Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKURUGENZI WA TAMWA ATUNUKIWA TUZO YA CEFM CHAMPION‏

Balozi wa Canada nchini Tanzania, Mh. Alexandre Lévêque akimkabidhi tuzo ya kwanza Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania-TAMWA,Bi. Valerie Msoka kwa kufanikisha kampeni dhidi ya ndoa za utotoni. Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa Habari Tanzania (TAMWA) Valerie Msoka, amekuwa mtu wa kwanza kutunukiwa tuzo ya CEFM Champion, na Ubalozi wa Canada nchini. Katika sherehe fupi iliyofanyika Serena Hotel...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mkurugenzi wa TAMWA atunukiwa tuzo ya CEFM CHAMPION

DSC_01311-1024x681 (1)

Balozi wa Canada nchini Tanzania, Mh. Alexandre Lévêque akimkabidhi tuzo ya kwanza Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania-TAMWA,Bi. Valerie Msoka kwa kufanikisha kampeni dhidi ya ndoa za utotoni.(Picha zote kwa hisani ya mtandao wa hivisasa.co.tz).

Na modewjiblog team

Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa Habari Tanzania (TAMWA) Valerie Msoka, amekuwa mtu wa kwanza kutunukiwa tuzo ya CEFM Champion, na Ubalozi wa Canada nchini.

Katika sherehe fupi iliyofanyika Serena...

 

10 years ago

AllAfrica.Com

TAMWA Chief for CEFM Award On Tuesday


TAMWA Chief for CEFM Award On Tuesday
AllAfrica.com
TANZANIA Media Women's Association (TAMWA) Executive Director Valerie Msoka is to receive the first Champion of Early and Forced Marriage (CEFM) in Tanzania Award by the Canadian High Commission in Dar es Salaam. The High Commission said in ...

 

10 years ago

Michuzi

MKURUGENZI MAMBO YA KALE ATUNUKIWA TUZO YA KIMATAIFA


Mkurugenzi wa Mambo ya Kale katika Wizara ya Maliasili na Utalii, Bw. Donatius M.K. Kamamba (pichani) ametunukiwa tuzo ya kimataifa ya “The knight Cross in the Order of Arts and Letters” na Serikali ya Ufaransa.

Hatua hiyo imetokana na mchango mkubwa alioutoa Bw. Kamamba katika kulinda na kuendeleza Urithi wa Utamaduni hapa nchini na duniani kwa ujumla katika kipindi cha miaka 33 aliyoitumikia sekta ya malikale ndani na nje ya nchi.

Katika barua aliyoandikiwa Mkurugenzi huyo na...

 

10 years ago

CloudsFM

Rapper Fid Q apewa tuzo ya `CHAMPION na umoja wa Nchi za Ulaya EU

Umoja wa nchi za ulaya EU wampa tuzo Fareed Kubanda a.k.a Fid Q ya CHAMPION of the 2015 Europe Year for Development in Tanzania ,Pia Fid Q alifunguka kwenye Amplifaya ya Cloudsfm nakusema amefarijika sana kupata Tuzo hiyo kwani itampa hamasa ya kufanya kazi kwa bidii zaidiPia Fid Q alisema amepata Tuzo hiyo kutokana na kujitolea kusaidia vijana katika jamii ili waache miadarati na japo kuwa darasa kwa sasa limefungwa ila anampango wa kulifungua tena upya darasa hilo

 

10 years ago

Habarileo

DC atunukiwa tuzo ya uongozi

VIONGOZI wa madhehebu ya dini ya Kikristo na Kiislamu mkoani Mbeya wamemtunuku Tuzo ya uongozi bora Mkuu wa wilaya ya Mbeya, Dk Norman Sigalla.

 

10 years ago

Mwananchi

Mkapa atunukiwa tuzo ya mafanikio

Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ametunukiwa Tuzo ya Mafanikio Katika Utumishi wa Umma kutokana na mchango alioutoa kwenye uchumi wakati wa utawala wake.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtanzania atunukiwa tuzo ya ujasiriamali

Julius Shirima ni mshindi kutoka Tanzania wa tuzo ya vijana iitwayo Pan-Commonwealth Youth Award

 

11 years ago

Habarileo

JK atunukiwa tuzo nyingine ya kimataifa

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete kwa mara nyingine ametunukiwa Tuzo ya Kimataifa, kwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Nyota wa Demokrasia Afrika 2014.

 

11 years ago

Habarileo

Mama Salma atunukiwa tuzo

MKE wa Rais, Mama Salma Kikwete amepewa cheti na Umoja wa Wake wa Mabalozi wa Afrika waishio katika nchi za Umoja wa Ulaya kwa kutambua na kuthamini mchango wake na kazi, anazozifanya za kusaidia wanawake, wasichana na watoto wa Tanzania.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani