Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Majiko kuokoa mazingira

Kampuni ya Artienergy ya jijini Dar es Salaam imegundua majiko ambayo ni mkombozi kwa familia zisizo na kipato kikubwa na pia yanasaidia kuokoa mazingira kwa kuwa hayatoi moshi mwingi kama yalivyo ya mkaa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mkaa endelevu kuokoa mazingira

Dar es Salaam. Serikali ya Finland kwa kushirikiana na Wizara ya Maliasili na Utalii, wameanzisha mradi wa mkaa endelevu utakaozalishwa kwa njia za kisasa wenye lengo la kupunguza uharibifu wa mazingira na kuongeza ajira.

 

9 years ago

Mwananchi

KUTOKA LONDON : Halahala kupunguza plastiki kuokoa mazingira ulimwenguni

Jumatatu sera ya serikali ya Uingereza kupunguza uharibifu wa mazingira ilianza kwa kishindo. Sera imeanza kupunguza matumizi ya mifuko ya plastiki madukani . Zogo lilianza miaka saba iliyopita vyombo vya habari vilipomwonyesha kasa wa baharini akifadhaika baada ya kumeza mfuko mzima wa plastiki. Azma ya taswira ilikuwa kusisitiza namna viumbe mbalimbali vinavyouliwa na uchafu wa mazingira. Kama meli za mafuta zinapopinduka baharini.

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, ATEMBELEA MRADI WA MAJIKO SANIFU NA KUZURU KABURI LA SOKOINE MONDULI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa karakana ya utengenezaji Majiko Sanifu Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha Prof. Robert V. Lange juu ya kusafisha na kuyafanya maji kuwa salama, wakati alipotembelea sehemu ya karakana hiyo inayotumia umeme wa nguvu za jua (Solor Power Energe) February 25-2014. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kutoka kwa...

 

11 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA WIKI YA MAZINGIRA YATOA MSISITIZO WA USIMAMIZI WA SHERIA ZA UHIFADHI WA MAZINGIRA

Mkuu wa wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema ambaye alimwakilisha mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Saidi Meck Sadiki (katikati) akipokea maandamano ya wadau mbalimbali wakati wa maadhimisho ya kilele cha wiki ya mazingira jijini Dar es salaam.Kulia ni Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Jerry Silaa.  Baadhi ya wananchi na wanafunzi kutoka shule mbalimbali za jiji la Dar es salaam wakiwa kwenye maandamano huku wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe mbalimbali wakati wa kilele cha wiki ya mazingira...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA ILALA,RAYMOND MUSHI AWAAGIZA WATAALAMU WA MAZINGIRA KUTOA ELIMU UTUNZAJI WA MAZINGIRA KWA WANANCHI

Na Avila kakingo,Globu ya Jamii.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Raymond Mushi amewaagiza watendaji na wataalamu na wenye elimu ya utunzaji wa Mazingira kutoa elimu kuhusu utunzanzaji wa mazingira na athari za mabadiliko ya tabia ya nchi kwa wananchi wote.
Akizungumza leo na Waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo,Mkuu wa Wilaya ya Ilala Raymond Mushi amesema kuwa katika maadhimisho hayo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiki ndiye Mgeni rasmi katika maadhimisho ya Wiki ya...

 

5 years ago

Michuzi

JUNI 15, 2020 MWISHO USAJILI MIRADI YA UCHENJUAJI DHAHABU KWA AJILI YA TATHMINI YA ATHARI KWA MAZINGIRA NA UKAGUZI WA MAZINGIRA


JUNI 15, 2020 MWISHO USAJILI WA MIRADI YA UCHENJUAJI DHAHABU (LEACHING AND ELUTION PLANTS) KWA AJILI YA TATHMINI YA ATHARI KWA MAZINGIRA (ENVIRONMENTAL IMPACT ASSESSMENT) NA UKAGUZI WA MAZINGIRA (ENVIRONMENTAL AUDIT)
Dar es Salaam, May 5, 2020.

Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) linawatangazia wawekezaji wote wanaojihusisha na shughuli za uchenjuaji wa madini ya dhahabu (“vat leaching na elusion plants”) kuwa, kwa mujibu wa Sheria ya Usimamizi wa Mazingira ya Mwaka...

 

11 years ago

BBCSwahili

Juhudi za kidiplomasia kuokoa Ukraine

Wanasiasa wakuu wa kigeni, watakutana mjini Kiev siku ya Alhamisi kujaribu kusuluhisha mgogoro unaotokota nchini Ukraine.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kerry kuokoa hali mambo Afghanstan

John Kerry, amefika Nchini Afghanistan ili kujaribu kutanzua hali ya taharuki inayokumba matokeo ya uchaguzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani