Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAINDA AKUMBUKA PETE ALIYOVISHWA NA MAX

Stori: Gladness Mallya STAA  wa filamu  za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ amejikuta akikumbuka pete aliyovishwa na aliyekuwa mchumba wake, marehemu Saidi Banda ‘Max’ na kusema ataendelea kumuombea kwani alikuwa ni mwanaume aliyekuwa na malengo makubwa kwake. Ruth Suka ‘Mainda’. Mainda alifunguka hayo kupitia mtandao mmoja wa kijamii na kusema kuwa kila akiziona picha za siku alipovishwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

JK akumbuka yatima Krismasi

RAIS Jakaya Kikwete amewakumbuka watu na watoto walio katika makundi maalumu kwa kuwapa zawadi kwa ajili ya kusherehekea Sikukuu ya Krismasi. Kaimu Kamishna wa Ustawi wa Jamii, Beatrice Fungamo alikabidhi...

 

11 years ago

Mwananchi

Magufuli akumbuka barabara 10

Wizara ya Ujenzi imetenga Sh28.94 bilioni kwa ajili ya kutekeleza miradi ya kujenga, kufanya upanuzi na kukarabati barabara 10 za mchepuko katika Jiji la Dar es Salaam ili kupunguza msongamano wa magari.

 

10 years ago

Mwananchi

Nkamia akumbuka enzi za utangazaji

Naibu Waziri wa Vijana, Utamaduni na Michezo Juma Nkamia, juzi alikonga nyoyo za watu pale alipoamua kukumbushia enzi zake za kutangaza mpira.

 

10 years ago

Mwananchi

Mapalala akumbuka minyororo aliyofungwa

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, James Mapalala amekumbushia minyororo aliyofungwa wakati akidai mfumo wa vyama vingi, akisema kwamba haiwezi kumrudisha tena CCM.

 

10 years ago

Mwananchi

Mlundwa akumbuka KO ilivyomchanganya Cuba

Emmanuel Mlundwa, ambaye hivi sasa ni rais wa Chama cha Ngumi za Kulipwa Tanzania (PST), alikuwa bondia wa timu ya taifa kabla ya kuwa kiongozi n a alikumbana na changamoto nyingi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Sarena akumbuka alivyodhalilishwa 2001

Mcheza tenis mwanadada namba moja kwa ubora duniani Serena Williams amesema haamini atarejea Indian Wells huko Calfonia nchini Marekani baada ya kudhalilishwa na watazamaji wakati alipokuwa msichana wa miaka 14.

 

9 years ago

Mtanzania

Prezzo akumbuka alivyotoswa na Cash Money

prezzoNAIROBI, Kenya

NYOTA wa muziki nchini Kenya, Jackson Makini ‘Prezzo’, bado anakumbuka jinsi alivyotoswa na bosi wa kundi la Young Money Cash Money, Birdman, alipokwenda kuomba kujiunga na kundi hilo nchini Marekani.

Prezzo alitaka kujiunga na kundi hilo akidhani angekuwa mwakilishi kwa bara la Afrika, lakini bosi wa kundi hilo alikataa kwa madai kwamba msanii huyo wa Kenya hana kipato kikubwa kama wasanii wa kundi hilo.

“Nilifanikiwa kukutana na Birdman, lakini ilikuwa ngumu kupiga naye...

 

9 years ago

Mtanzania

Kanye West akumbuka dola milioni 20

kanye-west-vmas1CALIFORNIA, Marekani

NYOTA wa hip hop nchini Marekani, Kanye West, amekumbuka namna alivyotumia dola milioni 20 kwa ajili ya kurekebisha nyumba yao iliyopo California, nchini Marekani.

Eneo la nyumba yao lina ukubwa wa eka 3.5, ambapo Agosti mwaka jana nyumba hiyo ilionekana kuwa na matatizo madogo madogo.

Kanye amesema marekebisho hayo yameifanya nyumba hiyo kuwa na mwonekano mpya wa nyumba za kisasa, ambapo wanaamini mtoto wao, Nori atakuwa sehemu salama zaidi.

“Tumeona bora tubadilishe...

 

10 years ago

Mtanzania

Msuya akumbuka machungu ya kauli yake

msuyaElias Msuya na Elizabeth Hombo
WAZIRI Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya, amekumbusha machungu ya kauli yake ya zamani ya “kila Mtanzania ataubeba msalaba wake”, huku akiwataka Watanzania kuacha kuwa walalamikaji kwa kila jambo.
Msuya aliyewahi kuwa waziri mkuu mara mbili (Novemba 7, 1980 hadi Februari 1983 na Desemba 7, 1994 hadi Novemba 28, 1995), alitoa kauli hiyo bungeni akiwa waziri wa fedha mwaka 1989.
Akizungumza jana katika uzinduzi wa Kavazi la Mwalimu Nyerere lililoandaliwa na Kituo cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani