Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matatizo ya Hospitali ya Bugando yatajwa

UONGOZI wa Hospitali ya Rufaa ya Bugando imesema inashindwa kutekeleza baadhi ya mipango yake ya kuboresha huduma na mazingira ya kazi kwa wauguzi, kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo za misamaha kwa wagonjwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Hospitali ya Bugando sasa mbioni kufanya upasuaji wa moyo

Hospitali ya Rufaa Bugando (BMC), mkoani Mwanza imeanza kufanya upasuaji mkubwa kwa wagonjwa wa moyo.

 

9 years ago

StarTV

Hospitali ya Rufaa Bugando yakanusha Kupandisha garama za matibabu.

Hospitali ya Rufaa ya Bugando jijini Mwanza imekanusha uvumi ambao umezagaa mitaani na kwenye mitandao ya kijamii kuwa imepandisha gharama za matibabu kwa kiwango kikubwa ambazo wananchi wanashindwa kuzimudu garama za matibabu.

Hospitali hiyo imedai kuendelea kutumia gharama zake za awali katika kuwahudumia wagonjwa licha ya kughubikwa na changamoto ya ufinyu wa bajeti inayoathiri mfumo wa uendeshaji.

Hospitali ya Rufaa ya Bugando kwa sasa ina zaidi ya miaka 44 ya kutoa huduma ya afya kwa...

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA MAJERUHI WA AJALI YA BASI LA LUHUYE WAKIWA HOSPITALI YA RUFAA BUGANDO, MWANZA

Baadhi ya majeruhi katika ajali ya Basi la Luhuye Express iliyotokea juzi Wilaya ya Busega mkoani Simiyu wakipelekwa chumba cha upasuaji katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Mwanza. Mpaka sasa watu 16 wamepoteza maisha. Majeruhi wakiwa hospitalini Bgando.…

 

11 years ago

Michuzi

AFRICAN BARRICK GOLD MINING WADHAMINI TIBA YA UPASUAJI BURE KWA KICHWA, MGONGO NA MISHIPA YA FAHAMU KATIKA HOSPITALI YA BUGANDO MWANZA

Daktari Bingwa wa Ubongo, Mgongo na mishipa ya fahamu Dr. Othman W. Kiloloma kutoka hospitali ya Muhimbili amesema kuwa timu ya madaktari saba imewasili kutoka Muhimbili  ikiwa na daktari bingwa 1 wa usingizi wakiwa na vifaa vyote muhimu ili kuungana na madaktari Bingwa wa upasuaji Bugando kwaajili ya kuweka kambi ya tiba mkoani Mwanza.   Dr. Othman W. Kiloloma ameongeza kuwa dhana ya kuweka kambi Mwanza imekuja ikiwa ni hatua ya kujaribu kupunguza vifo na usumbufu unaowakumba watu...

 

5 years ago

Michuzi

MUHIMBILI KUFUNGA MASHINE TATU ZA KUSAFISHA DAMU HOSPITALI YA AMANA ILI KUHUDUMIA WAGONJWA WENYE MATATIZO YA FIGO WALIOAMBUKIZWA UGONJWA WA CORONA


Mojawapo ya mashine ya kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo iliyofungwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana ambayo thamani yake ni TZS. 70 Mil.

Mashine ya kusaidia mgonjwa kupumua ambayo itafungwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana ambayo thamani yake ni TZS. 56 Mil.

Mtambo wa kuchuja maji (Portable RO System) kwenda kwenye mashine ya kusafisha damu wenye thamani ya TZS. 28 Mil uliofungwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana


Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imefunga mashine tatu za kusafisha damu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rais Bugando afanyiwa ya Ulimboka

RAIS wa Chuo Kikuu cha CUHAS (Bugando) na Mwenyekiti wa Shirikisho la wanafunzi vyuo vikuu nchini (TAHLISO), Mussa Mdede ameokotwa akiwa amepoteza fahamu baada ya kutekwa nyara na watu wasiojulikana....

 

10 years ago

Habarileo

Wagonjwa wa saratani waongezeka Bugando

Mkuu wa Idara ya Saratani, Dk Nestory MasaluIDADI ya wagonjwa wa saratani katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando jijini, Mwanza imeongezeka kutoka 3,400 mwaka 2009 hadi kufikia wagonjwa 10,200 mwaka jana.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwandishi wa Mwananchi ahamishiwa Bugando

Mwandishi wa habari wa gazeti hili, Florence Focus amehamishiwa kwenye Hospitali ya Rufaa Bugando, mkoani hapa kutoka Hospitali ya Serikali ya Mkoa wa Mara kwa matibabu zaidi.

 

11 years ago

Mtanzania

Serikali yamkataa Mkurugenzi wa Bugando

Hospitali ya Bugando

Hospitali ya Bugando

NA FREDERICK KATULANDA, MWANZA

WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii imemkataa mkurugenzi mpya wa Hospitali ya Rufaa Bugando, Dk. Kien Mteta, aliyeteuliwa na kanisa hilo kushika nafasi ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Hospitali hiyo, Profesa Charles Majinge.

Kutokana na hali hiyo, Serikali imelazimika kuliandikia barua kanisa hilo kueleza jinsi isivyotambua mabadiliko hayo yaliyofanywa kinyume cha mkataba uliopo kati yake na kanisa hilo.
Taarifa hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani