Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mfanyabiashara akamatwa Tanzania

Interpol tawi la Tanzania wamemkamata mfanya biashara raia wa Kenya, Mohammed Ally Feisal kwa tuhuma za kujihusisha na ujangili na uhalifu uliovuka mipaka .

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Daktari feki akamatwa Tanzania

Uongozi wa taasisi ya MOI katika hospitali ya Muhimbili, Dar es Salaam umemkamata mtu anayetuhumiwa kuwa daktari bandia Jumatatu.

 

10 years ago

Vijimambo

Mtuhumiwa wa ujangili akamatwa Tanzania

Feisal Mohamed Ally
Polisi wa kimataifa , interpol tawi la Tanzania wamemkamata mfanya biashara maarufu raia wa Kenya kwa tuhuma za kujihusisha na ujangili na uhalifu uliovuka mipaka ,hususan mauaji ya tembo .

mtuhumiwa huyo Mohamed Ally Feisal Amekamatwa mjini Dar-Es-Salaam baada ya kusakwa kwa kipindi kirefu kwa makosa hayo ya kimataifa kutoka Dar Regina Mziwanda anaarifu zaidi.

Akithibitisha kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo Bwana Diwani Athumani kutoka kamisheni ya Kurugenzi ya makosa ya jinai...

 

10 years ago

Vijimambo

MFANYABIASHARA KUTOKA TANZANIA BWA. HASHIMU LEMA AMTEMBELEA MHE. OMAR MJENGA OFISINI KWAKE DUBAI

Bwa. Hashimu Lema, mfanyabiashara anayemiliki kampuni ya ujenzi ya Comfix, amemtembelea Mhe. Omar Mjenga, Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, ofisini kwake.
Mhe. Mjenga amemfahamisha fursa nyingi zilizopo Dubai na Ukanda wa Ghuba kwenye sekta hii ya ujenzi, ambako kampuni kutoka Tanzania wanaweza kuwa ni mikataba ya ushirikiano nazo katika utekelezaji wa miradi mbali mbali Tanzania. Njia hii pia itasaidia kuwajengea uwezo na kupata mbinu za teknolojia mpya ( technological Transfer).

 

10 years ago

Habarileo

Mfanyabiashara ajiua

MFANYABIASHARA maarufu wa madini ya dhahabu amejiua kwa kujipiga risasi kichwani. Amefanya hivyo wakati akiwakimbia wananchi wenye hasira na wachimbaji wadogo kwenye machimbo ya Kalole Kata ya Bugarama wilaya ya Kahama, baada ya kumjeruhi mguuni kwa kumpiga risasi mchimbaji mdogo wa machimbo hayo.

 

10 years ago

GPL

MFANYABIASHARA APIGWA...

Na Waandishi Wetu/Uwazi
MFANYABIASHARA wa Kisesa wilayani Magu, Mwanza, Nestory Andrew ameuawa kwa kupigwa risasi na majambazi usiku wa Februari 16, mwaka huu huku mke wake akishuhudia. Mke wa mfanyabiashara huyo (kulia) akiwa na simanzi kubwa. Imedaiwa kuwa kabla ya majambazi hao hawajafanya mauaji hayo, waliuteka Mtaa wa Kisesa kwani jirani na duka la mfanyabiashara huyo kulikuwa  na mafundi baiskeli ambao walizuiwa...

 

11 years ago

Habarileo

Mfanyabiashara adaiwa kubaka

MFANYABIASHARA Edward Kohe (35) mkazi wa Kitunda-Kizuiani, Ilala mkoani Dar es Salaam amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Ilala kujibu mashitaka ya kubaka.

 

9 years ago

Habarileo

Mfanyabiashara achinjwa Maswa

MFANYABIASHARA mmoja, Robert Dwese (43), mkazi wa Biafra Maswa Mjini ameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali shingoni na usoni na kufa papo hapo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mfanyabiashara atahadharisha Polisi

JESHI la Polisi nchini limetakiwa kuacha kuvifananisha vikundi vya uhalifu na makundi ya kigaidi kama vile Al Sbabab, El Quaeda na Boko Haram, kwani kwa kufanya hivyo kunaweza kuvuruga uchumi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mfanyabiashara auawa Moshi

KUNDI la watu wanaodhaniwa kuwa majambazi wakiwa na silaha, wamevamia duka la jumla la kuuza bia na bidhaa mbalimbali na kisha kumuua kwa kumpiga risasi mmiliki wa duka hilo, Respiki...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani