Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Mbinu za Yanga zimenipa ushindi’

Wakati kikosi cha Simba kikipewa mapumziko ya wiki mbili, kocha mkuu, Patrick Phiri ameeleza kuwa mfumo wa 4-5-1 alioutumia kwenye mechi na Yanga ndiyo umempa ushindi wa kwanza msimu huu kwenye Uwanja wa Taifa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Njombe:CCM yazidi kuwapa mbinu za ushindi viongozi wa uenezi

Na Amiri kilagalila,Njombe

Chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Njombe kimewaelekeza makatibu wa siasa na uenezi ngazi ya kata na wilaya zote mkoani humo, kuhakikisha wanaieleza jamii shughuli za maendeleo zinazoendelea kwenye maeneo yao ikiwa na kufuatilia utekelezaji wa Ilani ya chama.

Wito huo umetolewa na katibu wa siasa na uenezi wa chama cha Mapinduzi mkoa wa Njombe Ndg, Erasto Ngole alipokuyana na viongozi hao katika ofisi za chama wilaya ya Njombe,kupitia ziara ya kikazi anayoifanya...

 

10 years ago

Mwananchi

MBINU: Yanga yaivamia Stars

Dar es Salaam. Mbinu za kiufundi za klabu ya Yanga zilizoipa ubingwa wa Ligi Kuu,  sasa zimehamishiwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa, ‘Taifa Stars’ inayojiandaa kuikabili Uganda Cranes, Jumamosi.

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga, Simba waja na mbinu tofauti

Wakati Yanga wakiwapa mapumziko ya siku 10 nyota wake kabla ya kurejea kuanza maandalizi rasmi ya mechi ya ‘Nani Mtani Jembe 2’, wapinzani wao, Simba, wamewapa mapumziko ya siku 14 huku wakitamba kikosi chao kuwa ‘fiti’ tayari kwa mchezo huo.

 

10 years ago

Mwananchi

KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA: Yanga kutumia mbinu za Al-Ahly

>Kocha wa Yanga, Hans Pluijm amesema kikosi chake kipo tayari kwa vita na kuahidi kucheza soka la kushambulia muda wote dhidi ya  BDF XI ya Botswana.

 

10 years ago

Michuzi

DRFA YAIPA MBINU YANGA KUINYOA ETOILE DU SAHEL

Kuelekea mchezo wa michuano ya kombe la shirikisho barani afrika kati ya Yanga dhidi ya Etoile Du Sahel ya Tunisia utakaopigwa jumamosi hii April 18 katika uwanja wa taifa,Chama cha soka mkoa wa Dar es salaam DRFA,kimeitabiria makubwa klabu hiyo ya Jangwani kuvuka katika kizingiti hicho kigumu kwa mchezo wa nyumbani na ugenini dhidi ya wababe hao wa Tunisia.
Mwenyekiti wa chama hicho Almasi Kasongo,amesema ili yanga ifanye vizuri katika mechi hiyo na kuwapa raha mashabiki wake na watanzania...

 

11 years ago

GPL

Kocha raia wa Uingereza aipa Yanga mbinu za kuing’oa Al Ahly

Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Azam FC, Stewart Hall. Hans Mloli na Sweetbert Lukonge
ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Azam, Stewart Hall, raia wa Uingereza, ameibuka na kuielekeza Yanga cha kufanya kama kweli inataka kuiondoa Al Ahly ya Misri kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Yanga inatarajiwa kuumana na mabingwa hao watetezi kwenye mchezo wa hatua ya pili ya michuano hiyo baada ya kuifunga Komorozine ya Comoro kwa jumla ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Yanga ina matumaini ya ushindi

Kocha mkuu wa Yanga, Hans Pluijm amesema wana ari ya kushinda mechi yao ya mwishoni mwa wiki hii dhidi ya Etoile du Sahel .

 

11 years ago

Mwananchi

Ushindi wa mabao mengi utaisaidia Yanga leo

Wawakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga, leo wataingia kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kwa ajili ya kucheza na Al Ahly ya Misri katika mechi ya kwanza ya raundi ya kwanza ya mashindano hayo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani