Mizani ya Imani ya kikatoliki duniani
Viongozi wa kanisa katoliki duniani wanakutana kujadili mbinu za kuboresha mafunzo kuhusu maswala ya ndoa, familia kwa waumini.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-H8aUxDqAvXY/VZIn-m23v_I/AAAAAAAAAQ0/DGHiKJnOI3Y/s72-c/IMG-20150629-WA0023.jpg)
Dkt MUSA MDEDE apata Baraka za kuwa mbunge wa jimbo la kalenga kutoka kwa vijana wa kikatoliki wa jimbo hilo
![](http://4.bp.blogspot.com/-H8aUxDqAvXY/VZIn-m23v_I/AAAAAAAAAQ0/DGHiKJnOI3Y/s640/IMG-20150629-WA0023.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-g-ZjtBCePtU/VZIn-k8ZFlI/AAAAAAAAAQ4/3G0CBsckKqE/s640/IMG-20150629-WA0022.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-96NBLMdE52Q/VZIn9hKjxlI/AAAAAAAAAQ8/X1_08v68uh8/s640/IMG-20150629-WA0020.jpg)
BOFYA HAPA
11 years ago
BBCSwahili14 Jan
Mustakabali wa misri kwenye mizani
10 years ago
Habarileo02 Feb
Rushwa yatimua 400 mizani
WAZIRI wa Ujenzi Dk John Magufuli amevitaka vyombo vya dola kuingilia kati suala la rushwa kwenye vituo vya mizani za kupimia uzito wa magari yanayosafirisha mizigo, akisema rushwa hiyo imekithiri.
10 years ago
Tanzania Daima22 Nov
Aomba mizani kwa wakulima
MBUNGE wa Mbogwe, Augustino Masele (CCM), ameishauri Serikali kuwapatia mizani wakulima ili wasinyonywe na wafanyabiashara ambao wamekuwa wakitumia mizani yao. Masele, alitoa kauli hiyo jana bungeni mjini hapa wakati akiuliza...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-9bI7-uHIPK0/XlKZ6Sf61_I/AAAAAAALe60/0vpVVCgNrIgpqvcqHghZ4jdtIXVU7ZVOgCLcBGAsYHQ/s72-c/4-34.jpg)
WAATUMISHI MIZANI WAASWA KUJIEPUSHA NA RUSHWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-9bI7-uHIPK0/XlKZ6Sf61_I/AAAAAAALe60/0vpVVCgNrIgpqvcqHghZ4jdtIXVU7ZVOgCLcBGAsYHQ/s640/4-34.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/5-25.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/1-50.jpg)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi),...
10 years ago
StarTV29 Dec
Idara ya Forodha yakabiliwa na ukosefu wa mizani.
Na Amina Saidi, Mbeya.
Idara ya Forodha na Ushuru katika mpaka wa Tanzania na Malawi uliopo wilayani Kyela mkoani Mbeya inakabiliwa na tatizo la ukosefu wa mizani kwa ajili ya kupimia mizigo inayovushwa katika mpaka huo.
Kutokana na tatizo hilo baadhi ya mizigo inayovushwa mpakani hapo haitozwi ushuru halisi kulingana na uzito iliyonayo na hivyo kuitia serikali hasara kwa kukusanya mapato madogo.
Katika mpaka wa Tanzania na Malawi ambao unajulikana kwa jina la Kasumulu, mpaka huu una...
11 years ago
Uhuru Newspaper13 Aug
Kiama cha wafanyakazi wa mizani chaja
Watendaji TANROAD, madereva wa malori wawekwa kikaangoni
MOHAMMED ISSA NA
MWAMVUA MWINYI
SERIKALI imesema itaingia mkataba maalumu na wafanyakazi wa mizani ya Vigwaza, Kibaha mkoani Pwani kwa lengo la kuwadhibiti ili wasiuchakachue na kupitisha magari yaliyozidisha mizigo.
Pia imewaonya baadhi ya watendaji wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROAD), wanaojihusisha na vitendo vya rushwa, kuacha mara moja vinginevyo watachukuliwa hatua kali za kisheria.
Mbali na hilo, imewatangazia kiama madereva...
9 years ago
Mwananchi04 Nov
Wanaochezea mizani, vipimo nchini kukiona
11 years ago
Tanzania Daima13 Aug
Magufuli: Mfumo mpya waja mizani
WAZIRI wa Ujenzi Dk. John Magufuli, amezitaka sekta za usafirishaji nchini kujiandaa na mfumo wa kisasa wa upimaji katika mizani ya magari inayojengwa Vigwaza Mkoa wa Pwani kwa ajili ya...