Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LULU MASOMO YAMZUIA KUJIRUSHA

Imelda Mtema
STAA wa filamu  Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amekiri kuwa ubize wake katika masomo umemzuia kwa kiasi kikubwa kupata muda wa kufikiria mambo ya kijinga na hata kujirusha. Staa wa filamu  Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Akichonga na paparazi wetu juzikati, Lulu alisema mtu akisimamia kwenye masomo hawezi kuwa na mawazo mabovu kama ya kwenda kujirusha au kupata kilevi badala yake...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Shule Yamzuia Lulu Kujirusha

Staa  mrembo kutoka Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amekiri kuwa ubize wake katika masomo umemzuia kwa kiasi kikubwa kupata muda wa kufikiria mambo ya kijinga na hata kujirusha.

Akiongea na paparazi wa GPL, Lulu alisema mtu akisimamia kwenye masomo hawezi kuwa na mawazo mabovu kama ya kwenda kujirusha au kupata kilevi badala yake unajikuta ukifikiria masomo na mitihani tu.

“Jamani kama mimi sasa hivi sina hata ninachokiwaza zaidi ya masomo yangu na mitihani ninayokutana nayo yaani...

 

10 years ago

GPL

MKE AENDA KUJIRUSHA, AFA

Rest in peace! Mwanamke, Glorian Zuberi ‘Fatuma’ amefariki dunia baada ya bodaboda aliyokuwa amepanda kugongwa na gari aina fuso, akitokea kujirusha. Tukio hilo la kusikitisha lilijiri hivi karibuni, majira ya saa 8:00 usiku katika Barabara Kuu ya Morogoro-lringa eneo la Kwajeta jirani na Ukumbi wa Contena mjini hapa. Habari zilieleza kwamba mwanamke huyo alipokuwa kwenye ukumbi huo akila bata, alionekana kuwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Mtuhumiwa wa ugaidi ajaribu kujiua kwa kujirusha ghorofani

Mtu anayedaiwa kuwa mratibu wa matukio ya ugaidi, uporaji wa silaha na mauaji katika vituo vya polisi , Ally Ulature (60) amejeruhiwa baada ya kujirusha katika ghorofa  kwa kile kinachodhaniwa kuwa ni azimio la kujiua  au kutoroka.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Serikali yamzuia Lowassa Jangwani:

Serikali yamzuia Lowassa Jangwani: MKURUGENZI wa Manispaa ya Ilala, Claud Mpelembwa amezuia mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Urais, mgombea wa Chadema, Edward Lowassa kufanyika katika viwanja vya Jangwani kwa madai ya uwanja huo kuwa na […]

The post Serikali yamzuia Lowassa Jangwani: appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

GPL

Uganda yamzuia Okwi kuzungumza na Yanga

Mshambuliaji wake, Emmanuel Okwi. Na Sweetbert Lukonge
BAADA ya kauli ya Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji kuwa klabu hiyo inamdai mamilioni ya fedha mshambuliaji wake, Emmanuel Okwi kutokana na kushindwa kuitumikia timu hiyo kwa wakati mara baada ya kusajiliwa, suala hilo sasa limewekwa kiporo. Katibu Mkuu wa Yanga, Beno Njovu ameliambia Championi Ijumaa kuwa, bado hawajaamua cha kufanya juu ya Okwi kwa kuwa wanamsubiri...

 

11 years ago

GPL

SIMBA YAMZUIA LOGA KURUDI KWAO

Kocha wao mkuu, Zdravko Logarusic. Na Nicodemus Jonas
UONGOZI wa Klabu ya Simba umegoma kumpa ruhusa ya kupumzika kocha wao mkuu, Zdravko Logarusic, baada ya kocha huyo kuomba mapumziko ya muda. Msemaji wa Simba, Asha Muhaji, amesema Loga aliomba likizo fupi wiki kadhaa zilizopita, lakini ikashindikana kutokana na ratiba ya ligi kubana.…

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Serikali ya CCM yamzuia Lowassa Jangwani:

Serikali yamzuia Lowassa Jangwani: MKURUGENZI wa Manispaa ya Ilala, Claud Mpelembwa amezuia mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Urais, mgombea wa Chadema, Edward Lowassa kufanyika katika viwanja vya Jangwani kwa madai ya uwanja huo kuwa na […]

The post Serikali ya CCM yamzuia Lowassa Jangwani: appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

BBCSwahili

icc yamzuia Gbabo kumzika mamake

Majaji katika mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai na uhalifu wa kivita huko The Hague,yamzuia Gbabo kumzika mamake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani