Lowassa aiteka Mwanza
Elias Msuya na Fredrick Katulanda
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amepata mapokezi makubwa jijini Mwanza alikokwenda kutafuta udhamini kwa ajili ya kuomba kuwa mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambapo jumla ya wanachama 2,927 wamejitokeza kumdhamini.
Lowassa aliyewasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza saa tano asubuhi, alipokelewa kwa maandamano ya pikipiki, magari na watu watembeao kwa miguu kuelekea ukumbi wa mikutano wa Mahatma Gandhi uliopo Nyamagana.
Mapokezi hayo...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mzalendo Zanzibar06 Sep
Lowassa aiteka ngome ya CCM
Mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi(Ukawa), Edward Lowassa akihutubia wananchi kwenye uwanja Town School, mjini Tabora jana. 6th September 2015 Harakati za mgombea urais kupitia Chama cha […]
The post Lowassa aiteka ngome ya CCM appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Mwananchi16 Sep
Lowassa aiteka ngome ya Magufuli Chato
9 years ago
Mtanzania02 Oct
Edward Lowassa aiteka tena Dar
MAELFU ya wakazi wa Dar es Salaam jana waliacha shughuli zao zote na kujiunga katika msafara wa mgombea urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, ambaye alikuwa na mikutano ya kampeni katika majimbo ya Temeke, Segerea, Ubungo na Kawe.
Lowassa aliwasili Temeke katika Uwanja vya Mwembeyanga saa 05:20 asubuhi ambako alilakiwa na mamia ya wananchi waliofika kumsikiliza.
Akifuatana na Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye...
9 years ago
Mwananchi13 Oct
Lowassa: Mwanza jiandaeni
9 years ago
Mwananchi24 Sep
Lowassa, Magufuli waikwepa Mwanza
9 years ago
Mtanzania17 Oct
Lowassa aaga Mwanza, kutikisa Mbeya
Na Fredy Azzah, Mwanza
ZIKIWA zimebaki siku nane kuanzia sasa kabla ya kufanyika Uchaguzi Mkuu, mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amemaliza mikutano yake ya kampeni katika mikoa ya Kanda ya Ziwa kwa kuwasisitiza wanachama wake kuhakikisha wanalinda kura zao.
Baada ya kumaliza ziara zake katika kanda hiyo, Lowassa, anayeungwa mkono na vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), leo anatarajia kuanza mikutano mkoani Mbeya.
Mkoa...
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-Bk6e3DjksM0/Vhv4PK8AU9I/AAAAAAAAbAM/B8Xxv0lEOHE/s72-c/OTH_0900.jpg)
LOWASSA ATISHA MWANZA WENGI WAZIMIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-Bk6e3DjksM0/Vhv4PK8AU9I/AAAAAAAAbAM/B8Xxv0lEOHE/s640/OTH_0900.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-S0dRVLGTH4U/Vhv5BQN0I-I/AAAAAAAAbAc/5UNfzp9OZV4/s640/OTH_9823.jpg)
10 years ago
Mtanzania03 Apr
Wanafunzi Mwanza wamtaka Lowassa achukue fomu
NA BENJAMIN MASESE, MWANZA
WANAFUNZI wa vyuo vya elimu ya juu mkoani Mwanza, wamemwomba Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, achukue fomu ya kuwania urais ndani ya CCM muda utakapofika.
Wamesema kutokana na uchapakazi wa kiongozi huyo wamelazimika kutoa tamko lao kwa umma la kumwomba mbunge huyo wa Monduli asikilize kilio chao cha kuwania urais baada ya kutangazwa utaratibu na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Wanafunzi hao wa vyuo vya Mtakatifu Augustino (SAUT), Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE)...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-Skk7ZIhvvoE/VXGjO9_aSOI/AAAAAAAAUhA/SPw_bZE4ExM/s72-c/Lowassa_MZA2.jpg)
LOWASSA YUKO ZIARANI MWANZA KUOMBA WADHAMINI.
![](http://1.bp.blogspot.com/-Skk7ZIhvvoE/VXGjO9_aSOI/AAAAAAAAUhA/SPw_bZE4ExM/s640/Lowassa_MZA2.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-Lk9t11NgM5U/VXGjVGWmawI/AAAAAAAAUhI/26SW3SWYIhE/s640/Lowassa_MZA3.jpg)