Mbunge alilia ukarabati wa gereza
MBUNGE wa Mpanda Vijijini, Moshi Kakoso (CCM) amehoji mpango wa dharura wa serikali kukarabati gereza la Kalilankulungulu lililochakaa na halifai kwa matumizi ya binadamu. Kakoso alitoa kauli hiyo bungeni jana...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMBUNGE FILIKUNJOMBE ATOA MSAADA WA ZAIDI YA TSH MILIONI 15 UKARABATI WA KANISA LA RC MADUNDA
11 years ago
Mwananchi13 Jul
Tunahitaji ‘gereza- lisha’ au ‘gereza- kijiji’ ?
9 years ago
CHADEMA Blog
MBUNGE WA CHADEMA JIMBO LA UKONGA MH. MWITA WAITARA AFANYA UKARABATI WA BARABARA JIMBONI UKONGA
11 years ago
Michuzi.jpg)
10 years ago
GPL
MAINDA ALILIA MTOTO
10 years ago
Mtanzania22 Oct
Terry alilia penalti
KIEV, Urusi
BEKI wa Chelsea, Mwingereza John Terry, amedai kuwa timu yake ilinyimwa penalti katika mchezo wa juzi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA) dhidi ya Dynamo Kiev ambapo timu hizo hazikufungana.
Katika mchezo huo wa kundi G uliopigwa Olympic Stadium nchini Urusi, kiungo wa Chelsea, Cesc Fabregas, aliangushwa ndani ya eneo la hatari na mlinzi wa Dynamo Kiev, Sergiy Rybalka, lakini mwamuzi Damir Skomina, aliamuru mchezo uendelee, jambo ambalo Terry anahisi si sahihi.
“Bado tupo vizuri,...
10 years ago
Tanzania Daima22 Nov
Msola alilia nyongeza ya bajeti
SERIKALI imetakiwa kuongeza kiwango cha bajeti kinachotengwa kwenye utafiti kwa lengo la kukuza uchumi na maendeleo ya taifa. Hayo yalisema mjini hapa juzi na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya...
11 years ago
GPL
DUDE NAYE ALILIA UBUNGE!
10 years ago
Habarileo22 Jun
Nyalandu `alilia’ umoja CCM
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amewataka WanaCCM kutovurugana kwa sababu tu ya mchakato unaoendelea wa kumtafuta mwanachama atakeyebeba mikoba ya chama hicho katika kuwania urais wa Tanzania baadaye mwaka huu.