Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LOWASSA AKANUSHA KUMILIKI AKAUNTI YA TWITA

Toka bunge limeanza mjadala wa kadhia ya Escrow account,kuna mtu au kikundi kwa sababu wanazozijua wao wenyewe wameanzisha akaunti ya mtandao wa Twitter kwa jina la Edward Ngoyai Lowassa,@edwardlowasa.

Kwa kutumia ukurasa huo, mtu huyo amekuwa akiandika masuala kadhaa kuhusiana na suala hilo la escrow account na kile kinachoendelea bungeni, ikionekana kama ni kauli ya Mh Lowassa.

Tunawaomba wananchi kupuuza yote yanayoandikwa katika ukurasa huo.Watanzania tuachane na tabia ya matumizi ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND AKANUSHA KUPEWA MILIONI 500 NA LOWASSA ILI AMPIGIE KAMPENI....ASEMA TAARIFA HIZO ZINALENGO LA KUMCHAFUA LOWASSA

Meneja wa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Nasib Abdul ‘Diamond’, Babu Tale, amesema hawajawahi kupewa kiasi cha fedha Sh mil 500 na Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, ili wampigie kampeni za urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).Akizungumza na Mpekuzi, Babu Tale alisema watakuwa wehu kukataa fedha nyingi kiasi hicho wakati wenyewe wanafanya muziki ili kupata fedha, lakini ukweli ni kwamba hawajapewa kitu chochote.
Alisema hata hivyo Diamond yupo tayari kumfanyia kampeni mgombea yeyote...

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa aikana akaunti ya Twitter

Waziri mstaafu, Edward Lowassa amekanusha taarifa mbalimbali zinazoenezwa na mitandao ya kijamii kuhusiana na mjadala wa wizi wa fedha za Akaunti ya Tegeta Escrow Sh306 bilioni.

 

11 years ago

Mwananchi

Watu binafsi kumiliki treni

Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) inatarajiwa kupata ushindani baada ya Serikali kuamua kuruhusu wawekezaji wa sekta binafsi kutumia Reli ya Kati.

 

9 years ago

Mwananchi

Arusha yaongoza kumiliki bastola

Mkoa wa Arusha umetajwa kati ya mikoa ya pembezoni nchini ambayo inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watu wanaomiliki silaha za moto, hasa bastola.

 

10 years ago

Mwananchi

Aina za kampuni unazoweza kumiliki

Ndugu msomaji wa Uwanja wa Kambole, leo tutajikita kwenye aina za kampuni zinazotambuliwa na sheria namba 12 ya mwaka 2002. Kuna aina mbalimbali za kampuni na zinatofautiana kulingana na uhitaji na malengo ya mtu anayefungua pia akipata ushauri wa mwanasheria wake. Zifuatazo ni aina za kampuni Tanzania.

 

10 years ago

BBCSwahili

Matajiri kumiliki mali zaidi

Shirika la kimataifa la misaada nchini Uingereza, Oxfam, limeonya kwamba kufikia mwaka ujao, matajiri ambao ni asilimia moja ya idadi ya watu duniani, watamiliki mali zaidi kuliko asilimia 99 iliyosalia ya watu.

 

11 years ago

Mwananchi

Watano wadaiwa kumiliki bunduki

Watu watano wanaodhaniwa kuwa majambazi wamekamatwa na polisi wilayani Korogwe mkoani Tanga kwa tuhuma za kukutwa na bunduki aina ya Shortgun na sare za polisi wakati wakijiandaa kwenda kufanya uhalifu .

 

11 years ago

GPL

UNAFAHAMU NDOA NI SAWA NA KUMILIKI GARI?

HABARI wapendwa wasomaji wa safu hii. Kesho ni sikukuu ya Krismas, nadhani wengi mmefanya maandalizi mazuri ili watoto wafurahi kwa kujumuika na wenzao katika michezo mbalimbali baada ya ibada. Na siyo vibaya kwa nyinyi wakristo, kutualika hata sisi tusiokuwa wakristo ili tujumuike pamoja katika kumtukuza Mungu, kwani ndiyo kimbilio letu sote. Kichwa cha habari hapo juu kinazungumza kila kitu kuhusu uhusiano wa kimapenzi au...

 

11 years ago

Mwananchi

Mengi atetea wazawa kumiliki gesi

Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Reginald Mengi, amesema hoja kwamba Watanzania hawana mtaji wa kumiliki vitalu vya gesi si sahihi kwa kuwa gesi yenyewe ni mtaji wa kutosha kwa Watanzania.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani