Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magofu ya Kilwa yaondolewa orodha hatarishi

WIZARA ya Maliasili na Utalii imesema Hifadhi ya Urithi wa Dunia ya Magofu ya Kilwa Kisiwani na Songo Mnara yaliyokuwa yameorodheshwa kwenye Orodha ya Urithi wa Dunia ulio hatarini, yameondolewa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KILWA KISIWANI NA SONGO MNARA YAONDOLEWA KATIKA ORODHA HATARISHI YA UNESCO

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Mahmoud Mgimwa akipongezwa na mmoja wa wajumbe wanaohudhuria Mkutano wa UNESCO jijini Doha, Qatar kufuatia hatua ya Hifadhi ya Urithi wa Dunia ya Magofu ya Kilwa Kisiwani na Songo Mnara kuondolewa katika orodha ya maeneo ya urithi wa dunia yaliyo hatarini kutoweka na kurudishiwa hadhi yake ya awali ya urithi wa dunia. Wanaoshuhudia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Bi. Tarishi Kibenga (kati) na Mkurugenzi wa Malikale Bw. Donatius...

 

11 years ago

Habarileo

Magofu Kilwa yarejeshewa Urithi wa Dunia

MAGOFU ya Kilwa Kisiwani na Songo Mnara yaliyokuwa yamewekwa katika orodha ya Urithi wa Dunia ulio hatarini kutoweka, yamerudishiwa hadhi yake ya awali ya Urithi wa Dunia.

 

11 years ago

BBCSwahili

Uingereza yaondolewa Brazil

Kufuatia ushindi wa Costa Rica dhidi ya Italia Uingereza sasa imeyaaga mashindano huko Brazil

 

11 years ago

BBCSwahili

Azam ya TZ yaondolewa michuano ya Afrika

Wawakilishi kwenye michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika, Azam FC waondolewa

 

10 years ago

Habarileo

Marekebisho Sheria ya HESLB yaondolewa

Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma za Jamii, Margaret SittaSERIKALI imeondoa sehemu ya marekebisho ya sheria katika Sheria ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), baada ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii, kupinga ikidai itawanyima fursa wanafunzi kutoka familia masikini kupata mikopo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Marufuku ya Youtube yaondolewa Uturuki

Serikali ya Uturuki imeondoa marufuku ya miezi mwili iliyoweka dhidi ya mtandao wa kijamii wa YouTube .

 

10 years ago

Habarileo

Miswada sheria za habari yaondolewa

MISWADA miwili ya sheria inayohusu sekta ya habari iliyokuwa iwasilishwe katika kikao cha Bunge kinachoendelea mjini hapa chini ya hati ya dharura, imeondolewa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mashtaka dhidi ya Assange yaondolewa

Kiongozi wa mashtaka wa Sweden amemuondolea mashtaka mmiliki wa mtandao wa Wikileaks, Julian Assange

 

10 years ago

BBCSwahili

Qatar yaondolewa tuhuma za ufisadi

Shirikisho la soka duniani FIFA limeilaumu shirikisho la soka la Uingereza kwa kuvunja sheria za kutolewa kwa kibali cha kuandaa mashindano ya kombe la dunia mwaka 2018.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani