Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lord Barden safi, Kizuka hoi Feasssa

Timu ya kikapu ya Lord Barden imekata tiketi ya kucheza robo fainali ya mpira wa kikapu kwenye mashindano ya Shule za Sekondari Afrika Mashariki na Kati (Feasssa), huku dada zao Kizuka wakihitaji ushindi dhidi ya mabingwa watetezi, St Mary’s Kitende leo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Makongo, Lord Barden fainali Feasssa

Timu ya kikapu ya Makongo na Lord Barden Powell zote za Tanzania zimekata tiketi ya kucheza fainali kwenye mashindano ya shule za sekondari za Jumuiya ya Afrika Mashariki (Feasssa) yanayomalizika leo na kufungwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.

 

10 years ago

Mwananchi

Lord Barden mabingwa wa kikapu

Timu ya Lord Barden Powel imetawazwa kuwa bingwa mpya wa mpira wa kikapu kwenye mashindano ya Shule za Sekondari ya Afrika Mashariki (Feasssa), yaliyofungwa jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

9 years ago

Bongo5

New Music: Layla (The Voice Fairy) — Hoi Hoi

12237221_1669908713222926_427056748_n

Wimbo wa msanii anayechipukia, Layla A. Walden aka The Voice Fairy uitwao ‘Hoi Hoi.’ Umetayarishwa kwenye studio za AM Records.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

11 years ago

BBCSwahili

Ni shangwe na hoi hoi Ujerumani

Maelfu ya mashabiki wa soka nchini Ujerumani wamekusanyika tangu asubuhi mjini Berlin kuwakaribisha wachezaji wa timu ya taifa ya soka ambayo ilishinda kombe la dunia Brazil.

 

10 years ago

Mwananchi

Makongo yafanya mauaji Feasssa

Timu ya netiboli ya Makongo imekuwa timu ya kwanza kufunga magoli mengi kwenye mashindano ya Shule za Sekondari Afrika Mashariki (Feasssa), baada ya kuicharaza bila huruma LCC Islamique ya Burundi magoli 107-4.

 

10 years ago

Mwananchi

Kikwete mgeni rasmi Feasssa

Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika sherehe za ufunguzi wa mashindano ya Shirikisho la Shule za Sekondari Afrika Mashariki na Kati (Feasssa).

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mchujo FEASSSA kuanza Agosti 10

MCHUJO wa kufuzu ushiriki wa michuano ya Shule za Sekondari za Afrika Mashariki (FEASSSA) unatarajiwa kuanza Agosti 10 katika viwanja vya Shule ya Sekondari Makongo, jijini Dar es Salaam. Kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania yatamba kung’ara Feasssa

Wakati pazia la michuano ya 13 ya Shirikisho la Shule za Sekondari Afrika Mashariki na Kati (Feasssa) likifunguliwa asubuhi hii, makocha wa timu za Tanzania wamewatoa hofu mashabiki wakisema wamejipanga kubakisha ubingwa nyumbani.

 

10 years ago

Michuzi

Mashindano ya FEASSSA yaanza kutimua vumbi

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard K. Membe akitoa hotuba kwa niaba ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa uzinduzi wa mashindano ya Michezo ya shule za Sekondari za Afrika Mashariki yajulikanayo kama FEASSSA (Federation of East Africa Secondary Schools Sports Association), jana katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu, (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) Mhe. Hawa Ghasia akiwakaribisha wanamichezo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani