Mgosi: Jaja akizoea Bongo atakuwa hatari

Straika wa Yanga, Mbrazili, Geilson Santana ‘Jaja’. Na Alpha Amos STRAIKA wa Mtibwa Sugar ya mkoani Morogoro, Mussa Hassan Mgosi, amemtabiria makubwa straika wa Yanga, Mbrazili, Geilson Santana ‘Jaja’ kwa kusema atakuwa mchezaji mzuri pindi atakapozoea mazingira ya Tanzania na viwanja nyake. Jumamosi iliyopita, Mgosi aliifungia timu yake bao moja katika ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Yanga, huku Jaja...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi16 Sep
Phiri: Jaja ni mtu hatari
10 years ago
Mtanzania30 May
Simba yamrejesha Mgosi
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
TIMU ya Simba imeendelea kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), safari hii imemrejesha mshambuliaji wake wa zamani, Musa Hassan Mgosi, huku ikimnasa pia kipa wa JKU ya Zanzibar, Mohammed Abrahman Mohammed.
Mgosi, aliyeichezea Mtibwa Sugar msimu uliopita, alitemwa kwenye kikosi hicho msimu wa 2010/11 na kutimkia DC Motema Pembe ya DRC, kabla ya kurejea tena nchini.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Mwenyekiti wa...
9 years ago
GPL
9 years ago
Vijimambo21 Sep
10 years ago
Mwananchi28 Nov
Mgosi aipa masharti mazito Simba
11 years ago
Tanzania Daima26 Feb
Katiba mpya: Mgosi kwenda na mkewe
BAADA ya kijiwe kufanyiwa mtima nyongo na kuenguliwa kushiriki Bunge la Katiba, mmoja wetu Mgosi Machungi amejipenyeza kama mzee Kimdunge Ngumaru Mwehu aliyepitia chama cha waganga wa jadi. Mgosi Machungi...
9 years ago
Mwananchi01 Nov
Mgosi azipotezea Yanga, Azam FC kiaina
10 years ago
GPL
Mgosi: Nipangeni na Kiiza muone mabao
10 years ago
Mwananchi08 Jun
USAJILI: Mavugo, Okwi, Mgosi utaipenda Simba tu