Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MASHABIKI WES BROM WACHARUKA, WAIGOMEA JEZI MPYA

Hii ndo jezi mpya ya West Bromwich Albion. Jezi ya sasa ya West Bromwich. Mashabiki wa West Bromwich Albion wamecharuka na kupiga jezi yao mmpya wakidai inakwenda tofauti na utamaduni wao. Kawaida jezi ya Wes Brom imekuwa na michirizi mikubwa tofauti nah ii mpya ambayo inaonyesha kuwa na mistari midogomidogo sana, kitu ambacho wamepinga. Kutokana na hali hiyo, taarifa zinaeleza kuwa uongozi utalazimika kufanya mabadiliko kwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Picha: Zitazame jezi mpya za Chelsea

Jezi mpya za klabu ya Chelsea ambazo zitatumika katika msimu ujao zikiwa na nembo ya mdhamini mpya zimewekwa hadharani. Jezi mpya za Chelsea watazotumia ugenini ni hizi Udhamini huu unaifanya Chelsea ivune pound milioni 40 ambapo watachota pound milioni 200 katika kipindi chote cha udhamini. Udhamini huo wa Chelsea ni wa pili kuwa na thamani […]

 

11 years ago

GPL

11 years ago

Tanzania Daima

Malinzi afafanua jezi mpya Stars

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limesema litaendelea kuzitumia jezi mpya za msaada zilizotoka Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) wakishirikiana na (CAF), hadi Desemba mwaka huu kwa mujibu wa mkataba...

 

10 years ago

Michuzi

JEZI MPYA ZA SIMBA KUUZWA HADI MTANDAONI

 KLABU ya Simba kwa kushirikiana na Kampuni ya kuuza vitu kwa njia ya Mtandao ‘Jumia’ wamezindua huduma ya kununua jezi za Simba 2015-2016 ‘Jumia – Simba Online Shop’ kupitia katika duka la mtandao la Jumia Iiitwayo la www.jumia.co.tz.Akizungumza jijini Dar es Salaam, Rais wa Simba, Evans Aveva, alisema dhumuni la huduma hiyo ni kuwapatia wapenzi wa klabu ya Simba njia bora ya kuweza kununua jezi popote walipo nchini.Aveva alisema klabu ya Simba inapanga kuongeza upatikanaji wa vifaa vyake...

 

10 years ago

Africanjam.Com

JEZI MPYA YA ARSENAL MSIMU UJAO 2015/16


Kwa wale wanaojiuliza ni lini Arsenal watatoa jezi zao mpya za Puma kwa ajili ya msimu wa 2015/2016, jibu hili hapa. Jezi za nyumbani za Arsenal zitakazotumika msimu ujao wa 2015/2016 zimevuja….hivyo mashabiki wa London na duniani kote wajiandae kupata mzigo mpya.

 

11 years ago

BBCSwahili

TFF yataka jezi mpya za soka Tanzania

Shirikisho la kandanda Tanzania linataka kubadili jezi za timu ya taifa kutoka zilizopo sasa

 

10 years ago

Africanjam.Com

PICHA: ARSENAL WALIVYOTANGAZA JEZI ZAO MPYA

Maandalizi ya zile pilikapilika za Ligi mbalimbali Ulaya yanaendelea, kwenye Klabu kuna mengi yanafanyika ikiwemo kubadili Jezi zao na kuzitangaza.
henyArsenal wameingia kwenye Headlines nao baada ya kuzindua Jezi zao mpya watakazozitumia msimu wa 2015/16… Uzinduzi umefanyika kwenye Uwanja wao wa nyumbani wa Emirates, London na MC alikuwa striker wa zamani wa Klabu hiyo, Thierry Henry.heny3Fans wa Klabu hiyo nao walipata nafasi ya kushuhudia tukio hilo jingine kubwa la Kihistoria.heny2heny4heny9heny8heny7heny1011Ars IIUnahitaji chochote...

 

10 years ago

GPL

MAN U YATAMBULISHA RASMI JEZI ZAKE  MPYA

Klabu ya Manchester United imekuwa miongoni mwa klabu ambazo zimetambulisha jei zao leo zitakazotumiwa kwa ajili ya msimu ujao. Klabu hiyo imevunja rekodi kwa kuwa ni klabu inayoingiza kipato kikubwa cha pesa duniani kutokana na utengezaji wa jezi . Baada ya miaka 13 ya matumizi ya jezi za Nike, Manchester United sasa imeamua kuzindua jezi mpya zitakazotumika katika msimu wa 2015/2016. Man United watatumia jezi zitakazokuwa...

 

10 years ago

Africanjam.Com

JEZI MPYA YA MANCHESTER UNITED MSIMU UJAO 2015/16

Imekuwa utamaduni wa klabu mbalimbali barani ulaya kuzindua jezi mpya kila msimu ambapo jezi hizi huingia sokoni na kuuzwa kwa mashabiki wa klabu husika huku klabu hiyo ikijiingizia kipato ambacho husaidia kwenye uendeshaji wa shughuli zake .Manchester United inatarajiwa kuzindua jezi mpya siku za hivi karibuni ambapo zitakuwa jezi ambazo zimetengenezwa na mdhamini mpya wa klabu hii ambaye ni Adidas . Adidas wameingia mkataba na United baada ya klabu hiyo kumaliza mkataba wake wa muda mrefu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani