‘FISI MTU AMENIHARIBIA MAISHA’
![](http://api.ning.com:80/files/FqkiRUfegCjnMxJnG4lC5x4TnIuxCa4hqxoO1qfnsswuqkSwzsbGniF6qPoIq-Tp9vIixrxUEpnReRRh1mtDQM*xCiMyFj5S/fisimtu.jpg?width=650)
Jelard Lucas na Makongoro Oging' “MSEMO wa wahenga, hujafa Hujaumbika ulikuwa sahihi kabisa. Wahenga waliona mbali, wanatakiwa kuheshimiwa kwani misemo yao inaishi mpaka leo. Ni kweli binadamu kamili ni yule anayezikwa, kabla ya hapo hujakamilika. “Unaweza kuishi na viungo vyako vyote miaka hamsini, lakini siku ya mwisho ukapata ajali, ukakatika mikono na kufa, pale ndiyo umeumbika sasa,†ndivyo anavyoanza...
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-hQByaJoUjY8/Xto6ggttu_I/AAAAAAALssY/lVk9keCegEgwbggbYTlD7qqQP597cqT8QCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
SITASHANGAA MTU AKIJIITA MAGUFULI AU HATA AKIJIITA FISI NI YEYE MWENYEWE- DK.MAGUFULI
![](https://1.bp.blogspot.com/-hQByaJoUjY8/Xto6ggttu_I/AAAAAAALssY/lVk9keCegEgwbggbYTlD7qqQP597cqT8QCLcBGAsYHQ/s400/1.jpg)
Na Said Mwishehe, Michuzi TV.
RAIS Dk.John Magufuli ameendelea kusisitiza kuwa Watanzania wasikubali kupewa msaada wa barakoa na kisha kuzivaa bila kujua zilikotoka kwani hiyo huenda ikawa njia nyingine ya kuingiza Corona nchini.
Amefafanua licha ya kutoa maelekezo na maagizo kwa Wizara ya Afya na kwa viongozi wa mikoa na wilaya ameshudia watu wakipewa barakoa na juzi kwenye taarifa ya habari ameona kuna grupu linajiita...
11 years ago
Mwananchi27 Feb
Maisha ni vita, pigana utashinda usiogope mtu
11 years ago
Mwananchi23 May
Kanuni za sayansi za kusaidia mtu kuishi maisha marefu
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-yNULcG2812o/VVSziYNkSoI/AAAAAAAHXUM/lEecZ3fAIYg/s72-c/image061.jpg)
Mtu Mmoja apoteza maisha kwa Mafuriko jijini Dar
![](http://1.bp.blogspot.com/-yNULcG2812o/VVSziYNkSoI/AAAAAAAHXUM/lEecZ3fAIYg/s400/image061.jpg)
Tukio hili lilitokea tarehe 13/05/2015 majira ya saa nane kamili mchana huko...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/CZg18Bj5wVE/default.jpg)
5 years ago
BBCSwahili29 Feb
"Maisha yake ni sawasawa na mtu aliyekufa na kufufuka" kulingana na mama yake
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-24CsRujhlCw/VS5FUbKMsqI/AAAAAAAHRRQ/S_vFcJGnXP4/s72-c/IMG-20150415-WA0045.jpg)
NEWZZ ALERT;MTU MMOJA APOTEZA MAISHA KUFUATIA AJALI YA BASI LA JORDAN KUPINDUKA NZEGA,LIKITOKEA JIJINI MWANZA KWENDA ARUSHA.
![](http://4.bp.blogspot.com/-24CsRujhlCw/VS5FUbKMsqI/AAAAAAAHRRQ/S_vFcJGnXP4/s1600/IMG-20150415-WA0045.jpg)
Mtu mmoja amefariki dunia huku wengine 25 wakijeruhiwa katika ajali ya basi la abiria la Jordan lenye usajili wa namba T 650 AQZ lililokuwa likitokea jijini Mwanza kwenda mkoani Arusha na kupinduka leo wilayani Nzega,Tabora.Mpaka sasa chanzo cha ajali hiyo bado hakijajulikana.
![](http://3.bp.blogspot.com/-tXAyhsmhNUE/VS5FTTHjAsI/AAAAAAAHRRE/KnSSu-YP4kM/s1600/IMG-20150415-WA0039.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-Qi1DswkaKC0/VS5FS0wPhwI/AAAAAAAHRQ8/0h7X2lFpg1A/s1600/IMG-20150415-WA0040.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jIM5ZSWhuBb8jB*WaqzBpMwJ2gxTLCjfRO2mf7dTJIK0TlFtkmYOt-EHK28qcIpKa29vqR0aYmjTHAqoOKO0gnkikq039JQs/HelenFlanaganCuteWallpaper.jpg?width=650)
FISI HAACHIWI BUCHA
9 years ago
Mwananchi26 Aug
Magufuli na mfupa uliomshinda fisi