Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MEDO YAPATA UDHAMINI WA ASILIMIA TANO

Meneja Uhusiano na Mawasiliano Medo, Jimmy Mbulingwe akiwa na Mkurungezi Msaidizi wa Suky,  Kiki wakiongea na waandishi wa habari. Jimmy Mbulingwe, wakipeana mkiono na Kiki Mussa baada ya kuingia mkataba wa mwaka mmoja kuisaidia taasisis hiyo. Waandishi wa habari wakisuhudia makubaliano hayo.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

TASWA YAPATA UDHAMINI WA MILIONI 50 TUZO ZA WANAMICHEZO TOKA TAASISI YA GSM


TAASISI ya GSM Foundation ya Dar es Salaam imetoa Sh milioni 50 kwa ajili ya kudhamini tuzo za wanamichezo waliofanya vizuri zaidi katika miaka 10 ya uongozi wa Rais Jakaya Kikwete. Utoaji wa tuzo hizo utafanyika Oktoba 8, mwaka huu ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, ambapo wanamichezo pia watatumia tuzo hizo zilizoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) kumuaga Rais Kikwete anayemaliza muda wake kikatiba. 
Kwa mujibu wa TASWA licha ya kumuaga Rais Kikwete...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Chunya yapata maji kwa asilimia 67

SERIKALI imesema upatikanaji wa maji katika mji wa Chunya ni asilimia 67.7. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Aggrey Mwanri, alitoa kauli...

 

11 years ago

Michuzi

Swissport yapata ongezeko la faida kwa asilimia 17

 Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Swissport Tanzania Bw Gaudence Kilasara Temu akizungumza na wanahisa wa kampuni hiyo wakati wa mkutano wao Mkuu wa Mwaka uliyofanyika jijini Dar es Salaam Jumatano jioni.  Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa kampuni ya Swissport Tanzania Jeroen de Clercqakizungumza na wanahisa wa kampuni hiyo wakati wa mkutano wao Mkuu wa Mwaka uliyofanyika jijini Dar es Salaam Jumatano jioni. Wapili kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya hiyo Bw Gaudence...

 

10 years ago

Habarileo

Asilimia 75 wajiunga kidato cha tano

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI (Elimu), Kassim MajaliwaJUMLA ya wanafunzi 55,003 wakiwemo wasichana 23,303 na wavulana 31,700 sawa na asilimia 74.58 ya waafunzi 73,754 waliostahili kuingia kidato cha Tano Tanzania Bara kwa mwaka 2015 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo vya ufundi kwenye shule za bweni na kutwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Ndumbaro aivimbia kamati TFF makato ya asilimia tano

Mwanasheria wa Bodi ya Ligi, Dk Damas Ndumbaro ameigomea Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ambayo ilipanga kumweka kitimoto leo kwa tuhuma za kuzitetea klabu za Ligi Kuu na Daraja la Kwanza kuhusu makato ya asilimia tano ya fedha za wadhamini.

 

11 years ago

Mwananchi

Gawio la hisa Twiga Cement lapanda kwa asilimia tano

Gawio la hisa kwa wanahisa wa Kampuni ya Saruji ya Twiga (TPCC) kwa mwaka 2013 limepanda kwa asilimia tano. Ongezeko hilo lilitangazwa na Mkurugenzi Mtendaji wa TPCC, Alfonso Rodriguez kwenye Mkutano Mkuu wa 22 wa Mwaka uliofanyika juzi jijini hapa.

 

9 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya LETSHEGO/Faidika yapata asilimia 75 ya hisa katika benki ya Advans Tanzania!

DSC_1794

Mtendaji Mkuu wa Afrika Mashariki wa kampuni ya Letshego, Bwana Tom Kocsis akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa  utambulisho mpya wa kununua hisa asilimia 75 za benki ya Advans Tanzania.  wengine ni maafisa waandamizi wa kampuni hiyo (Picha zote na Andrew Chale)

Na Andrew Chale, Modewjiblog

[DAR ES SALAAM-TANZANIA] Kampuni ya LETSHEGO Holding Limited  yenye makao yake makuu nchini Botswana ambayo kwa Tanzania ikijulikana kama  taasisi ya Mikopo ya Faidika, imetangaz...

 

10 years ago

Dewji Blog

Benki ya Exim yapata faida kabla ya kodi ya asilimia 9 katika robo ya tatu 2014

EXIM Q3 PIX 1

Meneja Fedha Mwandamizi  Benki ya Exim, Bw. Issa Hamisi (wapili kulia) akizungumza na waandishi (hawapo pichani) juu ya utendaji wa kifedha wa benki hiyo katika robo ya tatu ya mwaka ambapo faida ya benki ya kabla ya kodi imekua kwa asilimia 9  mpaka shilingi bilioni 5.4 ikilinganishwa na kipindi hicho mwaka jana, jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkaguzi Mkuu wa Hesabu wa Benki, Bw. George Binde, Mkuu wa Hazina,  Bw. George Shumbusho (wapili kushoto) Meneja Utafiti na Chambuzi za...

 

9 years ago

Michuzi

Asilimia 49 kati ya asilimia 100 ya uchunguzi wa DNA yaonyesha baba si mzazi halali wa mtoto

Na Beatrice Lyimo-Maelezo
Asilimia 49 kati ya asilimia 100 ya matokeo ya uchunguzi wa makosa ya vinasaba (DNA)  yanayowasilishwa katika ofisi ya Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kwa mwaka yanaonyesha kuwa baba si mzazi halali wa mtoto katika kesi hizo.
Hayo yamesemwa na Mkemia Mkuu wa Serikali, Profesa Samwel Manyele alipokuwa akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kufungua mkutano wa wadau wa wakala wa afya ya mazingira leo jijini Dar es Salaam.
“Kesi zinazopokelewa katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani