Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAVUNO MAKUBWA YA MAHINDI SHAMBANI KWA MH. PINDA

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akikagua mavuno ya mahindi kutoka shambani kwake yaliyokusanywa nyumbani kwake Kibaoni wilayani Mlele, Mpanda Mei 24, 2014. Mheshimiwa Pinda anatarajia kuvuna zaidi ya magunia 1000 ingawa ekari tano za mahindi hayo ziliharibiwa na Tembo kutoka hifadhi ya Katavi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Pinda: Ruksa wakulima kuuza mahindi nje

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amesema ruksa kwa wakulima walio na mahindi kuuza nje ya nchi. Hatua hiyo imetokana na wakulima wengi kuzuiwa kuuza mahindi yao nje ya nchi huku wakiwa...

 

10 years ago

Vijimambo

PINDA ASHUHUDIA MLIMA WA MAHINDI AKIWA ZIARANI WILAYANI MBOZI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe, mama Tunu wakikagua sehemu ya shehena ya mahindi iliyohifadhiwa nje ya maghala ya Hifadhi ya Taifa ya Chakula, NFRA, enjeo la Vwawa, wilayani Mbozi mkoani Mbeya Jumapili Machi 1, 2015. Maelfu ya tani ya mahindi, yamelazimika kuhifadhiwa nje baada ya maghala yaliyotengwa maalum kuhifadhi nafaka hiyo kujaaSehemu ndogo ya shehena ya mahindi yaliyonunuliwa na serikali na kuhifadhiwa nje ya maghara ya NFRA, Vwawa Mbozi baada ya maghala kujaa, Machi 1, 2015

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania kuuza mahindi Kenya tani 50,000 za mahindi

Serikali ipo katika hatua za mwisho za makubaliano ya kuuza tani 50,000 za awali za mahindi nchini Kenya.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mavuno yageuka adha kwa wanawake Mbozi

YAWEZEKANA kipindi cha mavuno ya mazao kikawa cha furaha na faraja kwa familia hasa ikizingatiwa ni kipindi cha matunda ya kazi ngumu ya kilimo. Lakini kwa wanawake wa Mbozi, imekuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mvua zatarajiwa kuleta neema ya mavuno kwa nchi za Afrika Mashariki

Uzalishaji wa chakula Ukanda wa Nchi za Afrika Mashariki, unatarajiwa kuongezeka msimu wa kilimo wa 2014/2015, hivyo kupunguza soko la mazao ya chakula yanayozalishwa nchini.

 

10 years ago

Mwananchi

Kwa mtindo huu mkulima wa mahindi kunufaika ni ndoto

Mkoa wa Ruvuma ni miongoni mwa mikoa michache nchini ambayo inaongoza kwa uzalishaji wa mazao ya chakula hususani mahindi.Mikoa mingine ambayo ni kinara katika uzalishaji wa zao hilo ni Iringa, Njombe, Rukwa, Katavi na Mbeya.

 

9 years ago

Michuzi

AGRICS YAKABIDHI MBEGU ZA MAHINDI NA ALIZETI KWA WAKULIMA MKOANI SHINYANGA NA SIMIYU

 Wakulima wakifurahia mbegu bora za mahindi, alizeti pamoja na mbolea mara baada ya kukabidhiwa na meneja miradi wa kampuni ya Agrics. Wakulima walionufaika na mbegu hizo ni pamoja na Maswa, Meatu na Shinyanga vijijini.Afisa Miradi wa kampuni ya Agrics Ltd, Bwana Semeni Kime (wa pili kulia) akifurahi na wakulima wa kijiji cha Mwakabeya baada ya kuwakabidhi wakulima hao mbegu za mahindi, alizeti pamoja na mbolea kwa ajili ya msimu mpya kilimo.Kampuni ya Agrics imetimiza ahadi ya kuwakabidhi...

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA MBEGU ZA MAHINDI KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO LINDI

Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi alipokea kutoka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa, sehemu ya mbegu za mahindi tani nne zenye thamani ya shilingi milioni 20 zilizotolewa na Benki hiyo kupitia ombi maalum la Mbunge wa Kuteuliwa anayewakilisha mikoa ya Lindi na Pwani na Mwenyekiti wa mfuko Wanawake na Maendeleo Foundation (WAMA), Mama Salma Kikwete kwa ajili ya kuwasaidia wananchi wa mkoa huo ambao mashamba yao yaliathiwa na mafuriko mapema mwaka huu....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Matokeo makubwa sasa bila maandalizi makubwa

ILI kupata matokeo yoyote makubwa na mazuri katika jambo lolote, lazima uwe umefanya maandalizi makubwa kabla. Hii ndiyo hali halisi ukiachilia mbali miujiza ya Mwenyezi Mungu anayeweza kufanya chochote. Tanzania...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani