MPOTO: NATAKA MSIBA WANGU UWE MKUBWA
![](http://api.ning.com:80/files/I4Lv7uhzCAEUNgD0WvmfRmpWsB5xRr3qSufaSJFxJXZmOgXFJDnYDzZdzcrd0viVZU1mS*FPmnrsY-iM0nyEx2M5JqVFFAEV/Mpoto.jpg?width=650)
Imelda mtema Dah! Mwanamuziki mahiri wa mashairi ya kughani Bongo, Mrisho Mpoto ‘Mjomba’ amefungua kinywa na kusema kuwa anataka siku akifa msiba wake uwe mkubwa. Mwanamuziki mahiri wa mashairi ya kughani Bongo, Mrisho Mpoto ‘Mjomba’. Akizungumza na GlobalTV Online wikiendi iliyopita, Mpoto alisema kuwa siku zote anafikiria sana ni jinsi gani aongeze bidii kwenye kila jambo analofanya ili azidi kufahamika zaidi....
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo511 Nov
Amini: Nataka mke wangu ajifungue mtoto wa kiume ili awe mwanasheria
11 years ago
Tanzania Daima25 Mar
ANNASIMA MNUBI: Kuwa mjasiriamali si lazima uwe na mtaji mkubwa
Ni wazi kuwa hali ngumu ya kiuchumi ndiyo iliyowafanya wanawake wengi wakajiingiza katika ujasiriamali na kuachana na dhana ya utegemezi kwa wanaume wao kama ilivyokuwa awali. Wanawake kwa sasa wamekuwa...
10 years ago
Bongo501 Dec
Mwana FA: Makampuni tusaidieni kuufanya muziki wetu uwe mkubwa, ni baada ya ushindi wa Diamond
9 years ago
Bongo504 Nov
ALikiba: Mimi ni mkubwa zaidi ya tuzo na muziki wangu una thamani zaidi ya tuzo
![king kiba3](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/09/king-kiba3-300x194.jpg)
Alikiba ameweka wazi jinsi anavyozichukulia tuzo kwenye kazi yake ya muziki, na kama zinamuongezea thamani yoyote yeye kama msanii.
Mwimbaji huyo wa ‘Mwana’ ambaye amekuwa haendi kwenye tuzo nyingi zikiwemo hata zile ambazo anaibuka kuwa mshindi, ametaja sababu za kwanini huwa haudhurii.
“Nimegundua kwamba mimi ni mwanamuziki ambaye si focus sana kwenye tuzo japokuwa ndio moja ya sifa” Alikiba ameiambia AYO TV. “lakini kiukweli muziki wangu una thamani kubwa na mimi ni mkubwa zaidi ya...
9 years ago
Bongo529 Dec
Mama wa Mtoto wangu wa nne ndiye atakuja kuwa mke wangu – Nay Wa Mitego
![Chagga-na-Nay](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Chagga-na-Nay-300x194.jpg)
Nay Wa Mitego ni staa ambaye miezi michache iliyopita alikuwa hakosekani kwenye ‘headlines’ kutokana na uhusiano wa kimapenzi na muigizaji wa Bongo movie, Shamsa Ford uliokuwa ukifatiliwa sana na mashabiki wao.
Uhusiano wa Nay na Shamsa ambao kwa mujibu wa Nay ulidumu kwa takribani miezi mitano, ulizaliwa muda mfupi baada ya Nay kuachana na mama wa mtoto wake wa tatu Curtis, Siwema ambaye baada ya kujifungua mtoto huyo waliachana na Nay kumchukua mwanaye.
Chagga Barbie na Nay Wa Mitego
Siku...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fXUwj8AcBIlkFoOtGIWi2WTrC-EbDaDZYf*VnfC038oJEfTUjJ4xVMbqPr7bAhphV222lSS034ADfWSENkyYLtK79hQri4oY/wananitesa.jpg)
MAMA: WACHAWI WANANITESA, WATOTO WANGU 8, MUME WANGU WAMEKUFA KWA UGONJWA WA AJABU
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-A7j6gcdY98s/Ve34INcjIuI/AAAAAAAAxOo/ReLT-uhGhVY/s72-c/IMG_6381.jpg)
MKUBWA FELLA AANZISHA BAND NYINGINE YA VIJANA KUTOKA MKUBWA NA WANAWE
![](http://2.bp.blogspot.com/-A7j6gcdY98s/Ve34INcjIuI/AAAAAAAAxOo/ReLT-uhGhVY/s640/IMG_6381.jpg)
10 years ago
Dewji Blog06 Jan
Kinana ahutubia mkutano mkubwa Tanga, awashukuru watanzania kuipatia CCM ushindi mkubwa uchaguzi serikali za mitaa
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa maalumu kwa ajili ya kuwapongeza wananchi kuwachagua viongozi wa CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyka nchini kote Desemba 14 mwaka jana. CCM imepata ushindi wa asilimia 81 nchi nzima.
Kinana amesema maeneo yote ambayo upinzania wameshinda na ushindi uliosababishwa na baadhi ya wana CCM NA ENDAPO WATAGUNDULIKA WAMEFANYA KUSUDI KUKIKOSESHA USHINDI CHAMA WATAWAJIBISHWA.
Katibu Mkuu wa...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-NefYiu42lUw/VYcyC2AKTkI/AAAAAAAHiPU/LpOGIUxkdUU/s72-c/unnamed%2B%252848%2529.jpg)
MEMBE AHUDHURIA MSIBA WA MTOTO WA JENERALI MSUGURI NA KUHANI MSIBA WA JOHN NYERERE BUTIAMA MKOANI MARA
![](http://3.bp.blogspot.com/-NefYiu42lUw/VYcyC2AKTkI/AAAAAAAHiPU/LpOGIUxkdUU/s640/unnamed%2B%252848%2529.jpg)