Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa, Dk Magufuli wachachamalia umeme

Wagombea urais kwa tiketi za vyama vya Chadema na CCM jana waliungana kuzungumzia tatizo la umeme, walipoahidi kuwashughulikia wahusika endapo mmoja wao ataingia Ikulu wakati walipokuwa wakihutubia kwenye mikutano tofauti ya kampeni jana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Kagera wachachamalia maabara shule za kata

WANANCHI mkoani Kagera kwa kushirikiana na uongozi wa wilaya zao wameelezwa kuwa hakuna nchi yoyote duniani inayoweza kupata maendeleo bila kuzalisha wanasayansi, hivyo Serikali ya Mkoa imetoa agizo ifikapo Juni mwaka kesho shule zote za kata ziwe na maabara mbili.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hivi Lowassa na ulanguzi umeme bado anaota urais?

KWA wanaokumbuka ndoa ya Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa na Kampuni ya kitapeli ya Richmond iliyosababisha atimuliwe madarakani, hawana shaka kuwa ndoa hii haiwezi kuvunjika. Hata ikivunjika, bado mirindimo...

 

9 years ago

MillardAyo

Rais Magufuli ndani ya Ikulu na ugeni kutoka Japan, mipango ya umeme ilivyojadiliwa..(+Audio)

Dec 14 2015, Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alikutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Japan Masaharu Yoshida Ikulu jijini Dar es salaa ikiwa ni pamoja na kujadili kuhusu ujenzi wa mtambo wa kuzalisha umeme wa Kinyerezi namba mbili utakaozalisha megawatts 240 za umeme na utakaogharimu Dola za kimarekani milioni 344.2. Hii ndio video kutokea Ikulu, wawezakuitazama kwa […]

The post Rais Magufuli ndani ya Ikulu na ugeni kutoka Japan, mipango ya umeme ilivyojadiliwa..(+Audio)...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AZIDI KUIBOMOA CHADEMA KILIMANJARO,AWATOLEA UVIVU WATENDAJI WA SHIRIKA LA UMEME NCHINI

 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akimnadi mgombea Ubunge wa jimbo la Moshi mjini Ndugu Davis Mosha kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Mashujaa,mkoani Kilimanjaro jioni ya leo. Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli na mgombea ubunge wa jimbo la Moshi mjini Ndugu Davis Mosha wakimsikiliza Bw. Lema aliyekuwa Katibu wa Chadema wilaya ya Hai wakati alipojiunga na CCM katika mkutano huo.
 Mgombea ...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Dk. Magufuli, Lowassa 50/50

ZIKIWA zimesalia siku 72 kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu mwaka huu, baadhi ya wachambuzi wa masuala ya siasa nchini wanaamini kuwa hadi sasa hakuna mgombea mwenye uhakika wa ushindi wa moja kwa moja.

Wagombea wawili, Dk. John Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Edward Lowassa wa Chadema ndio wanaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.

Akizungumzia uchaguzi huo, Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania (Jukata), Deus Kibamba, aliliambia Raia Tanzania kuwa uchaguzi wa mwaka huu...

 

9 years ago

Raia Mwema

Ni Lowassa au Magufuli?

USHINDANI Mkali katika uchaguzi wa mwaka huu unamfanya mtu atake kujua kama Baba wa Taifa, Mwali

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

TheCitizen

Nagu: I know Lowassa and Magufuli

A Cabinet minister, Dr Mary Nagu, has said she knows very well both the CCM presidential candidate, Dr John Magufuli, just as she knows Mr Edward Lowassa of the opposition Chadema, having worked with them in government for many years, but urged voters to go for the CCM choice in the forthcoming General Election.

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli, Lowassa wamwaga sera

Wakati mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa akikanusha kuwa hana mashamba kama inavyodaiwa, mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli amesema alikuwa akipokea amri na kutekeleza majukumu, sasa anataka apewe nchi aweze kutoa amri kwa wengine.

 

9 years ago

Mwananchi

Mpambano mkali Lowassa, Dk Magufuli

Wagombea wa CCM na Chadema wanaendelea kuchuana vikali kwenye mbio za urais baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kutangaza matokeo ya majimbo 113.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani