Mkandarasi ailiza Serikali Sh3 bil
Kampuni ya Ujenzi wa Barabara ya Strada International ya Uingereza inadaiwa kutelekeza mradi wa ujenzi wa Barabara ya kiwango cha lami kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) mpaka Mirerani na kutoweka na fedha za Serikali Sh.3.1 bilioni.
TheCitizen
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima03 Jun
Serikali kumwajibisha mkandarasi aliyetoroka
WIZARA ya Maji imetakiwa kumchukulia hatua za kinidhamu mkandarasi wa mradi wa maji wilayani Meatu aliyetoroka kazini. Ushauri huo ulitolewa bungeni jana na Mbunge wa Biharamulo Magharibi, Dk. Antony Mbassa...
5 years ago
MichuziSERIKALI YALETA SULUHU KATI YA WAFANYAKAZI NA MKANDARASI
Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, akizungumza na wafanyakazi waliokuwa wanafanyakazi katika Kampuni ya China Railway 15 Group na kudai malipo yao waliyokuwa...
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Salim ailiza CCM
MJUMBE wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Salim Ahmed Salim, ameonja joto ya jiwe ndani ya kikao cha Kamati Kuu (CC), ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakitaka atoe ufafanuzi wa...
11 years ago
Tanzania Daima28 Jan
Kampuni ‘yapiga’ bil. 3/- za Serikali
KAMPUNI ya Erolink imeiibia serikali kiasi cha sh bilioni tatu za mapato kutoka kwa waajiriwa wapya katika kipindi cha miaka mitatu. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam...
10 years ago
Habarileo03 Jun
Taasisi za serikali zadaiwa bil.20/-
TAASISI mbalimbali za serikali nchini zinadaiwa jumla ya Sh bilioni 20 ikiwa ni malimbikizo ya madeni ya huduma ya maji, Bunge limefahamishwa.
11 years ago
Tanzania Daima16 Jul
Serikali yapatiwa bil. 108/-
TANZANIA imepokea msaada wa dola za Kimarekani milioni 66.1 (sawa na sh. bilioni 108.5) kutoka kwa wadau wa maendeleo, zitakazotumika kuboresha sekta ya afya. Akizungumza na waandishi wa habari jijini...
11 years ago
Habarileo12 Mar
Ubelgiji yaipatia Serikali bil.40/-
SERIKALI imepokea msaada wa Sh bilioni 40 kutoka Serikali ya Ubelgiji kusaidia sekta ya kilimo na maji.
9 years ago
Mtanzania14 Nov
Serikali yalipa walimu bil 1.9/-
Asifiwe George na Imani Nathaniel (RCT), Dar es Salaam
CHAMA cha Walimu Tanzania Mkoa wa Dar es Salaam, kimesema Serikali imeanza kulipa deni la madai ya walimu kiasi cha Sh 1,936,572,146.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa CWT wa mkoa huo, Amina Kisenge, alisema kwa kipindi cha kuanzia mwaka 2013 hadi Julai 2015 walikuwa wanaidai Serikali kiasi cha Sh 3,916,432,471.
Alisema kwa sasa deni lililobaki ni Sh 1,979,860,325 ambazo bado walimu wanadai.
Alisema pamoja na...
9 years ago
Mtanzania31 Dec
Serikali yapeleka Sh bil 18 za elimu
NA RAMADHAN HASSAN, DODOMA
SERIKALI imepanga kupeleka Sh bilioni 18.77 kila mwezi kwa ajili ya kugharimia elimu bure kuanzia Januari, mwakani.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma jana, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), George Simbachawene alisema fedha hizo zitapelekwa kwa awamu ili zitumike kama ilivyokusudiwa.
Alisema katika mpango huo, Serikali itagharimia gharama zote za mtihani wa kidato cha nne kwa wanafunzi wote, tofauti na...