Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mfanyakazi mkatili matatani Uganda

Polisi wamebadilisha mashtaka ya mfanyakazi wa nyumbani aliyenaswa kwa kamera akimpiga mtoto wa mwaka mmoja na nusu, kutoka kwa kosa la kutesa hadi kosa la jaribio la mauaji.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Mfanyakazi wa ndani ya Uganda afungwa miaka minne jela

Mahakama nchini Uganda imetoa hukumu ya miaka minne jela kwa mfanyakazi wa ndani, Jolly Tumuhiirwe, aliyepatikana na hatia ya kumtesa na kumpiga motto wa miezi 18. Tumuhiirwe, 22, alionekana kwenye video iliyosambaa mtandaoni akimpiga bila huruma mtoto huyo aitwaye Aneela. Msichana huyo aliwaomba radhi wazazi wa mtoto huyo na umma kwa ujumla na kudai kuwa […]

 

10 years ago

Vijimambo

MFANYAKAZI WA NDANI ALIYEMTESA MTOTO UGANDA AENDA JELA MIAKA 4

Jolly Tumuhirwe (22).
HAUSIGELI aliyenaswa kwenye video akimtesa mtoto nchini Uganda, amehukumiwa kwenda jela miaka minne katika mahakama moja nchini humo.
Jolly Tumuhirwe wakati akimtesa mtoto Arnella mwenye miezi 18.
Mfanyakazi huyo Jolly Tumuhirwe (22) aliiambia mahakama kuwa anajutia kile alichokifanya na anaomba msamaha kwa familia na jamii nzima.
Amehukumiwa kwa kosa la kumtesa mtoto Arnella mwenye miezi 18.

 

10 years ago

Mwananchi

KONA YA MAKENGEZA: Nisipokataa ukatili, na mimi mkatili

>Mara nyingine kejeli hazifai.  Mara nyingine hata uandishi unaacha ladha mbaya mdomoni.  Mara nyingine kukaa mbele ya kompyuta na kuandika huku watu wanateketea ni kama kukwepa majukumu.  Mara nyingine ...

 

5 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi Uganda 2021: Je ni kweli kampeni za kutumia redio zitaufungia upinzani Uganda?

Kupigwa marufuku kwa mikutano ya kampeni nchini Uganda wakati taifa hilo likielekea kufanya uchaguzi mkuu mwezi Januari 2021 kunaweza kunufaisha chama tawala zaidi kuliko upande wa upinzani.

 

10 years ago

Vijimambo

Mfanyakazi wa UN afariki Ujerumani



Mfanyakazi katika kituo cha kuwahudumia wagonjwa wa Ebola.
Mfanyakazi wa Umoja wa Mataifa aliyeambukizwa Ebola amefariki dunia katika hospitali moja nchini Ujerumani.
Madaktari katika hospitali ya Leipzig wamesema mtu huyo mwenye umri wa miaka 56, alifariki dunia mapema Jumanne asubuhi.Mlipuko huo umeua zaidi ya watu 4,000 tangu mwezi Marchi, mwaka huu hususan katika nchi za Liberia, Sierra Leone, Guinea na Nigeria.
Shirika la Afya Duniani limeuelezea ugonjwa huo kama tatizo la dharura la...

 

11 years ago

Mwananchi

Adaiwa kumdhalilisha mfanyakazi

>Mkazi wa Singida Mjini, Jacqueline Kweka (30) jana alipandishwa mahakamani mjini hapa akikabiliwa na tuhuma za kumfanyia ukatili mfanyakazi wake wa ndani (15).

 

10 years ago

Tanzania Daima

Haki na wajibu wa mfanyakazi II

Haki ya kupata mapumziko ya uzazi Hakuna mfanyakazi aliyejifungua atakayefanya kazi ndani ya wiki sita tangu ajifungue isipokuwa kwa ruhusa ya daktari. Mfanyakazi aliyejifungua ana haki ya kuendelea na kazi...

 

10 years ago

GPL

MFANYAKAZI CLOUDS MBARONI

Musa mateja MREMBO aliyetajwa kwa jina la Cynthia Maximillian ambaye alikuwa mfanyakazi wa Kampuni ya Clouds Media Group  amejikuta akitiwa mbaroni kwa madai ya kutapeli mamilioni ya shilingi ya wafanyakazi wenzake na marafiki aliosoma nao....Soma zidi===>http://bit.ly/1HXXrRE

 

10 years ago

Vijimambo

MFANYAKAZI WA MWANANCHI APIGWA RISAS

Mfanyakazi wa Kampuni ya Mwananchi Communications, Patrick Pella.MFANYAKAZI wa Kampuni ya Mwananchi Communications, Patrick Pella amevamiwa na majambazi wenye silaha na kupigawa risasi, kujeruhiwa na kisha kuporwa fedha zake mchana huu maeneo ya Tabata-Relini jijini Dar.Kwa mujibu wa chanzo chetu, Pella anadaiwa kuporwa kiasi cha Sh. Mil 2 alizokuwa nazo akiwa ametoka kuzichukua kwenye mashine ya kutolea fedha (ATM) Tawi la NMB liliyopo jirani na Azam TV, Barabara ya Mandela.Kamanda wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani