Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LINAH: NUSURA NIKOSE MILIONI 250

Musa Mateja MREMBO anayekimbiza na ngoma ya Ulithemba, Esterlina Sanga ‘Linah’, juzikati alifunguka kwamba, wivu wa mchumba wake Nangari Kombo ‘Nanga’,  nusura umkoseshe mamilioni ya fedha alizopewa kwenye udhamini na Kampuni ya Serengeti. Msanii wa muziki wa bongo fleva, Esterlina Sanga maarufu kama ‘Linah’. Akiteta na paparazi wetu ndani ya Ukumbi wa Escape One, Mikocheni jijini Dar es...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Tullow kuilipa Uganda dola milioni 250

Kampuni ya Tullow Oil imesema kuwa itailipa serikali ya Uganda dola milioni 250 baada ya kuafikiana kuhusu mgogoro wa kodi kwa mda mrefu.

 

11 years ago

Bongo Movies

Muigizaji Pastor Myamba apewa zawadi ya Tsh milioni 250 kwenye harusi yake.

Harusi ya Pastor Myamba pengine ndiyo harusi ya star wa Tanzania kuzawadia mali nyingi zaidi ! Myamba amefunga ndoa Zanzibar weend hii huku akizawadia zawadi kibao za mamilioni likiwemo gari na pesa taslim shilingi milioni 250 za kitanzania. Mastaa mbalimbali wamehudhuria harusi hiyo visiwani Zanzibar.

 

11 years ago

Bongo5

Picha: Kwa gari jipya na zawadi ya shilingi milioni 250, harusi ya Pastor Myamba ni funika bovu!

Kwa ukubwa wa zawadi aliyopewa, huenda harusi ya Pastor Myamba ikawa harusi ya staa wa Tanzania iliyofana na yenye stunts zaidi. Muigizaji huyo wa filamu aliukimbia mji wa Dar na kwenda kufungia harusi yake visiwani Zanzibar ambako hakuishia kualika mastaa wenzie tu, bali pia zawadi alizopewa, zinatosha kuanzisha kampuni yake nyingine. Pastor Myamba na mkewe […]

 

5 years ago

Michuzi

SIKU YA WAJANE DUNIANI, ZAIDI YA WAJANE MILIONI 250 WANAISHI KATIKA DIMBWI LA UMASIKINI

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na wajane katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, Aprili nne, 2019.
Na Leandra Gabriel, Michuzi TVKUPOTEZA wenza ni jambo linalovunja mioyo ya wanawake wengi duniani hasa kwa nchi zinazoendelea, wajane katika nchi hizo wamekuwa na muendelezo wa kutafuta mahitaji yao muhimu, haki zao pamoja na utu ambapo katika baadhi ya tamaduni nyingi za kiafrika huwachukulia wajane kwa namna ya tofauti ikiwemo kurithiwa na ndugu wa mume na...

 

10 years ago

Vijimambo

Floyd Mayweather ametangaza Rasmi Mpambano mkubwa wa dola za kimarekani milioni 250 dhidi ya Manny Pacquiao kwa kuonyesha mkataba uliosainiwa.


Pambano la pesa nyingi katika historia liko mbioni, Mayweather ameonyesha kopi ya mkataba uliosainiwa pamoja na Manny Pacquiao katika mitandao ya kijamii. Mpambano huo uliokuwa katika matayarisho kwa muda wa miaka mitano utafanyika MGM Grand Las Vegas.


Floyd Mayweather
 
Utakuwa ni mpambano ghali zaidi kutokea katika historia za ngumi zakulipwa, utagharimu jumla ya Dola za Kimarekani 250. Katika pesa hizo inaeleweka kuwa Mayweather anauhakika wa kuchukuwa Dola milioni 150 wakati Manny...

 

9 years ago

MillardAyo

Licha ya kusemwa kwa matumizi ya pound milioni 250, Louis van Gaal yupo katika mipango hii kwa sasa …

Kocha wa klabu ya Manchester United ya Uingereza Louis van Gaal January 2 amerudi kwenye headlines na hii, japokuwa haikutegemewa na wengi, kuona kocha wa sasa  wa Man United ambaye amekuwa akiandikwa katika headlines za soka juu ya hatma yake ndani ya Man United. Moja kati ya vitu vinavyoshangaza wengi ni juu ya kocha huyo […]

The post Licha ya kusemwa kwa matumizi ya pound milioni 250, Louis van Gaal yupo katika mipango hii kwa sasa … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

GPL

HAUSIGELI NUSURA AUAWE

Makongoro Oging’ na Shani Ramadhan
Msaidizi wa kazi za ndani (hausigeli), Rehema Ally (17), mkazi wa Yombo, Machimbo Mwisho, Ilala jijini Dar, amechanwachanwa kwa wembe na kisu sehemu mbalimbali za mwili wake, hali iliyosababisha alazwe katika Hospitali ya Amana kwa matibabu. Rehema Ally akiwa na majeraha mwilini mwake baada ya kujeruhiwa. Akizungumza na Uwazi nyumbani kwa mwajiri wake aliyejulikana kwa jina moja la...

 

11 years ago

GPL

MREMBO NUSURA ABAKWE

Mrembo aliyevaa kivazi cha ajabu kilichoacha wazi sehemu zake nyeti akisaidiwa na wasamaria wema baada ya kuvaa khanga. Stori:  Issa Mnally na Richard Bukos
MREMBO wa haja ambaye jina halikupatikana amenusurika kubakwa na wanaume baada ya kuvaa kivazi kilichoacha wazi sehemu kubwa ya maungo yake nyeti.…

 

11 years ago

BBCSwahili

Mmea wa Chikanda nusura kuangamia TZ

Mmea wa Chikanda Tanzania unakabiliwa na hatari ya kuangamia baada ya kuvamiwa na watu wanaoamini unatibu Ukimwi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani