Linah hata kama unapiga ‘masanga’, piga kwa stepu!
KWAKO ndege mnana, Esterlina Sanga ‘Linah’, uhali gani mtoto mwenye sauti ya kipekee uliyetokea kwenye Jumba la Vipaji Tanzania (THT)? Shughuli zinakwendaje?
Kama muungwana, nimekukumbuka leo kwa barua. Kitambo kidogo hatujaonana.
imeona bora nikuandikie ili kufikisha kile ambacho kipo ndani ya nafsi yangu.
Ukitaka kujua hali yangu, mimi sijambo. Namshukuru Mungu maisha yanasonga kama kawa, huku nikiendelea kupambana katika shughuli za kila siku ili mkono uende kinywani, si unajua mjini...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies28 Dec
Hata Kama Una Fedha, Kwa Wolper Ulie Tu
KAMA una fedha na kisha ukawa ni mume wa mtu wala usihangaike kumfuata binti anayeitwa Wolper.
Jacqueline Masawe ‘Wolper ’ amedai hawapendi wanaume wenye fedha kwani wengi wao ni waume za watu na si rahisi kuonyesha mapenzi yao ya dhati kwake, pia hawezi kutembea nao hadharani kwa kuhofia ndoa zao.
“Unajua unapokuwa na mtu mwenye fedha zake halafu mtu mzima hivi unakosa penzi la kweli. Mapenzi yenu yatakuwa ya chumbani tu,” alisema.
“Hamtaweza kutembea pamoja, lakini ukiwa na...
10 years ago
Mwananchi21 Sep
Piga mswaki, piga deki, piga amani
10 years ago
Mwananchi17 Jan
DARASA HURU: Hata kama umbea unasaidia kuondoa ‘stress’ basi tutete kwa staha
9 years ago
Raia Mwema14 Oct
10 years ago
Bongo Movies18 Jan
Iyobo: Hata Kama Aunt Amenizidi Umri
DANSA wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moses Iyobo amenyanyua kinywa chake na kusema hata kama mpenzi wake, Aunt Ezekiel amemzidi umri, ataendelea kumpenda hivyohivyo.
Akizungumza na mwanahabari wa GPL juzikati, Iyobo.
alisema watu wengi wamekuwa wakihoji yeye kumpenda Aunt
ambaye ana umri wa miaka 29, hawajui tu mapenzi hayaangalii umri kwani miaka ni namba tu za kuhesabika.
“Age is just a number, mimi sioni tatizo kuwa na Aunt. Nategemeaanizalie, awe mama wa watoto wangu. Kuhusu wale...
9 years ago
Mtanzania21 Sep
Hemed: Nitatoa albamu hata kama hazilipi
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MWIGIZAJI Hemed Suleiman ‘PHD’ anatarajia kuachia albamu aliyoiita Virgo mapema mwakani tofauti na wasanii wengine wanaodai albamu hazilipi.
Albamu hiyo itakuwa ya kwanza tangu alipoingia katika muziki na anatarajia kuachia wimbo wa ‘Itabaki story’ ili kuwapa mashabiki wake alichokiandaa katika albamu hiyo.
“Itabaki story’ ni wimbo ambao upo ndani ya albamu hiyo pia nitaachia nyimbo nyingine mbili kama utambulisho wa albamu yangu ya kwanza toka nimeanza muziki,”...
9 years ago
Bongo527 Nov
Nitaimba hata Taarab kama itanilipa – Nay wa Mitego
Baada ya kutoa wimbo mpya, Nyumbani Kwetu, Nay wa Mitego amedai kuwa amepokea changamoto za baadhi ya wasanii kumdiss kuwa amehama kwenye hip hop na kufanya muziki mwingine.
Nay ameiambia Bongo5 kuwa anafanya muziki unaohitajika na mashabiki wake na yupo tayari kuimba hata Taarab kama itamlipa.
“Wapo ambao wanaendelea kudiss nimetoka kabisa kwenye Hip Hop na sipaswi kujiita mwanahiphop. Muziki ndio kazi yangu na ninafanya kile wanachohitaji mashabiki, nitaimba hata Taarab kama itakuwa...
10 years ago
GPLIYOBO: HATA KAMA AUNT AMENIZIDI UMRI, HAIHUSU
11 years ago
GPLDENTI: HATA MIMI NILIPENDA KUWA KAMA NINYI