LINAH, MCHUMBA’KE WATIBUANA!

Stori: Musa Mateja MCHELE ulionyooka! Staa wa Bongo Fleva, mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni, Estelina Sanga ‘Linah’ na mchumba’ke, Nangari Kombo wanadaiwa kutibuana, kisa kikidaiwa ni maneno ya wanafiki yasiyokuwa na ukweli. Staa wa Bongo Fleva, mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni, Estelina Sanga ‘Linah’ Habari za chini ya kapeti zilinyetisha kwamba mtiti kati ya wawili hao ulijiri...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi18 Feb
KIJANA MTANASHATI ATAFUTA MCHUMBA WA KUOA: Ona picha yake na sifa za mchumba huyo anayemtaka apo chini

Master Oscar John
Mimi ni kijana wa kitanzania ambaye nimekulia katika maadili ya kidini na malezi mazuri ya kifamia, napenda nichukue fursa hii nitangaze nafasi ya mchumba ambaye kama ata kidhi vigezo vyangu atakuwa ndio mke wangu wa ndoa. Kifupi mi ni mtaalam wa IT naishi Dar es salaam. Mchumba ninaye mtaka ni vema awe amekulia malezi ya kidini kwa sababu mimi ni mcha Mungu na napenda kusali kwa hiyo napenda na yeye awe hivyo, malezi yangu ni ya dini ya kikristo ni vema na yeye akawa...
9 years ago
Global Publishers04 Jan
Diamond, Romy Jones watibuana
Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,.
MUSA MATEJA
Kimenuka! Mbongo-Fleva mwenye taito kubwa Afrika kwa sasa, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, anadaiwa kutibuana na kaka yake, Romy Jones ‘Romy Jons’, kiasi kwamba hata mawasiliano ya simu hayapo kama ilivyokuwa zamani.
Hivi karibuni chanzo makini kimeliambia gazeti hili kwamba, Diamond na kaka yake huyo ambaye ni mtoto wa mama yake mdogo wamefikia hatua ya kutoongea na hata kuambatana katika kazi zao kama ilivyokuwa mwanzo ambapo Romy Jons ndiye...
11 years ago
GPL
MCHUMBA WA SI SIRI TENA!
11 years ago
GPL
MCHUMBA WA KUAMBIANA AIBUKA!
10 years ago
GPL
MCHUMBA: MASOGANGE KANISALITI
10 years ago
GPL
KUMTAFUTIA MCHUMBA ISIWE NONGWA
11 years ago
GPL
MCHUMBA AMSAKA JACK DUSTAN
11 years ago
GPL
MCHUMBA WA SHILOLE AKATALIWA UKWENI
11 years ago
GPL
SHILOLE, MCHUMBA’KE WAZICHAPA!