Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matola akiri michuano migumu

KOCHA msaidizi wa Simba, Selemani Matola, amekiri michuano ya Kombe la Mapinduzi kuwa na ushindani mkali baada ya kukutana na changamoto kubwa kutoka kwa wapinzani wao. Simba kabla ya jana,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Kocha Matola akiri kuwepo na ushindani. ligi dalaja la kwanza  

 

Wakati ligi soka daraja la kwanza Taifa itaendelea Jumamosi hii kwenye miji mbalimbali,kocha mkuu wa timu ya Geita Gold Sports Suleiman Matola amekiri michuano hiyo si lele mama kutokana na kila timu kuonesha ushindani.

Mtaalamu huyo wa ufundi amebainisha pamoja na timu yake kuongoza kundi lao C wakiwa na pointi 17 lakini hawatofautiana sana kwa pointi na wapinzani wao kwenye kundi hilo.

 Kocha Matola amesema michuano ya ligi daraja la kwanza ushindani wake umechochewa na timu nyingi...

 

10 years ago

Habarileo

Polisi wapewa milango migumu

KIWANDA cha kutengeneza mabati cha ALAF kimevipatia vituo vya polisi viwili vya Chang’ombe na Kilwa Road katika wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam mabati magumu 16 kwa ajili ya ujenzi wa milango ya vyumba vya kuhifadhia silaha na mahabusu ili isiwe rahisi kubomolewa.

 

11 years ago

GPL

SOKO MATOLA JIJINI MBEYA

Baadhi ya wakazi wa Jiji la Mbeya wakijipatia mahitaji yao ndani ya soko Matola. PICHA NA RICHARD BUKOS GPL / MBEYA

 

10 years ago

GPL

Matola, Pazi wachunguzwa Simba

Kocha mzawa wa kikosi cha Simba, Selemani Matola. Martha Mboma na Sweetbert Lukonge
MAKOCHA wazawa wa kikosi cha Simba, Selemani Matola na Idd Pazi, wanachunguzwa na uongozi wa klabu hiyo baada ya kudaiwa kuwa wanaihujumu ili ishindwe kufanya vizuri katika mechi zake za Ligi Kuu Bara. Makocha hao pia waliwahi kuitumikia Simba kama wachezaji miaka ya nyuma na sasa ni makocha wakisaidiana na Mzambia, Patrick Phiri kukinoa kikosi...

 

9 years ago

Habarileo

Matola abwaga manyanga Simba

HALI si shwari ndani ya timu ya soka ya Simba, baada ya jana Kocha Msaidizi Suleiman Matola kujiuzulu wadhifa huo. Matola, kiungo mahiri na nahodha wa zamani wa Simba na timu ya taifa ya Tanzania `Taifa Stars’, alisema jana jijini Dar es Salaam kuwa, amechukua uamuzi huo kutokana na kutokuwa na maelewano na Kocha Mkuu wake raia wa Uingereza, Dylan Kerr.

 

10 years ago

Mwananchi

Matola ajiuzulu ukocha Simba

Klabu ya Simba imethibitisha kuachana na kocha msaidizi wa timu hiyo, Seleman Matola na kueleza kumweka hadharani mrithi wake atakayesaidiana na kocha mkuu, Goran Kopunovic wakati wowote kuanzia sasa.

 

10 years ago

GPL

Mkenya atua Simba SC, Matola out

Kocha msaidizi wa Simba, Selemani Matola. Na Waandishi Wetu
UONGOZI wa Simba umelazimika kuachana na kocha msaidizi, Selemani Matola na tayari kuna taarifa kuwa nafasi yake itachukuliwa na Mkenya, Yusuf Chippo ambaye aliwahi kuifundisha Coastal Union ya Tanga. Simba imefikia hatua hiyo baada ya kujadili kwa kina barua aliyoiandika Matola kwa viongozi wake kutaka kupumzika ili kutatua matatizo ya kifamilia lakini pia akiomba au...

 

11 years ago

GPL

Loga, Matola wavurugana Dar

Kocha mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic. Sweetbert Lukonge na Phillip Nkini
MAKOCHA wa Simba, Zdravko MAKOCHA wa Simba, Zdravko Logarusic na Selemani Matola, juzi Jumamosi walizozana nusura wakunjane uwanjani baada ya kushindwa kuelewana, kila mmoja akitaka lake. Logarusic ambaye ni bosi wa benchi la ufundi, wasaidizi wake Matola na Iddi Pazi waliingia kwenye mgogoro huo wa aina yake uliosababishwa na mtoto wa Pazi, Zahoro...

 

10 years ago

Mwananchi

Kiemba ‘amliza’ Matola mazoezini

Kocha msaidizi wa Simba, Suleiman Matola amesema kukosekana kwa kiungo Amri Kiemba ni pengo kubwa kwa klabu hiyo na kuutaka uongozi ufanye jitihada haraka kuziba nafasi hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani