Lowassa afurahia tuzo
![](http://4.bp.blogspot.com/-4v_CvaCJSGA/VnbWjqDcqnI/AAAAAAAAXfw/773daBrNJX0/s72-c/lowassa-ukawa.jpg)
Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA na kuungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ameishutumu serikali kwa kuwakataza kufanya mikutano ya kuwashukuru wananchi na ameifananisha hatua hiyo sawa na uoga usio na msingi.Akizungumza kupitia taarifa iliyotolewa na msemaji wake, Aboubakary Liongo, Lowassa alisema kuzuiwa kwake na upinzani kuzunguka nchi nzima
CHADEMA Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog09 Dec
Asia Idarous afurahia tuzo ya maisha ya SFW 2014
“Tuzo ya Life Time Achievement Swahili Fashion Week 2014, ni furaha ya maisha yangu”
Na Andrew Chale
USIKU wa Desemba 7, 2014, imekuwa ya furaha na ya kipekee kwa Mbunifu mkongwe mitindo na mavazi ndani na nje ya Tanzania, Asia Idarous Khamsin ama ‘Mama wa Mitindo Tanzania’, baada ya kuzawadiwa tuzo maalumu ya ‘Life Time Achievement Swahili Fashion Week 2014, kutoka Swahili Fashion Week, amesema tuzo hiyo ni furaha ya Maisha yake na ataendelea kutumia wasaha wa kuinua tasnia ya...
9 years ago
Mwananchi20 Dec
Tuzo ya amani imewaumbua CCM-Lowassa
9 years ago
Mwananchi19 Dec
Taasisi 1,200 duniani zampa tuzo ya amani Edward Lowassa
9 years ago
BBCSwahili13 Nov
Kikwete afurahia alivyoanza Magufuli
10 years ago
BBCSwahili05 Aug
Di maria afurahia kujiunga na PSG
9 years ago
Habarileo05 Jan
Majaliwa afurahia hali ya chakula
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameeleza kufurahishwa na hali ya chakula mkoani Ruvuma, ikiwa kati ya mikoa inayotegemewa kwa uzalishaji wa chakula kwa wingi nchini.
11 years ago
Tanzania Daima12 Jan
Dk. Ndugulile afurahia Kigamboni kugawanywa
MBUNGE wa Kigamboni, Dk. Faustine Ndugulile, amesema uamuzi wa Baraza la Madiwani wa Manispaa ya Temeke kuridhia kuligawanya jimbo lake utakuwa na manufaa kwa maendeleo ya wakazi wake. Alisema ukubwa...
10 years ago
Habarileo06 Dec
Kenyatta afurahia kuachiwa huru
RAIS Uhuru Kenyatta ameelezea kufurahishwa na uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC), kutupilia mbali kesi ya jinai iliyokuwa ikimkabili, baada ya Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Mahakama hiyo, Fatou Bensouda kuondoa mashitaka dhidi ya Rais huyo.
10 years ago
Habarileo09 Aug
Liewing afurahia wakongwe Stand Utd
KOCHA wa Stand United, Patrick Liewig amefurahia kuwepo kwa Masoud Nassoro, Haroun Chanongo na Amri Kiemba kwenye kikosi chake.