Mipaka yazua majadiliano makali
Wakati dunia ikishuhudia maelfu ya wakimbizi na wahamiaji haramu kutoka nchi za Afrika, Asia na mashariki ya kati wakimiminika katika nchi za Ulaya, suala la umuhimu wa uwepo wa mipaka ya nchi limeibuka na kuibua majadiliano mazito miongoni mwa mataifa.
Wakijadili suala hilo katika mdahalo ulioandaliwa na kituo cha Utamaduni wa Ufaransa kwa ushirikiano na Ubalozi wa nchi hiyo, wazungumzaji wakuu walielezea ugumu wa tatizo hili na namna linavyochukuliwa kisiasa.
Katika ukumbi wa ALLIANCE...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili26 Nov
Papa ataka majadiliano na IS
10 years ago
VijimamboMAJUMUISHO YA MAJADILIANO YA AWALI
10 years ago
Habarileo16 Sep
Majadiliano Bunge la Katiba yafungwa
KESHOKUTWA Alhamisi ndiyo siku ambayo rasimu ya mwisho inayopendekezwa na Bunge Maalumu la Katiba (BMK), itatolewa hadharani mbele ya Bunge hilo na Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi, Andrew Chenge.
11 years ago
BBCSwahili19 Jul
Mda wa majadiliano na Iran waongezwa
11 years ago
Tanzania Daima13 Dec
Kikwete kuongoza majadiliano Jumatatu
RAIS Jakaya Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) anatarajia kuongoza mkutano unaozileta pamoja sekta ya umma na binafsi Jumatatu ijayo. Waziri wa Nchi, Ofisi...
11 years ago
Habarileo26 Mar
Bunge lajipanga kwa majadiliano
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta amewataka wajumbe wa Bunge hilo kujenga imani kwa Kamati ya Uongozi kwa vile haina mamlaka ya kufanya uamuzi na badala yake ipo kwa ajili ya kufanya ushauriano na kutoa mapendekezo.
10 years ago
BBCSwahili12 Aug
Askofu ataka majadiliano kuhusu B Haram
11 years ago
Habarileo13 Dec
Majadiliano kuuza meno ya tembo yanaendelea
SERIKALI inaendelea na jitihada za kuzungumza na vyombo vya kimataifa, kutafuta kukubaliwa kuuza meno ya tembo yaliyokamatwa tangu mwaka 1961. Lengo la mauzo hayo, ni kupata fedha za kuwekeza katika sekta hiyo kuimarisha ulinzi na kupambana na ujangili.
11 years ago
Tanzania Daima03 Apr
Majadiliano Rasimu ya Katiba yaboreshe mfumo wa elimu
MAJADILIANO ya Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ni fursa ya kihistoria inayopaswa kutumiwa ipasavyo ili kuboresha mfumo wa maisha unaowagusa Watanzania. Mbali na...