Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makamba aonya kejeli, kashfa kwa wabunge

>Naibu Waziri wa Sayansi, Mawasiliano na Teknolojia, January Makamba amesema wapo mawaziri wana maumbile ya kobe hata wacheze namna gani hawaonekani, huku akiwataka wabunge wenzake kuheshimiana badala ya kukejeliana na kukashifiana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kwa serikali tatu, Tanganyika na Z’bar zitagawana madeni, aonya Makamba

>Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Yusuf Makamba amesema mfumo wa serikali tatu ukikubalika na kupitishwa kuongoza Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,  wajumbe wafahamu kuwa ndani ya miaka miwili Muungano utakuwa umevunjika.

 

9 years ago

Habarileo

Wabunge- Majaliwa hana kashfa

BAADA ya wabunge kuthibitisha jina la Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (55) aliyeteuliwa na Rais John Magufuli jana, wabunge wameelezea kufurahishwa na uteuzi huo na kusema anastahili kwa kuwa hana kashfa za kimaadili.

 

11 years ago

Habarileo

Nchimbi aonya wabunge wenzake

BAADHI ya wajumbe wa Bunge la Maalum la Katiba, wametaka wenzao kujitika katika mchakato wa mjadala wa rasimu ya Katiba mpya, itakayozingatia maslahi ya taifa na kuwanufaisha Watanzania badala kujitazama.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ngeleja aonya wabunge wa katiba

MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria, William Ngeleja, amewataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba litakaloanza vikao vyake wiki ijayo wasiweke mbele masilahi ya vyama wanapoijadili rasimu...

 

11 years ago

Habarileo

Padri aonya wabunge kuhusu Katiba mpya

WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba wameaswa kutokubali kuvurugwa na vyama vyao vya siasa, wanapoandaa mchakato wa Katiba mpya, kwani kwa kufanya hivyo wanavuruga amani.

 

10 years ago

Vijimambo

WABUNGE WACHARUKA KASHFA AKAUNTI YA TEGETA-ESCROW NI SHEEEEDA

Naibu spika wa bunge Job Dungai, yeye ndiye kashikilia rungu, Ripoti " ijadiliwe au la"Mbunge wa Kigoma Kaskazini (CHADEMA), Ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya bunge ya hesabu za serikali, (PAC), Zitto Kabwe. Taarifa ya CAG kuhusu akaunti nya Tegeta Escrow, iko mikononi mwakeMnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani bungeni, Tundu Lissu, (CHADEMA),akizunghumza bungeni mjini Dodoma jana, wakati lile sakata la IPTL, linalogubigwa na akauti iliyojichukulia umaarufu TEGETA ESCROW, lilipoibuka bungen...

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI : Akidi kupimwa kwa jicho la Spika ni kejeli

Gazeti hili toleo la jana lilikuwa na habari iliyosema wabunge 33 ndiyo waliopitisha Muswada wa Benki ya Posta Tanzania. Idadi hiyo ni ndogo ikilinganishwa na idadi ya wabunge wote ambao ni 356 na nusu yao ni 178. Mahudhurio duni bungeni yameanza kukithiri katika Bunge hili la 10 na kuzoeleka kama tabia au utamaduni mpya wa wabunge.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Diwani azomewa kwa kashfa

DIWANI wa viti maalum (CCM) kata ya kalangalala mkoani hapa, Zaituni Fundikira, amejikuta akizomewa na wananchi baada ya kutoa maneno ya kashfa. Tukio hilo lilitokea jana katika mkutano wa hadhara...

 

9 years ago

Habarileo

Wapuuza kejeli uteuzi makatibu

WADAU wa masuala ya siasa nchini wameeleza kuridhishwa na uteuzi wa idadi kubwa ya makatibu wakuu huku wakisisitiza kwamba Rais John Magufuli apewe muda pamoja na Baraza lake la Mawaziri wafanye kazi hatimaye wapimwe kwa ufanisi wao na si kwa ukubwa au udogo wa baraza.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani