Mafia yawatangazia vita wanaowapa mimba wanafunzi
Wilaya ya Mafia imetangaza mkakati wa kuwasaka kwa siri watu wanaohusika na kuwapa mimba wanafunzi ili kuwachukulia hatua za kisheria.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima29 May
Mbunge ataka sheria kuwabana wanaowapa mimba wanafunzi
MBUNGE wa Viti Maalumu, Christowaja Mtinda (CHADEMA), ameitaka serikali kuja na sheria nyingine itakayowabana wanaume wanaowapa mimba wanafunzi. Akiuliza swali bungeni jana, alisema sheria ya sasa haina meno na kwamba...
11 years ago
Tanzania Daima22 Apr
CCM yawatangazia vita UKAWA
UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umetangaza vita kwa vyama vya siasa, hususan kwa wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA). UVCCM imesisitiza kupambana na wajumbe wa...
11 years ago
Tanzania Daima23 Jul
Mimba za wanafunzi zamshtua JK
RAIS Jakaya Kikwete ameshtushwa na kiwango kikubwa cha wanafunzi katika Mkoa wa Ruvuma kushindwa kumaliza shule kwa sababu mbalimbali ukiwemo utoro na mimba. Utoro na mimba za wanafunzi ni mambo...
9 years ago
Habarileo21 Aug
Wanafunzi wafundwa kuepuka mimba
WANAFUNZI wa shule za msingi na sekondari wilayani Namtumbo wametakiwa kujiepusha kushiriki katika vitendo vinavyoweza kukatisha ndoto zao kama vile mimba za utotoni na kupata virusi vya Ukimwi.
10 years ago
Uhuru Newspaper18 Sep
Wanafunzi wadungwa sindano kuzuia mimba
NA MWANDISHI WETU
WAKATI taifa likihaha kusaka tiba ya mimba za utotoni ili kuwezesha watoto wa kike kupata elimu, baadhi ya wauguzi wilayani Newala, Mtwara, wameibuka na mbinu mpya.
Wauguzi hao wanadaiwa kuwachoma sindano za uzazi wa mpango wanafunzi wa shule za msingi, kinyume cha utaratibu kwa lengo la kuwakinga na mimba zisizotarajiwa.
Hayo yamebainika kupitia taarifa ya Matokeo ya Ripoti ya Utafiti uliofanywa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA).
TAMWA iliendesha...
10 years ago
BBCSwahili04 Dec
Mimba zawatoa wanafunzi shuleni Tanzania
11 years ago
Tanzania Daima02 Aug
Mimba zakwaza ndoto za wanafunzi Newala
MIMBA za umri mdogo ambazo zimekuwa zikiwakatisha wanafunzi masomo Wilaya ya Newala, mkoani Mtwara bado ni tatizo. Matukio ya mimba hizi kwa wanafunzi mbali ya kuwakatisha masomo yao, zimekuwa zikitishia...
9 years ago
Habarileo07 Jan
‘Madaktari wanaotoa mimba wanafunzi wafukuzwe kazi’
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza kufukuzwa kazi kwa madaktari na wahudumu ya sekta ya afya katika hospitali ya mkoa wa Ruvuma, wanaojihusisha na vitendo vya utoaji mimba kwa wanafunzi na hata watu wazima.
10 years ago
Mwananchi03 Feb
Mimba shuleni zinavyowatesa wanafunzi Mkoa wa Rukwa