Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mapishi ya kuku wa ‘Cornflakes’

Tukiwa katika mfululizo wetu wa kuangalia namna ya kupika vyakula mbalimbali tulivyozoea ni wazi kuwa vyakula havibadiliki, lakini namna mpishi atakavyokuwa mbunifu, ndivyo atakavyoweza kubadilisha na ladha ya mlo husika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mapishi:Saladi ya makaroni

Makaroni ni aina ya tambi zenye maumbo tofauti. Aina hii ya chakula kwa sasa imejizolea umaarufu katika maeneo mengi duniani.

 

10 years ago

BBCSwahili

Video:Tazama mapishi ya konokono?

Mfanyabiashara mmoja nchini Kenya ameanzisha kampeni kali ya kufuga konokono Afrika Mashariki

 

10 years ago

Vijimambo

Mapishi ya bagia na chatney ya machicha ya nazi


Mahitaji
Kunde (Ila mimi nilitumia Nigerian brown beans 1/2 kilo)
Vitunguu maji (onion 2)
Pilipili (scotch bonnet pepper 2)
Vitunguu swaum (garlic 4 cloves)
Chumvi (salt)
Barking powder (1/2 kijiko cha chai)
Machicha ya nazi (grated coconut 1 kikombe cha chai)
Limao (lemon 1)
Mafuta (vegetable oil)
Matayarisho
Loweka kunde usiku mzima kisha ziondoe maganda na uzitie kwenye blender pamoja na vitunguu maji, vitunguu swaum, pilipili, chumvi,barking powder na maji kiasi. Visage vitu vyote mpaka viwe laini...

 

9 years ago

GPL

MAPISHI NDIYO LIMBWATA KUU KWA MUMEO

Asalam Alaikum, Bwana Yesu Asifiwe, bila shaka wazima wa afya kama nilivyo, nina amani kwa sababu nimempigia kura yule ninayeamini anafaa kuliongoza taifa hili. Leo nimekuja na mada nyepesi kwa muonekano lakini ni mada kali na ina mapana zaidi kwani ndoa nyingi siku hizi zinavunjika kwa sababu ya wanawake kutojua kupika. Kwa nini mumeo akapikiwe na kimada?
Naomba nikufundishe jinsi ya kutumia mapishi kama limbwata ambapo mumeo...

 

9 years ago

Mwananchi

MARION : Mapishi yana nafasi kubwa katika maisha

Marion Elias siyo jina geni kwa watazamaji wa runinga hususan ITV. Licha ya kuwa mwanadada huyu alikuwa akitangaza vipindi kadha wa kadha, lakini nyota yake ilionekana kung’ara zaidi katika Kipindi cha Mapishi.

 

11 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani