MFANYAKAZI WA MWANANCHI APIGWA RISAS
Mfanyakazi wa Kampuni ya Mwananchi Communications, Patrick Pella.MFANYAKAZI wa Kampuni ya Mwananchi Communications, Patrick Pella amevamiwa na majambazi wenye silaha na kupigawa risasi, kujeruhiwa na kisha kuporwa fedha zake mchana huu maeneo ya Tabata-Relini jijini Dar.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, Pella anadaiwa kuporwa kiasi cha Sh. Mil 2 alizokuwa nazo akiwa ametoka kuzichukua kwenye mashine ya kutolea fedha (ATM) Tawi la NMB liliyopo jirani na Azam TV, Barabara ya Mandela.
Kamanda wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MFANYAKAZI WA MWANANCHI APIGWA RISASI
10 years ago
Mwananchi19 Feb
Mfanyakazi MCL apigwa Risasi, aporwa Sh2milioni
11 years ago
Mwananchi08 Aug
Adaiwa kumdhalilisha mfanyakazi
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/GlhbBvgh3mh8dDEyW3UfIFCWamM0zHxXhCx3QXU1zgZyU8BjN4EMQIG5jXb6Ip3VcCs1WM2xGIqEYPLTrmRYB8rEWyzRMqiw/DemuClouds.gif?width=650)
MFANYAKAZI CLOUDS MBARONI
10 years ago
Vijimambo14 Oct
Mfanyakazi wa UN afariki Ujerumani
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/270/amz/worldservice/live/assets/images/2014/10/13/141013223914_ebola_us_304x171_reuters_nocredit.jpg)
Mfanyakazi wa Umoja wa Mataifa aliyeambukizwa Ebola amefariki dunia katika hospitali moja nchini Ujerumani.
Madaktari katika hospitali ya Leipzig wamesema mtu huyo mwenye umri wa miaka 56, alifariki dunia mapema Jumanne asubuhi.Mlipuko huo umeua zaidi ya watu 4,000 tangu mwezi Marchi, mwaka huu hususan katika nchi za Liberia, Sierra Leone, Guinea na Nigeria.
Shirika la Afya Duniani limeuelezea ugonjwa huo kama tatizo la dharura la...
10 years ago
Tanzania Daima04 Dec
Haki na wajibu wa mfanyakazi II
Haki ya kupata mapumziko ya uzazi Hakuna mfanyakazi aliyejifungua atakayefanya kazi ndani ya wiki sita tangu ajifungue isipokuwa kwa ruhusa ya daktari. Mfanyakazi aliyejifungua ana haki ya kuendelea na kazi...
11 years ago
Uhuru Newspaper31 Jul
Mfanyakazi wa ndani atoweka na kichanga
Mwingine aiba mtoto wa miaka
miwili, amtelekeza barabarani
NA MWANDISHI WETU, MWANZA
WIMBI la wizi wa watoto sasa limeanza kushika kasi nchini, ambapo watumishi wawili wa ndani kwa nyakati na maeneo tofauti, wametoweka na watoto wa waajiri wao.
Miongoni mwa watoto walioibwa, yupo mwenye umri wa miezi tisa na mwingine miaka miwili na nusu. Kati ya hao, mmoja amepatikana akiwa ametelekezwa barabarani.
Watumishi hao walikuwa wakiwalea watoto hao, ambapo waliofanikiwa kuwaiba wazazi wao wakiwa kwenye...
10 years ago
BBCSwahili24 Nov
Mfanyakazi mkatili matatani Uganda
10 years ago
BBCSwahili26 Feb
Ebola:Mfanyakazi apoteza maisha