriko.

Na Mkombe Zanda,

Mbeya.

 

Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya imeanza kukumbwa na mafuriko yanayohatarisha usalama wa wananchi na mali zao kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha kwenye maeneo mbalimbali ya mkoa huo.

 

Kutokana na hali hiyo Serikali wilayani Kyela imewatahadharisha wananchi kuchukua tahadhari za kujiepusha na mafuriko hayo ikiwemo kuhama kutoka kwenye maeneo yaliyo kando ya mito na maziwa.

 

Aprili 12 mwaka jana watu Saba walifariki dunia wilayani Kyela mkoani Mbeya wakati kaya...

 

10 years ago

Vijimambo

Serikali yawaondoa wananchi hofu ya Marburg

Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ambaye pia ni Mganga Mkuu wa Serikali, Dk. Donald Mmbando
Serikali imewatoa hofu wa wananchi kuhusu ugonjwa mpya wa Marburg ambao umelipuka nchini Uganda huku dalili z\ake zikifanana na za Ebola.

Aidha Wizara imewataka wananchi kupuuzia taarifa zinazosambazwa na watu wachache kuwa ugonjwa wa ebola umeingia nchini wakati siyo kweli kwa kuwa Wizara ndio inatakiwa kutoa taarifa hizo.

Hayo yalisemwa jijini Dar es Salaam jana na Kaimu Katibu Mkuu...

 

5 years ago

Michuzi

Waziri awatoa hofu wananchi kuhusu Mloganzila

 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, Ummy Mwalimu na Prof. Lawrence Museru wakimsikiliza Bi. Anna Msaki akielezea namna anavyopatiwa matibabu hospitalini hapo. Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Tiba katika Hospitali ya MNH-Mloganzila, Dkt. Mohamed Mohamed akifafanua namna wataalam wa afya wanashirikiana katika kutoa huduma hospitalini hapa.Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akitoa mapendekezo ya namna eneo maalum...

 

5 years ago

Michuzi

Serikali yawatoa hofu ya dhulma wananchi wanaopakana na miradi ya liganga na Mchuchuma


Njombe

Serikali imewahakikishia manufaa makubwa na kuwaomba subira wananchi wa vijiji vya amani na Mundindi na vile vinavyopakana na miradi mikubwa ya Liganga na Mchuchuma iliyopo wilayani Ludewa mkoani Njombe kutokana na wananchi waliokuwa wanamiliki maeneo ya karibu na miradi hiyo kuhamishwa katika maeneo hayo huku wakisubiri fidia kwa muda mrefu mpaka sasa.

Akizungumza na wananchi wa kata ya Mundindi waziri wa madini Doto Mashaka Biteko amesema serikali haiwezi kuwatupa wananchi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Lema chupuchupu kutiwa nguvuni

Mbunge wa Jimbo la Arusha, Godbless Lema jana alinusurika kukamatwa na makachero wa Jeshi la Polisi ili kuhojiwa kutokana na ujumbe wake aliouposti kwenye mtandao wa kijamii akiandika: “Rais Kikwete mbona umeamua kuliangamiza taifa.”

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani