Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MASTAA SIMBA WATAKA PESA, SI MALI KAULI

Na Ripota Wetu,Dar 
MASTAA nane wa klabu ya Msimbazi wamekacha timu hiyo iliyoandoka leo kwenda Zanzibar kwa kile wanachoshinikiza kulipwa fedha zao. Habari za kuaminika zinasema kuwa mastaa nane wa klabu hiyo wameingia mitini wakiwemo waganda watano na wabongo watatu mpaka hapo watakapomaliziwa fedha zao za usajili.
Wabongo waliokacha timu hiyo ni Shaban Kisiga, Jonas Mkude na Ivo Mapunda hata hivyo kocha msaidizi wa timu hiyo Seleman Matola jana alikiri kutokuwepo kwenye kikosi chake ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mrwanda: Sikutaka longolongo na mali kauli za viongozi wa Simba

 Mshambuliaji mpya wa Yanga, Danny Mrwanda amesema kilichomfanya asisajiliwe na Simba ni usajili wa “mali kauli”, wakati anachoangalia kwa sasa ni fedha.

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya headlines za bilionea wa 24 Afrika kutaka kuinunua klabu ya Simba, hii ndio kauli rasmi ya Simba …

Baada ya stori nyingi kuingia katika headlines kwa siku za hivi karibuni kuhusu uamuzi wa moja kati ya mabilionea wa Afrika kutaka kuinunua klabu ya Simba, mengi yameandikwa na mengi yameongewa, najua unahitaji kufahamu kuhusu stori za bilionea Mohamed Dewji ambaye maarufu kama MO kuweka bayana dhamira yake ya kutaka kuinunua Simba kupitia kipindi cha […]

The post Baada ya headlines za bilionea wa 24 Afrika kutaka kuinunua klabu ya Simba, hii ndio kauli rasmi ya Simba … appeared first on...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanaonunua mali kwa pesa chafu UK waonywa

Waziri mkuu wa Uingereza David Cameron, anatarajiwa kulaani matumizi ya pesa chafu kutoka maeno mbali mbali ya dunia zinazotumiwa kununua mali nchini Uingereza

 

11 years ago

Mwananchi

Yusuph Macho: Nilisajiliwa Yanga kwa mali kauli

Kwa mchezaji wa kiwango cha Yusuph Rwenda Macho katika enzi ambazo alikuwa akitamba, ungetarajia kuwa alikuwa ghali na klabu iliyomsajili ililipa fedha nyingi.

 

10 years ago

GPL

UKIJIFOSI KUMPENDA KISA MALI, PESA ZAKE, IMEKULA KWAKO!

Wakati fulani huwa najiuliza kwa nini tunakuwa na wapenzi, kwa nini mapenzi yakawepo? Kwa nini tunaoa ama kuolewa? Kwa nini baadhi ya watu huamua kujinyonga baada ya kuachwa na wapenzi wao? Kwa nini mapenzi yamekuwa sehemu ya maisha yetu? Kwa nini mapenzi yameharibu baadhi ya maisha ya watu? Huwa najiuliza maswali mengi yenye kwa nini, yakihusisha mapenzi. Kwa ujumla kama nilivyo na maswali mengi, majibu pia yamekuwa mengi. Kwa...

 

10 years ago

GPL

Mastaa watano Yanga ruksa Simba

Mchezaji wa Yanga, Haruna Niyonzima. Na Wilbert Molandi
WAPO sokoni! Hivi ndivyo utakavyoweza kutamka baada ya wachezaji watano wa Klabu ya Yanga kubakiza miezi sita au chini ya hapo kwenye mikataba yao na timu hiyo. Kila timu hivi sasa inaangalia nafasi ipi yenye upungufu inayohitaji kuboresha kwa kusajili wachezaji wenye uwezo kwenye usajili wa dirisha dogo linalofunguliwa Novemba 15 na kufungwa Desemba 15. Wachezaji hao...

 

10 years ago

Mtanzania

Sita wataka kumrithi Goran Simba

Goran-KopunovicNA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
WAKATI Kocha Mkuu wa Simba, Goran Kopunovic akiendelea kung’ang’ania kuongezewa dau na uongozi wa klabu hiyo, tayari makocha sita wametuma maombi ya kuchukua nafasi yake endapo klabu hiyo itashindwa kufikia dau lake.
Goran bado ameendelea na msimamo wake akitaka kulipwa mshahara wa Sh milioni 28, ambapo uongozi wa Simba umedai kuwa kiasi hicho ni kikubwa na kumtaka hadi kesho awe ametoa jibu kama ataweza kukipunguza.
Habari za uhakika ilizozipata MTANZANIA,...

 

10 years ago

Mwananchi

Mashabiki wataka Chanongo, Humoud warudi Simba

Dar es Salaam. Mashabiki wa timu ya soka ya Simba ya Dar es Salaam wanaomba kinda wao winga Haruna Chanongo arudishwe kwenye kikosi cha kwanza cha timu hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani