Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MASTAA WAMWANIKA MSHINDI WA URAIS

Mwandishi Wetu
UTAFITI uliofanywa na gazeti hili umeonesha mastaa wa muziki na filamu Bongo wanampa asilimia nyingi zaidi za ushindi mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi, John Magufuli dhidi ya mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa.
Utafiti huo unaonesha, mastaa wengi wamejipambanua kuwa wanaiunga mkono CCM wakionesha kuguswa na sera za Magufuli huku wengine walikuwa wafuasi wa Chadema...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

Mshindi urais kutangazwa Alhamisi

Mshindi urais kutangazwa AlhamisiTUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema mshindi wa kiti cha urais atatangazwa rasmi Alhamisi na kesho yake, atakabidhiwa cheti tayari kwa kuanza shughuli zake. Aidha, tume hiyo imesema haina ‘mbeleko’ ya kumbeba mgombea yeyote, bali itatangaza matokeo kama yatakavyokuwa kwenye masanduku ya kura.

Mkurugenzi wa Uchaguzi, Kailima Kombwey alisema hayo Dar es Salaam jana wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya masuala mbalimbali yaliyojiri katika uchaguzi mkuu uliofanyika jana. Kailima...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mshindi wa urais Tanzania kutangazwa

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania Jaji Mstaafu Damian Lubuva amesema tume hiyo itatangaza matokeo ya mwisho ya urais baadaye leo.

 

10 years ago

GPL

URAIS 2015: MASTAA WAWATAJA MARAIS

Na Shakoor Jongo TANZANIA mwakani itaingia kwenye Uchaguzi Mkuu 2015, rais atakayeingia madarakani kuiongoza nchi atajulikana hapo huku tayari baadhi ya wanasiasa wametangaza nia ya kugombea, wengine wanatajwatajwa kufanya hivyo. Baadhi ya viongozi wanaotabiriwa na Mastaa wa Bongo Movie kuwa marais kwenye Uchaguzi Mkuu 2015 Sasa kuelekea uchaguzi huo ambao pia utajumuisha ubunge na udiwani, baadhi ya mastaa Bongo...

 

9 years ago

Michuzi

HAFLA YA KUKABIDHI CHETI CHA MSHINDI WA URAIS 2015

Kutangazwa rasmi mshindi wa urais 2015 kutokaa ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar Es Salaam;    Washiriki wa mbio za urais wa vyama vya siasa pamoja na viongozi mbalimbali katika hafla za kutangazwa mshindi wa urais 2015; Hafla MKurugenzi wa NEC Ramadhan Kailima akitoa tathmini ya mchakato  wa uchaguzi mkuu mwaka  2015;https://youtu.be/Lg8d2m1YwgE STAR TV: Mwenyekiti wa NEC Jaji Damian Lubuva akitoa taarifa za matokeo ya uchaguzi 2015 katika hafla ya kutangazwa mshindi wa urais...

 

10 years ago

GPL

WAGOMBEA URAIS WAIBUA MPASUKO KWA MASTAA

Erick Evarist
WAKATI wagombea mbalimbali wa urais wa Tanzania wakitangaza nia ya kushika wadhifa huo mzito kwa taifa, nyuma ya mchakato huo kumeibuka mpasuko mkubwa kwa mastaa wakipigana vikumbo kuwania kambi za wagombea. Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa. Kwa mujibu wa chanzo kilicho karibu na mastaa hao, mpasuko umejidhihirisha hadharani Jumamosi iliyopita baada ya baadhi ya mastaa kupata shavu la kwenda kutumbuiza katika...

 

9 years ago

Michuzi

POLISI YAZIMA VURUGU ZANIBAR,NI BAADA YA MAALIM SHARIF HAMAD KUJITANGAZA MSHINDI WA URAIS


WAKATI wakisubiri matokeo ya uchaguzi ya rais huku Tume ya Uchaguzi ikitangaza kura za wagombea wabunge na uwakilishi katika majimbo ya uchaguzi Zanzibar, Jeshi la Polisi limelazimika kuzima fujo na vurugu kutoka kwa wafuasi wa CUF waliotanda mitaa ya Mji Mkongwe na barabara kuu ya Darajani.
Vurugu zimezuka baada ya mgombea wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad kufanya tathmini na kutangaza matokeo ya ushindi wa chama chake katika uchaguzi wa juzi kwa asilimia 52.87. 
Maalim...

 

9 years ago

Vijimambo

Tamko la Edward Lowassa Baada ya NEC Kumtangaza Dr Magufuli Kuwa Mshindi wa Kiti cha Urais


Watanzania wenzangu!Leo tarehe 29 October 2015, kwa kupitia Mgombea Mwenza wangu, Mh. Juma Duni Haji nimewasilisha rasmi malalamiko yetu kuhusu mwenendo mzima wa uchaguzi mkuu wa 2015 kwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Tumeainisha kwenye malalamiko yetu, kutokuridhishwa kwetu na mwenendo na matukio mbalimbali, hususani, utangazaji wa matokeo batili, yasiyo akisi matokeo halisi yaliyopatikana kwenye vituo vya kupiga kura, kama ifuatavyo.

• Upunguzwaji wa kura zangu• Kuongeza kura kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani