Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maximo,Phiri hofu tupu

SIMBA ilipata sare, Yanga ikala kichapo, matokeo hayo yalikuwa ni katika mechi za ufunguzi wa Ligi Kuu Bara wikiendi iliyopita, habari ni kuwa sasa makocha wa timu hizo wapo kwenye presha kubwa ya kuhakikisha wanapata ushindi katika mechi za wikiendi hii kwenye ligi hiyo. Kocha Mkuu wa Yanga, Marcio Maximo. Kocha wa Yanga, Marcio Maximo, yupo kwenye presha kubwa kutoka kwa mashabiki wake ambapo ili kupata ushindi, amewapa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Phiri, Maximo waanza tambo

 Kocha wa Simba, Patrick Phiri na mwenzake wa Yanga, Marcio Maximo kila moja amejigamba kumtoa nishai mwenzake wakati wa mechi ya Nani Mtani Jembe itakayopigwa Desemba 13, kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Maximo, Phiri tuwape muda’

Makocha wa zamani wa Taifa Stars, Joel Bendera na Mshindo Msolla wamesema ujio wa Marcio Maximo na  Patrick Phiri katika klabu za Simba na Yanga utakuwa na manufaa kama viongozi wa timu hizo wataachwa wafanye kazi yao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kalenga hofu tupu

WASICHANA wawili waliodai kutekwa na watu wanaodhaniwa kuwa makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamesema wanaishi kwa hofu kwa kuwa bado wanafuatiliwa. Wasichana hao (majina yamehifadhiwa), wanadai walitekwa Machi 6,...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Hofu tupu Dodoma

HOFU imetanda katika mjini wa Dodoma hususan kwa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, baada ya watu wasiofahamika kusambaza vipeperushi maeneo mbalimbali usiku wa kuamkia jana, vyenye ujumbe wa vitisho kuwataka...

 

10 years ago

GPL

Maximo, Phiri waungana... kwa Jaja, Okwi

Kocha Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo. Na Wibert Molandi
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, ameungana na Kocha Mkuu wa Simba, Mzambia, Patrick Phiri, kuilalamikia safu yake ya ushambuliaji inayoshindwa kutumia vyema nafasi nyingi inazopata uwanjani. Phiri ndiye alikuwa kocha wa kwanza kuilalamikia safu yake ya ushambuliaji inayoongozwa na Mganda, Emmanuel Okwi, Amissi Tambwe na Paul Kiongera.Safu ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Phiri awatoa hofu Simba

Kocha wa Simba, Patrick Phiri amewatoa hofu mashabiki wa timu hiyo na kusema kuwa kipigo walichopata kutoka kwa URA na sare dhidi ya Ndanda FC haimaanishi kuwa timu yao ni mbovu.

 

10 years ago

GPL

Maximo, Phiri uso kwa uso Zanzibar

Kocha mkuu wa Simba Mzambia, Patrick Phiri. Na Wilbert Molandi
MAKOCHA wa klabu kongwe na pinzani za Simba na Yanga, keshokutwa Jumapili kila mmoja atatumia muda wake kwa ajili ya kusoma mbinu za mwenzake ndani ya uwanja mmoja. Hiyo itakuwa mara ya kwanza kwa makocha hao kukutana kwenye uwanja mmoja ambapo Yanga inanolewa na Mbrazili, Marcio Maximo huku Simba ikifundishwa na Mzambia, Patrick Phiri. Timu zote zinatarajiwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Maximo kamili, Phiri bado bado

Kocha wa Yanga, Marcio Maximo amejigamba kuwa kikosi chake kipo tayari kila idara kwa Ligi Kuu Bara, lakini mwenzake Patrick Phiri wa Simba ana kazi ya kuimarisha ubora katika safu yake ya ulinzi.

 

10 years ago

Mwananchi

Presha tupu,

Ni presha kila kona ndivyo unavyoweza kusema kwa sasa jinsi Ligi Kuu Bara inavyoendelea katika mbio za ubingwa na wale wanaopigania kujinasua na janga la kushuka daraja msimu huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani