Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Moro, Dar washirikiana kutokomeza umaskini

MANSPAA ya Ilala jijini Dar es Salaam na Manspaa ya Morogoro zimezindua programu ya kuwezesha ajira kwa vijana na wanawake. Programu hiyo iitwayo Ujirani mwema kwa maendeleo, itatumia sheria kuu...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Dewji: Afrika tunaweza kutokomeza umaskini

MFANYABIASHARA maarufu hapa nchini, na Mbunge wa Singida Mjini,  Mohamed Dewji (CCM), amesema nchi za Afrika zina uwezo mkubwa wa kujikomboa katika lindi la umaskini iwapo sera nzuri zitatungwa na...

 

10 years ago

Michuzi

11 years ago

Habarileo

Dar yachangia waathirika wa mafuriko Moro

KAMATI ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dar es Salaam, imetoa msaada wa zaidi ya Sh milioni 117 kwa waathirika wa mafuriko yaliyotokea hivi karibuni na kusababisha kukatika kwa daraja linalounganisha Mkoa wa Morogoro na Dodoma. Misaada iliyotolewa ni pamoja na magodoro 450, vyakula, maji pamoja na mahitaji mengine muhimu.

 

10 years ago

GPL

MAMISS MORO WAMCHEFUA MEYA WA DAR

Na Danstan Shekidele/Risasi Mchanganyiko
ONESHO la burudani ya warembo lililoitwa Miss Valentine, lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika Ukumbi wa Vybe mjini hapa kusherehekea siku hiyo ya wapendanao, liligeuka kuwa kichefuchefu mbele ya aliyekuwa mgeni rasmi, Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Didas Masaburi. Mrembo akipita jukwaani katika onesho la burudani ya warembo lililoitwa Miss Valentine huko Morogoro. Mmoja wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Nyumba 800 nafuu kujengwa Dar, Moro

Kampuni ya Nyumba za Watumishi (WHC), imeanza ujenzi wa nyumba bora za gharama nafuu ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mpango wa makazi kwa watumishi wa umma.

 

9 years ago

Habarileo

Dar, Moro watu 262 wana kipindupindu

WATU nane wamethibitishwa kufariki kwa ugonjwa wa kipindupindu na wengine 262 wameambukizwa maradhi hayo katika mkoa wa Dar es Salaam na Morogoro. Waziri wa Afya na Usatwi wa Jamii, Dk Seif Rashid akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mwenendo wa maradhi ya ugonjwa huo uliozuka hivi karibuni alisema hadi kufikia jana, kwa mkoa wa Dar es Salaam, watu saba wamefariki na wengine wapatao 230 tayari wameambukizwa ugonjwa huo.

 

9 years ago

Bongo5

Video mpya ya Belle 9 ‘Burger Movie Selfie’ iliyoshutiwa Moro na director wa Moro kutambulishwa Trace Urban wiki Ijayo

Belle99

Kabla mwaka 2015 haujaisha, Belle 9 amefanikisha kupiga hatua nyingine ya mafanikio ya muziki wake, ambapo wiki ijayo video ya wimbo wake mpya uitwao “Burger Movie Selfie” itaanza kuoneshwa kwa mara ya kwanza na Trace Urban wiki ijayo.

Belle99

What's up Trace Family! Watch "Burger Movie Selfie" by @bellenine starting next week on @TRACE_Urban channel #325 on @DStv_Kenya

— TRACE East Africa (@TRACEEastAfrica) December 2, 2015

Hii itakuwa ni video ya pili ya Belle 9 kwa mwaka huu na toka ameanza...

 

10 years ago

GPL

SIMBA HOI KWA POLISI MORO UWANJA WA TAIFA DAR

Kikosi cha timu ya Simba SC kilichoanza dhidi ya Polisi Moro na kuambulia sare ya bao 1-1 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kikosi cha timu ya Polisi Moro kilichoanza dhidi ya Simba SC.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani