Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maafisa Mipango washirikishe makundi maalum upangaji bajeti — DED Ikungi

DSC01247

Mkuu wa shule ya msingi Ikungi mchanganyiko wilaya ya Ikungi, Mwl. Olivary Kamilly, akitoa taarifa yake kwenye kilele cha mahafali ya 63 yaliyofanyika kwenye viwanja vya shule hiyo kongwe iliyoanzishwa mwaka 1944.

Na Nathaniel Limu, Ikungi

MWENYEKITI  wa halmashauri ya wilaya Ikungi mkoani SIngida, Celestine Yunde, amewaagiza maafisa mipango kushirikisha viongozi wa taasisi zenye mahitaji maalumu wakati wa kuandaa bajeti.

Mwenyekiti Yunde ametoa wito huo wakati akizungumza kwenye mahafali...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAAFISA MIPANGO WASHIRIKISHE MAKUNDI MAALUM UPANGAJI BAJETI - DED IKUNGI

DSC01247Mkuu wa shule ya msingi Ikungi mchanganyiko wilaya ya Ikungi, Mwl. Olivary Kamilly, akitoa taarifa yake kwenye kilele cha mahafali ya 63 yaliyofanyika kwenye viwanja vya shule hiyo kongwe iliyoanzishwa mwaka 1944.
Na Nathaniel Limu, IkungiMWENYEKITI wa halmashauri ya wilaya Ikungi mkoani SIngida, Celestine Yunde, amewaagiza maafisa mipango kushirikisha viongozi wa taasisi zenye mahitaji maalumu wakati wa kuandaa bajeti.
Mwenyekiti Yunde ametoa wito huo wakati akizungumza kwenye mahafali ya 63...

 

10 years ago

GPL

MAAFISA MIPANGO WASHIRIKISHE MAKUNDI MAALUM UPANGAJI BAJETI - DED IKUNGI‏

Mkuu wa shule ya msingi Ikungi mchanganyiko wilaya ya Ikungi, Mwl. Olivary Kamilly, akitoa taarifa yake kwenye kilele cha mahafali ya 63 yaliyofanyika kwenye viwanja vya shule hiyo kongwe iliyoanzishwa mwaka 1944. Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Ikungi, Celestine Yunde, akizungumza kwenye mahafali ya 63 ya shule ya msingi Ikungi mchanganyiko yaliyofanyika kwenye viwanja vya… ...

 

9 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA KUJADILI UPANGAJI WA MIPANGO WA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA

Katibu Tawala wa Wilaya ya Iringa, Martin Mlwafu akifungua mkutano wa kujadili upangaji wa mipango ili kuboresha upatikanaji wa huduma bora za afya katika halmashauri ya wilaya ya Iringa uliofanyika mjini Iringa leo.Afisa Uchechemuzi (Advocacy Strategies) kutoka TACOSODE, Abraham Kimuli akifafanua jambo wakati mkutano.

Mkutano huo wenye madhumuni ya kushirikiana katika matokeo ya utekelezaji wa mradi wa CEGO (citizens engaging in government oversight in health service provision ) kwa kupitia...

 

5 years ago

Michuzi

DC IKUNGI ATOA MAAGIZO MAZITO YA UGONJWA WA CORONA KWA MAAFISA AFYA


Mkuu wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Edward Mpogolo,  akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Mpugizi Kata ya Mwaru wilayani humo. 
Na Dotto Mwaibale.
MKUU wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Edward Mpogolo amewaagiza maafisa Afya wa wilaya hiyo kupita kwenye maeneo yenye muingiliano wa kila siku wa watu, minadani na maegesho ya malori yaendayo nje ya nchi na yaingiayo nchini kukagua hatua za tahadhari za maambukizi ya ugonjwa  wa Corona.
Mpogolo alitoa maagizo hayo jana wakati akufungua...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa Maafisa Mipango kufanyika Oktoba

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini (Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango), Bi Joyce Mkinga (Kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati alipokuwa akitoa taarifa ya kufanyika kwa Mkutano wa Maafisa Mipango unaotarajiwa kufanyika Mwezi wa Oktoba mwaka huu. Kulia ni Mchumi Mkuu (Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango), Bw. Omary Juma.

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA MAAFISA MIPANGO WAFUNGULIWA RASMI

Mkutano wa kitaalamu ambao unawakutanisha wataalamu mbalimbali kutoka tasnia za mipango, uchumi, takwimu na maendeleo, wenye wajibu wa kusimamia uchumi na mipango umefunguliwa rasmi na kuwakutanisha kwa pamoja wakurugenzi wa sera na mipango, maafisa mipango kutoka kwenye wizara, Serikali za Mitaa, idara na wakala wa Serikali, pamoja na taasisi za kitaaluma na watafiti wanaojishughulisha na masuala ya maendeleo na uchumi.

Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo, Balozi (Mstaafu) Dkt....

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI LUMBANGA AFUNGUA RASMI MKUTANO WA MAAFISA MIPANGO

 Mgeni Rasmi wa mkutano wa mwaka wa wachumi na maafisa mipango, Balozi Dkt. Matern Lumbanga akizungumza na washiriki wa Mkutano huo kabla ya kuufungua rasmi. Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Dkt. Philip Mpango akisoma hotuba wakati wa mkutano wa mwaka wa wachumi na maafisa mipango unaofanyika jijini Dar es Salaam.  Baadhi ya viongozi wa wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakimsikiliza kwa makini Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Dkt. Philip Mpango (Hayupo...

 

11 years ago

Habarileo

Vyama kuondoa makundi Bunge Maalum

VIONGOZI wa vyama vya siasa nchini wameanza kujadili namna ya kuondoa makundi katika Bunge maalumu la Katiba kwa njia ya mazungumzo, yakielezwa ndivyo yanayosababisha migogoro iliyopo.

 

11 years ago

Habarileo

Bunge Maalum kutoapishwa kwa makundi

WAJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba wataapishwa mmoja mmoja badala ya makundi, ingawa utaratibu huo umepingwa na baadhi ya wajumbe kuwa utaitia hasara serikali zaidi ya Sh milioni 500. Uamuzi huo wa kuapa mmoja mmoja, unapingana na ushauri wa Kamati ya Kanuni iliyo chini ya Mwenyekiti wake, Profesa Costa Mahalu iliyopendekeza wajumbe waape kwa makundi, kufuatana na imani za dini zao, kazi ambayo ingechukua siku moja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani