Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marufuku kutumia watoto kujinufaisha

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imepiga marufuku watoto kuchukuliwa na kutumiwa kwa maslahi ya watu wengine na kujinufaisha kimapato.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

‘Polisi jamii marufuku kutumia silaha’

KAMISHNA wa Polisi Jamii nchini, Musa Ally Musa, amepiga marufuku Polisi Jamii kutumia silaha za mapanga katika ulinzi badala yake watumie filimbi. Musa alitoa agizo hilo jijini Dar es Salaam...

 

9 years ago

Habarileo

‘Marufuku kutumia ramani ya Tanzania isiyo sahihi’

SERIKALI imesema itavichukulia hatua vyombo vya habari pamoja na watu watakaobainika kutumia ramani ya Tanzania ambayo sio sahihi.

 

9 years ago

StarTV

Wanasiasa wapigwa marufuku kutumia maeneo ya shule kupiga kampeni

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji wa Tarime na msimamizi wa uchaguzi Venance Mwamengo amevitaka vyama vya siasa kuacha kutumia maeneo ya shule na vyuo kuendesha mikutano yao ya kampeni ili kuepuka kuvuruga masomo kwa wanafunzi husika.

Amesema hayo wakati mgombea ubunge katika Jimbo la Tarime Mjini Ester Matiko alipochukua fomu ya kuwania ubunge.

Mwamengo amesema kwamba hata ruhusu ratiba ya chama chochote cha siasa, kuendesha mikutano yao ya kampeni katika maeneo ya taasisi yoyote ya...

 

9 years ago

Michuzi

NI MARUFUKU WATOTO KUMILIKI LESENI ZA MADINI

Kamishna Msaidizi wa Madini Kanda ya Kati Singida, Sosthenes Masolla (aliyesimama), akifungua semina kwa wachimbaji wadogo wa madini kuhusu mfumo mpya wa huduma za utoaji wa leseni za madini kwa njia ya mtandao. Semina hiyo ilifanyika mjini Singida Septemba 5, mwaka huu. Wengine pichani ni wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na Madini. Kutoka kushoto ni Placid Kabyemera, Juma Masoud, Mhandisi Nuru Shabani, Mhandisi Gabriel Senge na Tantao Tantao.  Sehemu ya washiriki wa semina kuhusu matumizi...

 

5 years ago

Michuzi

RC SHINYANGA APIGA MARUFUKU WATOTO MINADA YA MIFUGO


Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi. Zainabu Tellack akiongea na wafanyibiashara wa mnada wa mifugo wa Muhunze ulioko Wilayani Kishapu jana alipofika katika mnada huo kujionea namna bora ya uzingatiaji wa maelekezo ya Serikali kuhusu kujikinga na mlipuko wa ugonjwa wa Corona.Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi. Zainabu Tellack akiongea na wafanyibiashara ndogo ndogo wa matunda na nyanya kando ya mnada wa   mifugo wa Muhunze ulioko Wilayani Kishapu jana alipofika katika mnada huo...

 

11 years ago

Michuzi

Serikali yapiga marufuku ajira za watoto kwenye migodi

Na Greyson  Mwase, Tarime
Naibu Waziri wa Nishati na Madini anayeshughulikia madini Stephen Masele amekemea vikali tabia ya wamiliki wa migodi  kuajiri watoto wenye umri wa chini ya miaka 18  kwani inarudisha maendeleo ya watoto hao na kwa jamii kwa ujumla inayowategemea
Waziri Masele ameyasema hayo kwenye ufunguzi wa semina iliyoshirikisha wachimbaji wadogo, madiwani, viongozi wa vijiji, wilaya, madiwani pamoja na viongozi wa vyama  vya siasa inayoendelea katika jimbo la Mwibara wilaya...

 

10 years ago

Mtanzania

Silaha bandia za watoto marufuku Julai mwaka huu

Na Fredy Azzah, Dodoma
IFIKAPO Julai Mosi mwaka huu endapo mwanao atabainika kuwa na silaha bandia (mwanasesere) atakuwa amefanya kosa la jinai, kwa vile Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Silaha na Risasi umepiga marufuku uingizwaji na matumizi yake nchini.
Muswada huo uliopitishwa na Bunge jana utaanza kutumika Julai mwaka huu, pamoja na mambo mengine, unalenga kuziba mianya ya kuingiza silaha bandia nchini.
Mbali na hilo, Muswada huo unasema mtu akibainika kuwa ni mlevi...

 

11 years ago

Habarileo

Waonywa kuwa macho na wanaotaka kujinufaisha

WATANZANIA wenye asili ya Burundi wameaswa kutowasikiliza watu wachache wanaotaka kujinufaisha kupitia kwao.

 

11 years ago

Habarileo

Anayeishi chooni Hai ataka kujinufaisha

BAADA ya mvua kubwa na upepo mkali iliyosababisha maafa katika maeneo mengi ya wilaya ya Hai, hali hiyo imeanza kutumiwa ndivyo sivyo na baadhi ya wananchi wakitegemea kunufaika na misaada mbalimbali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani