Mafuriko yakumba mji mkuu wa Ghana
Mafuriko yamerudi tena katika mji mkuu wa Ghana ,Accra baada ya saa mbili za mvua kubwa mapema siku ya Ijumaa kulingana na mwandishi wa BBC Sammy Darko.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili18 May
Mafuriko yakumba mataifa ya Balkan
Juhudi za kuyadhibiti mafuriko mabaya zaidi ambayo yamewaathiri maelfu ya raia wa mataifa ya balkan zinaendelea.
11 years ago
BBCSwahili23 Jun
Madai ya ufisadi yakumba soka ya Ghana
Shirikisho la soka nchini Ghana limewataka maafisa wa polisi kuingilia kati baada ya madai ya ufisadi kukumba mmoja wa afisa wake.
11 years ago
BBCSwahili02 Mar
Milipuko miwili yakumba mji moja Nigeria
Mji wa Maiduguri uliopo kazkazini mwa Nigeria wakumbwa na milipuko miwili huku ripoti zikiarifu kwamba watu kumi wameuawa
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-KOmYK9fvOFE/U0Tf8O7kFlI/AAAAAAAFZX4/m_0bbbn9t_w/s72-c/New+Picture+(21).png)
Jaji Mkuu ziarani nchini Ghana
![](http://2.bp.blogspot.com/-KOmYK9fvOFE/U0Tf8O7kFlI/AAAAAAAFZX4/m_0bbbn9t_w/s1600/New+Picture+(21).png)
Mhe. Jaji Mkuu wa Tanzania akiwa kwenye ziara ya kubadilishana ujuzi wa utekelezaji wa shughuli za kisheria na Utawala baina ya Mahakama ya Tanzania na Mahakama ya Ghana akiongozana na Mhe. Jaji Kiongozi na Makamishna wa Tume ya Mahakama ya...
11 years ago
Tanzania Daima19 Feb
Kijiwe: Landani uwe mji mkuu wa Bongo
BAADA ya kijiwe kugundua kuwa mkuu anapata sana taabu kukesha kwenye pipa akienda kueleza na kupokea sera kule Landani, kimependekeza Landani uwe mji mkuu wa Bongo. Leo hakuna maroroso wala...
11 years ago
BBCSwahili23 Feb
Rais wa Ukrain auhama mji mkuu wa Kiev
Rais wa Ukrain Victor Yanukovych ameondoka mjini kiev na anadaiwa kuwa mashariki mwa taifa hilo.
9 years ago
BBCSwahili24 Sep
Raia wafagia mji mkuu Burkina Faso
Raia wamejitokea Ouagadougou kuufagia mji huo baada ya wiki ya maandamano yaliyosababishwa na mapinduzi ya serikali.
9 years ago
BBCSwahili21 Sep
Wanajeshi Burkina Faso walenga mji mkuu
Wakuu wa jeshi la Burkina Faso wametangaza kwamba wanaelekea Ouagadougou na kuwataka walioongoza mapinduzi kuweka silaha chini.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania