Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maporomoko ya Mto Kalambo kuboreshwa

Maporomoko ya Mto KalamboENEO la utalii la maporomoko ya Mto Kalambo lililoko mkoani Rukwa, liko mbioni kuboreshwa baada ya michoro ya ujenzi wa miundombinu yake kukamilika.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

JUHUDI ZA UONGOZI WA MKOA WA RUKWA KUENDELEZA UTALII WA MAPOROMOKO YA KALAMBO (KALAMBO FALLS) ZAENDELEA

Kaimu Afisa Ardhi na Maliasili Wilaya ya Kalambo Ndugu Makwasa Biswalo (katikati) akimuonyesha Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya eneo lililopimwa katika kijiji cha Kapozwa kwa ajili ya kuendeleza Utalii katika Kijiji hicho ambacho kina maporomoko ya mto Kalambo (Kalambo Falls), maporomoko ambayo ni ya pili kwa urefu barani Afrika yakiwa na urefu wa mita 235. 
Zipo jitihada kadhaa zilizokwishafanywa na uongozi wa Mkoa wa Rukwa ukiongozwa na Mkuu wa Mkoa huo Eng. Stella Manyanya katika...

 

5 years ago

CCM Blog

GARI LATUMBUKIA MTO WAMI, DEREVA BADO YUPO CHINI YA MAJI. MTO UNA VIBOKO NA MAMBA (+ VIDEO)


Kutoka Daraja la Wami, zimetokea ajali mbili tofauti ambazo hazijapishana sana, moja ni ya Lori ambalo lilifeli breki na kutumbukia Mtoni na bado halijatolewa huku ikiaminika kuwa Dereva bado yupo ndani ya Lori hilo chini ya maji tangu Ijumaa June 05, 2020 ajali ilipotokea, wenzake wawili tayari wameokolewa .Wakati Watu wakiwa wamejaa kushuhudia ajali hiyo ghafla Lori jingine pia likafeli breki na kuua Watu wawili (Mama na Mtoto) kisha kuyazoa magari zaidi ya sita ambayo yote yameharibika...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kijiji chafunikwa na maporomoko,India

Zaidi ya watu 200 wanahofiwa kukwama katika maporomoko ya udongo nchini India.

 

9 years ago

BBCSwahili

85 watoweka baada ya maporomoko China

Zaidi ya wakoaji 1000 wanatafuta manusura 85 kusini mwa China siku moja baada ya maporomoko ya ardhi kuangusha nyumba 33 katika mji wa Shenzhen .

 

10 years ago

BBCSwahili

Maporomoko ya udongo yaua Ulaya

Watu wanne wamekufa kufuatia maporomoko ya udongo nchini Italia na Uswisi

 

10 years ago

Tanzania Daima

Maporomoko yaua familia mbili

WATU wanne wa familia mbili tofauti, wamepoteza maisha huku wengine wawili wakijeruhiwa katika eneo la Sinai-Mabatini, Wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza baada ya kuporomokewa na mawe kufuatia mvua kubwa iliyonyesha...

 

10 years ago

BBCSwahili

Maporomoko yawaua watu 15 Nepal

Takriban watu 15 wamefariki huko Nepal baada ya maporomoko yaliosababishwa na mvua kubwa kuvizika vijiji sita huko kaskazini mashariki.

 

11 years ago

BBCSwahili

176 wapotea baada ya maporomoko Marekani

Maafisa wa utawala katika jimbo la Washington nchini Marekani, wamepata miili sita zaidi baada ya ukuta wa matope kuporomoka Jumamosi, 176 hawajulikani waliko

 

10 years ago

BBCSwahili

Maporomoko ya ardhi yaua watu 32 Japan

Watu wapatao 32 wameuawa katika maporomoko ya ardhi katika mkoa wa Hiroshima magharibi mwa Japan.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani